mama mkwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. livewise1

    JamiiForums Tanzania Ukishajua hila zao, utafanya nini?

    Salaam, Ukiwa mwanaume mwenye lengo la kuanzisha familia na mwanamke uliemchagua, kisha ukajua shemeji yako mtarajiwa wa kike na mamamkwe wanafanya hila ili ukishampata mwanawao wakuteke uwe KONDOO WAO. Kuwafanyia kila watakalolitaka ulifanye bila kujali uwezo wako au mtazamo wako. Katika HILA...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Kati ya Kijana, Mama wa Kijana, dada wa Kijana na mke wa Kijana

    Nimetafakari Sana Mahusiano ya watu tajwa hapo juu, Yan kabla ya kijana kuoa na baada ya kijana kuoa. Katika uchunguzi wangu mdogo familia nyingi kabla ya kijana kuoa zinakuwaga na utulivu amani na upendo baina ya kijana, Mama wa kijana na (ma)dada wa Kijana. Lakini baada ya kijana kuoa na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

    Habari zenu wapendwa? Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba...
Back
Top Bottom