Yaani Hii Nchi hata waliokuwa wanapanga Miji ni wapuuzi sana,Kuna maeneo mengi sana ni hatarishi Kwa maisha ya watu ila yamefanywa kuwa sehemu za makazi.
Mfano ni Bonde la Ziwa Rukwa ambako kuna Vijijini vingi sana lakini nature ya eneo ni Eneo oevu na Lina mito Mingi,mashamba ya mpunga nk...
Masikini atateseka km nje ni mtu wa Show-off,
Mchafu wewe huna pa kuponea, maana hali ya uchumi haihalalishi uchafu hapo sasa lazima uwe na timing ya giza na majiranii.
Maana kwenye kuhama bana! watu sikuhio utaona kama wameongezeka halafu kila yule unahisi anakuangalia.
Ukiwa zako ndani...
Dhahabu ni mali ngumu kupatikana ila ikigundulika eneo au makazi yako utakoma.
Uwezi kumzuia mtu kuchimba, nyumba zitabomolewa, watu wataweka kambi watakavyo,uovu utaongezeka.
Kuna dalili naziona bora isitokee kama itakuwa kweli watu wakijua tumekwisha.
MPAKA SASA
Naomba ni ninyamaze maana...
Habari wa na JF,
Swala la bomoabomoa ni moja ya jambo linaloweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mfumo wa maisha ya mtu...Hizi bomoa bomoa zinaweza kuwa kwa makosa ya mtu binafsi labda kujenga ndani ya eneo lisilo sahihi au upanuzi wa project mbalimbali za serikali.
Katika changamoto hii tupeane...
Nahisi shida ni moja tu sisi wenye hela tunatamani kujenga kumpita fulani wakati asiye na hela hawazi anajenga vyovyote, anakwenda kisebule na chumba na kistoo na choo kisha anakuja kukupangisha wewe mwenye hela zako; unampa hela anaenda kununua tena kiwanja anajenga nyingine safari.
2023...
Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua nategemea kuingia kwenye hatua ya finishing. Baada ya kufika hatua hii likaja wazo kuwa huko mbeleni nije...
Kuna baadhi ya jamii au Kaya huamini kuwa miti Ni Kama adui wa usalama wao lakini kumbe miti Ina faida nyingi kuliko hasara. Jamani tumeona mabadiliko ya Hali ya hewa na tabia ya nchi. Jamani tubadilike tupande miti angalau mti mmoja utakuwa umechangia kutunza Mazingira yetu.
- Raia wamesimama nje bila msaada wakisubiri hatma na huruma ya moto.
Kuna haja ya kuondoa hivi viwanda vikubwa kwenye makazi.
Kue na point za zimamoto mahali ambapo kuna makazi ya raia ila hizi pointi ziwe na maji pia
Tuandae raia kuyakabili majanga kama moto , mafuriko n.k
UPDATE
Fire...
Kiwango cha umasikini na sera ya nchi ya kumiliki ardhi na viwanja ni changamoto kubwa sana! Ukiacha watoto inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini?
Sera ya nchi ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na makazi salama inaharibiwa na utaratibu mbovu wa watu kumiliki...
Wakuu mambo vipi? Naona ma PDF yameanza kumwagika, changamoto ya malalamiko ya kwanini Utumishi wako kimya, inakwenda kuisha huku changamoto nyingine zinazotokana na kuitwa zinaanza kuibuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kwa wote, wanaokwenda kwenye Saili mbalimbali na hata wanaowategemea...
ANUANI ZA MAKAZI SIO UREMBO, ZILETE MAENDELEO
Tanzania kama nchi inayoendel inajitahidi kuleta mifumo nafuu Kwa watu Ili kuwasaidia katika shughuli zao Moja ya hiyo ni mfumo wa anuani ya makazi ambapo utekelezaji wake umefanyika mwaka huu kutokana na sera ya Taifa ya posta ya mwaka 2003...
Maana ya sensa: Ni utaratibu wa kitakwimu wa kuhesabu, kuchambua na kutunza kumbukumbu za watu na makazi. Kwa mjibu wa sensa nchini Tanzania, ilianza baada ya nchi kupata uhuru. Hivyo imekuwa Kila baadae ya miaka kumi kunakuwa na zoezi la sensa ya watu na makazi. Sensa Ina umuhimu sana katika...
Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:
Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti?
kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja...
Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi?
Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani?
Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa...
Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea.
Ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo...
Hizi ni baadhi ya faida ya sensa
kuisaidia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazo saidia mchakato wa utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2025
Kuisaidia Serikali kujua ongezeko la idadi ya watu kwa mgawanyo wa viashiria vyengine ambavyo ni muhimu kwa Usimamizi wa mazingira
Kigawio...
Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne:
1: Dodoso la Jamii
2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi
3: Dodoso la Makundi Maalum
4: Dodoso la Majengo
1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
Tanzania nchi yangu, naipenda nchi yangu TANZANIA.
Kwa sasa nchi yetu inaenda kufanya zoezi la muhimu mno la kujua idadi ya watu,maeneo wanayoishi na hali zao kwa ujumla.
Kwa umuhimu huu napenda kuwaomba watu wote waliohumu jf kuwa mawakala wa kuhakikisha kila mmoja anahesabiwa.
Natoa...
Maandalizi ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Yamekamilika, Kazi Iliyobaki ni Moja Tuu, Tujitokeze kwa Wingi kwa Kujituliza, Tuhesabiwe!
Utangulizi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo tarehe 23, mwezi Agosti 2022. Wizara ya Fedha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.