makazi

  1. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Sensa ya watu na makazi

    Bado tuna jamii ambazo zinaweza kukataa kuhesabiwa au kukwamisha zoezi la kuhesabiwa kwa sababu zozote zile? Tafakari kutoka tamthiliya ya Ngoswe,Penzi kitovu cha uzembe (Edwin Semzaba) Edwin Semzaba ktk tamthiliya yake alibainisha changamoto za uadidi wa watu ktk kijiji cha akina Ngengemkeni...
  2. Askarimtu

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi

    Habarini wataalamu Naomba kuuliza iwapo hii imewahi kutokea nchini au popote duniani. Je, matokeo ya SENSA YA WATU NA MAKAZI yaliwahi kutumika kubadilisha baadhi ya sheria nyeti kabisa za nchi husika?? Au mbali sana yakabadilisha kabisa KATIBA ya nchi? Ukiacha na mambo ya kuzuiliwa kuzaa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wawafanyia upimaji wa afya wazee kwenye maeneo ya makazi mjini Hefei, China

    Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya gani kwa serekali yetu kulitwaa eneo la vingunguti na kujenga makazi ya kisasa

    Ipo haja ya serekali yetu kuona umuhimu wa suala hili, kwa ni eneo ambalo lipo kilometre chache sana kutoka city center, linastahili kuwa upgraded n kufanana na maeneo ya upanga na kwingineko, pia ni eneo ambalo linaeweza kupangwa tukapata kariakoo 2,mpangilio wa ujenzi ufanywe kwa wenye...
  5. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwanja wa mbele na nyuma ya nyumba kama bustani asilia zenye vitendo vya kilimo mseto katika makazi(mijini na vijijini) kuelekea maendeleo endelevu

    Swali kubwa linaloibuwa mijadala miongoni mwa jamii ni kwa namna gani inawezekana kukidhi mahitaji ya muhimu ya ki-jamii bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao wenyewe. Katika miaka ya hivi karibuni kumeshudiwa uharibifu mkubwa wa mazingira asilia katika nchi ukilinganisha na...
  6. Madjeshi

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wananchi wamepata elimu ya kutosha kuhusu sensa ya watu na makazi, kwa maendeleo?

    Sensa ya Watu na Makazi inatarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu kote nchini, wengi tunaamini na kufahamu Sensa ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu. Bila shaka kuna baadhi ya watu hawajatambua umuhimu wa Sensa katika taifa letu la Tanzania licha ya zoezi hilo kuwasaidia Wananchi hao na...
  7. Abdideol

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya bado tunaweza kuiita Sensa ya Watu na Makazi?

    Hivi sensa itamuhesabu vipi yule Mtu anayelala Darajani Salenda au kwenye Mabaraza pale Manzese? 🤔 Ikiwa tunasema ni sensa ya watu na makazi? Na itakuaje kuhusu bajeti ya mtu huyu baada ya yeye kutokuhesabiwa kwa kuwa hana makazi maalumu na darajani pale au sokoni ambapo anapatikana wakati wa...
  8. Alkelokas

    JamiiForums Tanzania Watu wa maji na beacon zao na mabango ya ilani kuwekwa kwenye makazi

    Hivi karibuni katika mtaa ninaoishi ambapo pia nimejenga nyumba ninayoishi,kumejitokeza watu wanaojiita Bodi ya maji ya Bonde la Ziwa Nyasa wakidai kuwa hili ni eneo la chanzo cha maji hivyo hapapaswi kufanya shughuli zozote za kibinadamu. Kilichonishangaza ni kuwa watu walipokuwa wanajenga...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa mikoa ya Kusini: Watatu wafariki, Wawili wapona na Watano wamejitenga katika makazi yao

    Wizara ya Afya imesema kufikia Julai 12, 2022 kulikuwa na Wagonjwa 13, na 3 kati yao wamefariki dunia Wenye dalili za Homa, Kuvuja Damu puani kuumwa kichwa na mwili kuchoka wanaendelea kutafutwa Sampuli za awali zilizopimwa katika maabara ya Taifa zimeonesha majibu hasi (negative) kwa ugonjwa...
  10. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Wale mlioomba kazi ya Sensa ya Watu na Mmakazi naamini wote mlisoma kitabu cha Ngoswe

