Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,709
- 24,485
🤣Hujaelelweka.. ana pembe au mkia
Huyu ni agent huyu wa kuisaidia kuitafutia system uaji kuwatambua wapinzani halisi na wasaliti ndani yao ambao watajifunganisha naye .
Wewe ndiye yeye..Lazima tuMbona jamaa yeye kama ni jeshi la mtu mmoja na anajiongelea tu mambo yake ya kisheria kikakamavu. Kuna wakati yanawafurahisha Wanaharakati kunawakati yanafurahisha watawala.
Mimi nadhani kila mtu afanye mambo yake.
Mfano anasema..
1: Lissu kuwa muhaini ni uongo ni kesi ya uongo.
2:Mama ndio role model wake namba moja. Anazikubali sana zile 4R.
Binafsi nampenda nikimuona popote lazima nimsikilie maana akiongea lazima upate kitu kipya kwenye akili. Sio kama yule Mwakabu...
Exactly1. Madeleka ni Kada Mtiifu wa CCM
2.Madeleka ni Askali police.
3. Madeleka ni Pandikizi la CCM ndani ya ACT WAZALENDO.
4. Madeleka ni Mpokea Taarifa akumalize.
KUWENI MAKINI SANA NA BINADAMU.
MAANDIKO YANASEMA USIMUAMINI MWANADAMU.
Hahaha nilikuwa simzingatii ila juzijuzi nimemfuatilia hata kama anavizia uteuzi ila ni mtu wa maana sana azingatiwe. Sio mimi mzeeWewe ndiye yeye..Lazima tu
.
Kama alikuwa anakubalika, angepita ubunge bila kujali chama kinachomdhamini. Ni kama ilivyokuwa kwa Mfalamagoha Kibasa 1995 Iringa mjini, Mkosamali na Machali 2010Mkurupukaji tu huyo....
Hajui kusoma upepo..angetuliza kichwa akajiunga CHADEMA...akagombea Ubunge-Jimbo la Ilemela-Mwanza,wakati wowote alikuwa anashinda tena kwa kishindo.
Msaada na Utetezi, wake wa Kisheria kwa makundi mbali mbali ya Kijamii aliokuwa anautoa..Ulikuwa umeanza kuzungumziwa sana kwenye vijiwe na viunga vya Jimbo hilo lenye maamuzi tasa,ki Siasa.
Na Jimbo hilo lilivyo na makundi tofauti tofauti ya Kijamii yanayosigana mara kwa mara na vyombo vya Dola(Wavuvi,Wamachinga,Mama Ntile,Wanawake-Barmaids-Dada Poa nk.).Kwa Mwelekeo wake huo, alionyesha ku 'FIT IN'.
-Msimamo.wa -'No Reforns No Election'- akashindwa kuendana nao..Akayumba.
Kwa sasa haeleweki kama ni MNYAMA au NDEGE..amekuwa POPO
Kitaaluma yuko njema sana hilo halina ubishi..Utata ni namna anavyojaribu kui husianisha taaluma yake hiyo ya Sheria na suala zima la Siasa..na uzuri hajaingia kwenye Siasa kwa kificho,alikuwa wazi na dhani 2020 aligombea hata Ubunge Jimbo la Geita Mjini kupitia ACT-Wazalendo.Hata kama ni haki kuwa na jicho la kiuchunguzi katika kila jambo, lakin tuongozwe na uelewa kuliko hisia.
Madereka ni asset ya kijamii katika nyanja yake ya sheria.
Kama ni pandikizi bas aliyempanda aitwe mjinga au faras kashakata kamba kwasabab mwanga wa kumulika ubovu wa kisheria na kimfumo anaoleta kwenye jamii ni mkali kiasi kwamba damage iko wazi kwa watawala.(hata polepole kuna waliosema ni pandikizi. ndo kusema alipandwa akanyauka au!)
Nadhan tujitibu huu ugonjwa wa kujihoji kijinga/kimbumbumbu!
Tusijefikia pahala wenye maarifa na uthubutu wakakaa pemben kama kilichotokea humu jf baada ya kugeuzwa fb!
Na tukubaliane kwa hekma kwamba hata kwenye siasa na wanasiasa wa vyama mbadala kuna wajinga, wapumbavu na wanafiki!
Basi tuache ramli chonganishi.
Madereka ni anajua sheria na anafanyiakazi elimu, ujuzi na maarifa yake kikamilifu...finito!
[Nawe km una mchango kwa Taifa kama upishi au maua leta tukusikilize]