makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo Aainisha Mapinduzi Makubwa Katika Sekta ya Elimu Zanzibar

    📌📌KOMREDI JOKATE MWEGELO (MNEC) AAINISHA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR Asema Vijana wanayo kila Sababu ya Kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi Mambo Mengi makubwa Dkt. Mwinyi ameyafanya kwa Kipindi Kifupi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Konresi Jokate...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Abdulrahman Kinana amempongeza Rais Samia kwa kuvunja rekodi za Mapato

    Na Mwandishi Wetu, Musoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo kuongeza mapato ya Serikali bila ya wananchi kushurutishwa au kuporwa fedha...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini Serikali itaondoa/ itamaliza kadhia na mateso ya usafiri wa daladala kwenye majiji makubwa?

    Kuna wakati ukizoea sana shida huwa unaacha kuichukulia kama shida ila inageuka kuwa kama maisha ya kawaida. Kwenye majiji makubwa hasa Dar, Dodoma Mwanza Mbeya na Arusha majira ya asubuhi na jioni wananchi hupata mateso makubwa sana wanapohitaji kusafiri Kwa kutumia daladala. Licha ya kuwa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

    Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana Pia matajiri kwa matajiri husaidiana...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Matarajio ya Rais Samia kwenye Utalii ni makubwa, tumsaidie ku-brand utalii kama bidhaa

    Kila nikimtazama Rais wetu, naona matarajio aliyonayo katika kukuza utalii wetu kimataifa ni makubwa mno. Ili kutimiza matarajio hayo, anatumia mikakati mbalimbali hususani kushiriki katika uigizaji wa filamu za kukuza utalii. Naona Rais akitamani utalii usaidie kuongoza fedha za kigeni nchini...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yafanyika Niger kuitaka Marekani na mataifa mengine kuondoka Niger

    Idadi kubwa ya watu walijitokeza katika mji wa Yamai, mji mkuu wa Jamhuri ya Niger, wakitaka wanajeshi wa Marekani na nchi nyingine kuondoka nchini humo. Niger tayari imefuta makubaliano ya kijeshi na Marekani mwezi uliopita, na hii inakuja miezi michache baada ya mamlaka ya kijeshi ya nchi...
  7. JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi mitatu kutakuwa na mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri

    Kutoka katika korido za Lumumba mpaka korido za Magogoni ma Chamwino, moto unawaka. Yule mropokaji ametimiza kwa uzuri ile script yake aliyopewa kule Umasaini jana. Kuna mabadiliko makubwa yanakuja katika baraza. Kuna majina makubwa yataondolewa katika nafasi zao za sasa! Naambiwa wale wazee...
  8. JamiiForums Tanzania Hili la Makonda kuwataja hadharani anaowatuhumu kumtukana raisi mtandaoni, linaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria

    Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni mawaziri. Hili inaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria. Linaweza hata kupelekea kuwekwa tena...
  9. JamiiForums Tanzania Kufanya mauzo makubwa sio kupata faida

    Nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu kwanini hizi biashara za mtaani kwanini hazikui kwanini watu hawatajiriki nyingi zinakufa Biashara hizi zilizopo mtaani Maduka ya vitu vya rejareja Maduka ya vipodozi Wachoma chips Migahawa Maduka ya dawa nk Kwanini sasa biashara hizi watu hawatajiriki au...
  10. JamiiForums Tanzania Suala la abiria kwenye mabasi makubwa ya mikoani kujaa hadi wengine kusimama limehalalishwa?

    Nakumbuka kulikuwa na utaratibu barabarani kwenye mabasi makubwa ya masafa marefu yanayotoka mkoa mmoja hadi mwingine, askari wanaingia kukagua mabasi na moja ya mambo waliyokuwa wanaangalia ni kama basi limezidisha idadi ya abiria. Kutokana na hulka ya Watanzania tulivyo, tulikuwa tunakaushia...
  11. JamiiForums Tanzania Che Malone:Ni ndoto ya kila mchezaji duniani kote kushinda mataji na kucheza kwenye timu kubwa yenye malengo makubwa

    Nakutakia kila la kheri Kaka.
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  13. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yanakuja duniani

    MABADILIKO MAKUBWA YANAKUJA DUNIANI: Hivi sasa ukiwa makini na mfuatiliaji wa habari za kitaifa na kimataifa,utagundua haraka sana kwamba dunia inabadilika, na unabii unatimia, kwa haraka sana! Nchi ambazo ni maarufu na zenye nguvu za kiuchumi hivi sasa,yaani wale G7,watapotea na kufifia muda...
  14. JamiiForums Tanzania Madaraja 8 Makubwa Yamekamilika, Miaka Mitatu ya Rais Samia

    MADARAJA 8 MAKUBWA YAMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya Ujenzi imefanikisha ujenzi wa madaraja makubwa 8 yakiwemo Daraja la Wami mkoani Pwani, Daraja la...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali: Maombi ya Simba yalikuwa makubwa sana, tutawapa Tsh 42M kawa wenzao

    Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa timu moja pia tufanye kwa timu nyingine. Gharama za Yanga kwenda Pretoria kwa mashabiki ilikuwa kama...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi ndio Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika

    Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika (2024) 1. Egypt 🇪🇬 ($370.5 billion) 2. South Africa 🇿🇦 ($278.1 billion) 3. Algeria 🇩🇿 ($123.3 billion) 5. Morocco 🇲🇦 ($107.7 billion) 6. Sudan 🇸🇩 ($94.9 billion) 7. Kenya 🇰🇪 ($84.2 billion) 8. Nigeria 🇳🇬 ($73.9 billion) 9. Angola 🇦🇴 ($64.7...
  17. K

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais Samia fanya haya makubwa nchi itabadilika na uchumi kukua

    Leo nimerudi kwa upande wa ushauri na hivi vitu navyoshauri kila moja ni kitabu chake lakini nitaweka hapa mambo makubwa ambayo Raisi Samia akivifanya vitabadilisha nchi yetu kwa miaka mingi sana ijayo 1. Boresha sheria mbovu ya uchaguzi iliyopitishwa Bungeni kwa kuongeaza chaguzi za serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Israel yafanya mashambulizi makubwa Syria, wanajeshi wa Iran miongoni mwa waliouawa

    Israel imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran. Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran, wapiganaji wa Hezbollah, nk. Al Jazeera
  19. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar

    "Kama ningeweza kukivuta kisiwa hicho katikati ya Bahari ya Hindi, ningefanya hivyo." Alisema kwamba anafikiri mojawapo ya matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar. Hapana, sifanyi mzaha," alisema Aliyasema hayo katika tafrija ya chakula cha jioni jijini Dar es...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Fazili amjibu Mhaya na kuna makubwa ya kujifunza katika mahojiano haya; siri za utajiri wa kimungu

    Wote wanaokuja kumjua Mungu wa Kweli hujilaumu kwanini wamechelewa kumjua Mungu na maisha yao hubadilika kabisa. Kwasababu hukumjua basi naye "hakukujua". Hii ni tabia ya ajabu sana ya Mungu. Unajua kwanini? Ukimheshimu Mungu naye anakuheshimu! Na pia watu wengi hawapo kwa Mungu naye hayupo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…