    WALE MLIOOMBA KAZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NAAMINI WOTE MLISOMA KITABU CHA NGOSWE "Penzi kitovu cha uzembe" TUNAKUMBUSHANA. HATA MIMI NIMEOMBA😁😁🙈 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 MITOMINGI; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo MAMA_MAZOEA; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Serikali na Waziri Nape tupeni ufafanuzi kuhusu kuchangia Anwani za Makazi

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Swali kwa faida ya watanzania 🙏 Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia . Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi wanachangishwa kwa viwango tofauti ili tuweze kupata anuani za makazi. Tena tumeambiwa...
  12. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Waandamanaji wavamia makazi ya Rais kushinikiza aachie madaraka

    Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika Maelfu ya Waandamaji katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo wamevamia Makazi rasmi ya Rais Gotabaya Rajapaksa. Maandamano hayo kushinikiza Kiongozi huyo aachie madaraka yanatajwa kuwa makubwa zaidi mwaka huu Inaripotiwa kuwa...
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi

    Ukweli ni kwamba watu wenye ulemavu wana mahitaji mbalimbali, hivyo kupitia sensa itakuwa sehemu sahihi ya kushughulikiwa changamoto zao, baada ya kukamilika kwa utaratibu huo. Kitendo cha kuwaficha wenye ulemavu hao kutawakosesha haki yao ya msingi katika shughuli za maendeleo zitakazokuwa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watoto 30,000 wakimbia makazi Msumbiji ndani ya mwezi mmoja

    Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa Msumbiji zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha zaidi ya watoto 30,000 kukimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa Juni, 2022. Hiyo ni idadi kubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja katika mapigano hayo. Mashambulizi mengi yametokea...
  15. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Kumbe Urusi ililenga silaha za NATO zilizohifadhiwa karibu na makazi ya watu? Nani alaumiwe hapa

    Kikosi cha Wanaanga cha Urusi kilianzisha shambulizi la anga la "usahihi wa hali ya juu" dhidi ya hifadhi za ndege za Ukraine zilizokuwa na silaha na risasi katika eneo la kati la Poltava siku ya Jumatatu, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema jana (Jumanne). Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi afungua kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani vijana kwa ajili ya kujiandaa na ushiriki wa Sensa

    KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AMEFUNGUA RASMI KAMPENI YA UHAMASISHAJI SENSA YA WATU NA MAKAZI VIJANA WATAKIWA KUWA 'MACHAMPION' WA SENSA KATIBU MKUU wa Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi amefungua rasmi kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UN: Watu zaidi ya 84,000 wamekimbia makazi yao Sudan

    Umoja wa Mataifa umeripoti Alhamisi kwamba ghasia magharibi mwa Sudan mwezi huu pekee zimewakosesha makazi watu zaidi ya 84,000. Umoja wa mataifa umeripoti Alhamisi kwamba ghasia magharibi mwa Sudan mwezi huu pekee zimewakosesha makazi watu zaidi ya 84,000. Imeongeza kuwa idadi hiyo...
  18. Neyahoo

    JamiiForums Tanzania Boxabl Casita: Elon Musk aanzisha makazi ya Bei nafuu

    Wakati watu wengine wakipata utajiri wanawaza kuspend as much as they can au asipospend Basi atawekeza zaidi kukuza utajiri wao lakin Elon musk yupo kivingine huyu jamaa Ana vision ya hali ya juu Sana badala ya kuongeza product ambazo zitawanyonya wanyonge ili yeye abaki juu kama wanavyofanya...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu milioni 89.3 wamekimbia makazi yao Duniani, kwa mujibu wa UNHCR

    Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) za mwaka 2021 ambazo pia zinatumuka mpaka sasa zinaonesha kuna idadi ya watu milioni 89.3 ambao wamekimbia makazi yao, kati yao watu milioni 27.1 ni wakimbizi, pia nusu ya hao Wakimbizi wana umri chini ya miaka 18. Watu...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Anwani za makazi za aina hii tuseme wote hapana

    Anwani za makazi ni jambo jema lenye Nia njema. Lengo lake ni kutambua tunapatikana wapi ndani ya mitaa, kata, tarafa, wilaya, mikoa ndani ya Tanzania. Kila mkoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji na mitaa ina majina yake maalumu ambayo kama ukiyataja kila mtu atajua ni la mkoa na wilaya gani...
Back
Top Bottom