Makosa yanayofanywa na wafanyabiashara wengi bila kujua, na namna bora ya kuyaepuka. Lengo letu ni kuhakikisha unapofikia hatua ya kumaliza mazungumzo na mteja, hauachi pesa mezani.
1. Kumlazimisha mteja kununua
Hakuna mteja anayetaka kushinikizwa. Watu hununua kwa sababu wanataka, si kwa...