makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poker

    JamiiForums Tanzania Wabongo tupunguze kuweka mafaida makubwa katika bidhaa tunazouza

    Jana kuna sehemu nimeenda, nikakuta ndala zile kandambili za 2000 zinauzwa 5000, kuuliza haipungui nkaambiwa haipungui alafu muuzaji akaendelea kujisnap. Kuna maduka ukienda, bidhaa ambayo kariakoo kwa mchina unaipata labda kwa 5000 huko unaikuta 10,000 haswa maduka ya sinza. Unaenda lodge...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Rais Trump ashuhudia maandalizi makubwa ya kumpokea Masihi, nchini Israeli !!

    Ndugu zangu, habari ya mjini ndio hii. Kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya kidini nchini Israeli ametamka wazi mbele ya Rais Trump kuwa Waisraeli wanajiandaa kujenga hekalu la tatu, kubwa, mjini Yerusalemu. Ujenzi wa hekalu la tatu ni hatua muhimu sana kwa Waisraeli katika maandalizi ya kumpokea...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kero za Biashara za ma bar makubwa yalivyo kuwa matapeli ila TRA mpo wapi?

    Nimekumbuka niliingia bar kubwa kinywaji nilichouziwa bei ilikuwa zaidi ya thamani ya ukweli ila nilipotaka kulipia kwa vile mimi na VAT na TIN kama mfanya biashara ilikuwa ni kukwepana tu.
  4. matairi Bora ya scania

    JamiiForums Tanzania Tunauza Matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo karibu wateja

    Ofa ofa ofa 🤗🤗🤗🤗🤗 karibu ujipatie matairi ya magari madogo na magari makubwa Kwa bei ya punguzo la 10% mwezi ramadhani pamoja na pasaka. Matairi ya brands mbalimbali za size zote zinapatikana. Location Vingunguti karibu na sido, Dar es salaam, Tanzania. Mikoani tunatuma pia Dar es salaam...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali

    Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali
  6. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumatatu Iran itafanya mazoezi makubwa sana ya kijeshi na Urusi na China ikiwa ni maandalizi ya utayari

    Wadau hamjamboni nyote? Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
  8. matairi Bora ya scania

    JamiiForums Tanzania Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo

    Habari, Ofa ofa ya mwezi mtukufu wa ramadhani karibu ujipatie matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo Kwa bei nafuu. Tunauza matairi ya brands zote size zote za matairi zinapatikana. Mikoani tunatuma pia Dar es salaam tunafanya delivery mzigo upo wakutosha karibuni wote mteja kwetu...
  9. sergio 5

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM mmefanya makubwa nchi, mnatakiwa kupumzika

    Nimekuja Tena kama mwananchi wa kawaida kuipongeza CCM kwa makubwa iliyoyafanya nchi ila ni mda wao wapumzike WAKAE pembeni wajipange upya Waruhusu uhuru wa demokrasia, vijana wasitekwe na kuuwawa kisa madaraka wafanye free and fair election washindwe WAKAE pembeni sio dhambi wakiendelea...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Matukio makubwa muhimu angani mwaka huu 2025

    Yafuatayo yatakuwa matukio ya kiastronomia mwaka huu 2025
  11. P

    JamiiForums Tanzania Je, Ulikuwa Unatafuta Jiko Kwa Mahitaji Makubwa Ya Kupika

    Nani Mwingine Anahitaji Jiko la Kisasa kwa Mahitaji Makubwa ya Kupika?" Je ulikuwa unatafuta jiko kwa mahitaji makubwa ya kupika? Kampuni ya jiko bomba sasa wamekuja na suluhu la majiko ya kupikia, Katika taasisi mbalimbali zenye kuhudumia watu wengi Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula...
  12. matairi Bora ya scania

    JamiiForums Tanzania Karibuni wateja wote wa matairi ya magari makubwa na madogo

    Habari, Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali na size tofauti za brands zote. Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo. Bei zetu ni nafuu sana mikoani tunatuma Dar es salaam tunafanya delivery mzigo upo wakutosha karibuni wte. Location Vingunguti karibu na sido Dar es salaam...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Kupasua Robo Karne (2025): Ukitoboa 2050, Haya Ndio Maendeleo Makubwa ya Kisayansi na Teknolojia Unayopaswa Kuyategemea

    Fikiria miaka 25 ijayo: Je, maisha yatakuwaje ifikapo mwaka 2050? Teknolojia inakua kwa kasi kuliko wakati wowote katika historia ya binadamu. Leo, tunaona simu janja, magari yanayojiendesha, na akili bandia (AI) inayoweza kuandika, kuongea na hata kufanya kazi za kibinadamu. Haya ni mwanzo tu...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mabadiliko yakikubaliwa, Uchaguzi utaahirishwa na Bunge litarudishwa hata kama lilivunjwa

    Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnasema wanawake wenye makalio makubwa wana confidence ila kiukweli ni arrogance

    Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa kujibana bana coz yeye ndio pisi kali matawi ya juu mwenye wiggle wiggle. Sasa wakikutana na no...
  16. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Makubwa! Huenda uraia wa mamtoni ukauzwa siku za usoni

    ....
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega: KM 1,366 za barabara zenye thamani ya tsh trilioni 2.7 zimekamilika, huku madaraja makubwa yakijengwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi pamoja ba Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega muda mfupi kabla ya Mhe Rais kuwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa

    Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa. Watoto hawa wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Tanga wana haki ya kumuimbia Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha na wao watoto wa kike wa Tanga wanajengewa shule ya bweni ya wasichana ili...
  20. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ne Zha 2 yashika nafasi ya tisa katika orodha ya filamu zilizopata mauzo makubwa duniani

    Filamu ya katuni (uhuishaji) ya Kichina "Nezha 2", ambayo ni muendelezo wa "Nezha 1: Kuzaliwa kwa Mtoto wa Shetani" hivi karibuni imefuatiliwa sana kote duniani. Baada ya kuingia kwenye nafasi ya tano katika mapato ya filamu zilizoonyeshwa kanda ya Kaskazini ya bara la Amerika na ya tatu huko...
Back
Top Bottom