makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fursa Ya Ajira kwenye Magari makubwa ya Mikoani na nje ya nchi

    Mwenye fursa naomba tupeane connection
  2. JamiiForums Tanzania Arusha: Mti umekauka, wananchi waomba wahusika waukate kabla haujaleta Madhara makubwa

    Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles). Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini...
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aanza kunyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha yakiwemo ya Kenyatta

    Rais wa Kenya na Naibu wake wameanza mkakakti wa kuwanyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha kipindi cha Rais wa kwanza, wa pili, wa tatu na wanne. Wakati huo wale veterans na familia zao hazina mashamba. Hivyo serikali chini ya Rais Ruto wameanza mkakati wa kuchukuwa mashamba hayo na...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi, Mtoto Akishikwa Matiti Yanakuwa Makubwa Tofauti na Asiposhikwa Shikwa au Sio Kweli...?

    Shalom...! Nimeskia story nyingi sana kuwa, Matiti yanapokuwa madogo wakati Binti akiwa under Eighteen hivi ni kweli kuwa hayo Matiti yakishikwa Shikwa yanakuwa Makubwa tofauti na mwanzo au ni story tu za watu wakuu...? Nikasema niulize wadau nikijumuisha madaktari ambao wapo JF pia ili tupate...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya itatuletea matatizo haya 3 makubwa kwa nchi yetu

    Nchi yetu sio ya demokrasia, hili tuliseme wazi bila kudanganya Rais wa nchi hii anaamuliwa na kikao cha kamati kuu ya CCM na wazee, amboa ndio huamua nani akatwe jina na nani apitishwe kwenda kupigiwa kura na wajumbe wa chama Akishapitishwa na wajumbe ndio tayari ameshakuwa rais, sababu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mishara ya Mameneja kwenya mabenki makubwa ni sh ngapi?

    Jamani nafanya salary survey, nataka kujua posts za mameneja wa vitengo mablimbali kwye mabenki yetu ni sh ngapi kwa sasa?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ushoga unasababishwa na mambo haya makubwa mawili. Papa Francisco aeleweke vizuri hapa

    Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili; 1) Natural predisposition (genetics). 2) Mazingira (malezi na trauma). Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya. Pia...
  8. JamiiForums Tanzania Wawekezaji wenye mafanikio makubwa kwenye majengo ya kupangisha wanakuwa hivi

    Mafanikio yanaanzia kwenye akili yako. Leo ninakushirikisha mambo mawili ambayo yanaweza kukuumiza. Endapo yatakuumiza pole na utanisamehe kwa hilo. Kusudi kuu la makala hii ni kuonyesha njia ya kweli ya kujenga utajiri kupitia ardhi na majengo. Tofauti 2 Za Wawekezaji Wenye Mafanikio Makubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) itataleta maendeleo makubwa na ya haraka zaidi kwenye sekta ya mafuta na gesi

    Maoni yangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Wizara ya Nishati Mimi nashauri tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas). Wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) na wizara ya nishati (Ministry of Energy). Wizara ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kibongobongo haya ni Mafanikio Makubwa kwako Kijana ukiwa nayo. Furahia Maisha

    KIBONGOBONGO HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA KWAKO KIJANA UKIWA NAYO. Anaandika, Robert Heriel Siandiki kukusifia, au kukufanya uridhike. Najaribu kukueleza kuwa lazima ukubali kuwa umepambana na ufurahie matunda ya Kazi ya mikono yako. Usiposhukuru Kwa hayo uliyonayo hutokuja kushukuru Kwa Yale...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Tundu Lissu akielezea mabadiliko makubwa matatu chini ya uongozi wa Rais Samia yaliyomfanya aamue kurudi nyumbani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , Tundu Lissu akielezea sababu zilizomfanya arudi nyumbani Tanzania baada ya miaka 5 akiishi ugenini. Hii ni hatua njema hususani katika kuimarisha demokrasia nchini, Rais Samia Suluhu Hassan wakati anaingia madarakani alisema matamanio yake ni kujenga nchi mmoja...
  12. JamiiForums Tanzania Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?

    Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali "hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni kweli tuna wanasheria, jee wanasheria waliopo ni wapo kweli au ni wapo wapo tuu?!. Kama kweli Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania UVCCM Mbeya kufanya maandamano kumpongeza Rais kuruhusu mikutano ya kisiasa

    Yanaandaliwa maandamano makubwa kuwahi kutokea jijini Mbeya na UVCCM. Sababu kuu ya maandamano haya ni kumpongeza mama Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa nchini. Wanadai wao pia walifungwa midomo kwa zaidi ya miaka 5 na walishindwa kupata majukwaa ya kuongelea.
  14. JamiiForums Tanzania Nikiambiwa nitaje Upuuzi wa Kufungia Mwaka 2022 haya Makubwa Mawili lazima yataongoza tu

    UPUUZI #1. " Kama Viongozi wa Yanga wakibaini Azam FC ndio wanamdanganya Feisal Salum aende kwao basi tunawaomba Viongozi wetu wavunje ule mkataba wetu na Azam halafu na sisi mashabiki wa Yanga hatutanunua bidhaa zozote za Azam " - Wazee wa Yanga na Viongozi wa matawi Yanga. UPUUZI #2...
  15. JamiiForums Tanzania Diaspora wa Kenya wafanya makubwa Marekani. Sisi Diaspora Wetu wanafanya nini cha kuonekana huko walipo?

    Wanabodi, Angalieni Diaspora Wenzetu Wanachofanya!, MKenya Afanya Makubwa US!, Sisi Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Walipo?. Just read and watch Swahili Village: A taste of Africa in United States of America Monday December 26 2022 The rich wooden finishing, lighting and...
  16. JamiiForums Tanzania Ni yapi madhambi makubwa?

    Ni wajibu kwa muumini kuyajua madhambi makubwa, na hii itasaidia kwake kuyaacha na kuyaepuka yale yote yatakayo mpelekea kuyatenda yale yatakayo mchukiza mola wake mlezi na kumuepusha na adhabu yake. Madhambi haya makubwa yamegawanyika mara mbili *kwa kuyatenda Mfano kuzini, kuiba nk *kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

    Kuondoa masomo ya uraia, aliyeshauri haya achunguzwe. Muhutasari huu hapa. Maboresho ya sera ya elimu. Yapo mengi ila hapa wamewasilisha machache tu. [emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254] ...Masomo kupunguzwa sekondari, ...civics na general study kufutwa kabisa, ...somo la...
  18. JamiiForums Tanzania Haba na haba hujaza kibaba, ni msemo niliyoutumia kwa kinyume kwa mafanikio makubwa sana

    Suala hili si la kifalsafa hata kidogo, ni suala la uhalisia wa moja kwa moja. Mfano ukiambiwa mtu mwenye kilo 50 anaweza kuinua mzigo wa tani 50, kwa akili za haraka haraka utabisha, lakini kwa kutumia ‘jeki’, mtu huyu anatumia nguvu zake zile zile, ila tu anazitoa kidogo kidogo hadi ile tani...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Maendeleo makubwa baada ya miaka 61 ya Uhuru

    Leo ikiwa tunasherekea miaka 61 ya uhuru tunajivuni uhuru uliodumu kwa miaka 61 bila kuupoteza Tanzania ni nchi inayoongoza kwa kuwa na amani upendo na ushilikiano ukilinganisha na nchi zingine lakini pia hapo miaka ya nyuma kidogo kuna uhuru tuliupoteza uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa...
  20. JamiiForums Tanzania Huenda mabadiliko makubwa yakafanywa ndani ya Serikali muda mfupi ujao. RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi

    === Baada ya kumsikiliza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hapo juu,Naomba nidondoe kidogo haya, Wakati wowote kuanzia Sasa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini na kwenye Chama, Mimi Wacha niwalaumu kidogo nyie maboss na endapo Kati yenu atasalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…