Kama ni mkazi wa Dar es Salaam au Kibaha na viunga vyake nipe wazo lako la biashara la mtaji chini ya Millioni moja,then mimi nitakufungulia na gharama za awali zitakuwa juu yangu.Make sure ni biashara ambayo litakuwa productive na ina uzoefu nayo!Pia hakikisha itakua ni biashara ya hesabu ,i...
Habari
Kila mmoja wetu ana malengo yake hususani ya kiuchumi, na anahitaji kuyatimiza lakini changamoto kubwa huwa ni pesa.
Leo nimekuletea FURSA ya kupata mkopo Kwa urahisi na haraka Kwa watu wa aina zote
Tunatoa mikopo Kwa *wafanyabiashara wakubwà na wadogo
Watumishi wa umma
Mikopo ya...
Nimejaribu kufatilia matukio ya Dunia, vita,migogoro ya kiuchumi, na mizozo ya mipaka baina ya mataifa, lakini Zionist ni miongoni mwa neno ambalo nimelisikia sana likihusishwa na migogoro yote inayoendelea Duniani hivi Sasa.
Nimedig kidogo kwenye baadhi ya vyanzo, nikafaham kwamba chanzo Cha...
Naona kuna baadhi ya mawaziri wakiingia kama wana mambo yao vile wakiondoka yameisha?
Mfano waziri fulani alikuja na vazi la taifa , mwingine singeli mwingine contents creators, ........
Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya
Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu,
Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza ufugaji wa kuku kwa matumaini makubwa, lakini wengi wao wanakata tamaa njiani kutokana na hasara ambazo...
Hi people,
Heri ya mwaka mpya
Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu
Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na mtoto mdogo kwa hata lisaa
Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi
Kingine...
Kwa juhudi na kumuomba Mungu, nina imani mambo haya nitayatimiza mwaka huu 2026. Jua liwake mvua inyeshe inabid niyatimize kwa namna yoyote...
1: Kuimarika kiroho,
Natamani kuwa karibu na Mungu wangu zaid mwaka huu kuliko kuliko chchte. Amekua akinionekania kwenye mambo mengi sana hivo...
Watu wengi hutofautiana katika namna ya kujiwekea malengo—wapo wanaoanza kupanga kabla mwaka haujaisha, wakitumia muda kutafakari yaliyopita na kujipanga mapema, na wapo wanaosubiri Mwaka Mpya uanze ndipo waanze kuandika malengo yao. Wewe uko upande upi, na ni nini kinakusaidia zaidi kufanikisha...
Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania.
Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
Mzuka wana Jamvi .
Kama tunavyojua kawaida wabongo ni wazuri wakishambulia kutokea mitandaoni na katika real life ikiwa kwa njia ya usengenayji kwa ufupi wabongo ni 'Ignorant Cowards '
Kujikuta Fidel Castro kutaka kukomboa kwa njia ya fujo na kukurupuka k ilhali kumejaa wapuuzi na upuuzi...
MALENGO MAKUU YA VITA NI KUISHI NA KUSHINDA; SIO KUJITOA MHANGA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Unapoingia kwenye vita yoyote jambo la kwanza unapaswa kuangalia uwezekano wa kuishi upo. Kuyalinda maisha yako. Hilo ndilo jambo la kwanza.
2. Jambo la pili, kama uwezekano ni mdogo je kuna...
Nilichojifunza 2025
Nguvu ya mwanaume ni PESA tu, hata uwe na umri, akili & busara kiasi gani kama huna Pesa ni bure tu!
2026 Resolutions
Kila kitu kinawezekana, tuwekeze nguvu na akili katika kutafuta, fursa zipo tusikalie kulalamika tu, Adui wa mafanikio yako ni wewe!
Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k
Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo.
Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada.
Ndo maana Lissu alianzia Ccm akaja Nssr akaja Chadema.
Kumbeza Yericko Nyerere na Salumu Mwalim nikutoelewa...
Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe .
kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli.
Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
Habari zenu wakuu
Nianze na kibwagizo cha wimbo wa mwanahiphop nguli Tanzania anayejulikana kama Dizasta Vina kwenye wimbo wake unaoitwa Get better aliyemshirikisha Beno Mwampamba
Mwampamba anaanza kwa kusema
"Leo imeshakuwa jioni
Na matokeo tuliyotegemea kuwa mbioni
Hata dalili zake...
Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na urafiki usio na mipaka. Haya ni magonjwa ya ndani yanayoweza kuivuruga biashara yoyote, haijalishi...
Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe.
Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.