Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,450
- 33,359
Kuna mlima ambao huwa unateremsha maji huko China, lakini unakua mkavu daima hautoi maji.
Ila ukisomewa Aya za Qurani ndipo maji yanaanza kutoka, wanayatumia watu halafu unarudi kuwa kama Mwanzo.
Subhana Allah wa Bihamdih
Subhana Allah Aladheem
Ila ukisomewa Aya za Qurani ndipo maji yanaanza kutoka, wanayatumia watu halafu unarudi kuwa kama Mwanzo.
Subhana Allah wa Bihamdih
Subhana Allah Aladheem
![✨ ✨](/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft7b%2F1.5%2F16%2F2728.png&hash=2adfa36481c5a826aae03cd023e4e74c)