malivawan10
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 541
- 310
Jamani pesa yenyewe dongo ila CWT tena wananikata wakati mimi nipo chama kingine jamaani tunakufa na huyu cwt msaada ndugu rais utusaidie afisa utumishi wanatunyonya wakishirikiana na ofisi ya cwt
😁Embu relax kwanza, tulia ongea vizuri...unajieleza kama unamuona afisa utumishi yule anakuja na kikatio cha mishahara
Ndugu yaaan ni mateso hawa jamaaaEmbu relax kwanza, tulia ongea vizuri...unajieleza kama unamuona afisa utumishi yule anakuja na kikatio cha mishahara
Nenda idara ya kazi.Jamani pesa yenyewe dongo ila CWT tena wananikata wakati mimi nipo chama kingine jamaani tunakufa na huyu cwt msaada ndugu rais utusaidie afisa utumishi wanatunyonya wakishirikiana na ofisi ya cwt