Makato makubwa ya Airtel Master Card

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,043
Leo kwa mara ya kwanza nimetumia Airtel Master card baada ya kuwa ninatumia M-Pesa Master Card kwa muda.

Nilichogundua Airtel wana makato makubwa yaani more than twice ya M-Pesa.

Nilikuwa nalipia kitu Google Play kina thamani ya 9000 ambapo nikitumiaga M-Pesa naweka 11000 na change inabaki ila kwa Airtel wamekata 12500 which means gharama ni 3500.
 
Aitel vunja mastercard yao ilinipiga buku sita hivihivi.

Mastercard yao ni mbovu inathamini pesa.
 
Kwa anayefahamu makato ya Airtel Mastercard per each transaction atujuze, and if there is any other hidden fees. I want to give it a try today.

Nmekuwa natumia M-pesa mastercard kwa miaka kadhaa na nmependezwa na huduma yao iko open wao wanakata 4% per each transaction i.e ukilipia muamala wa Tsh 10,000/= watakata Tsh. 10400/= net. Also faida yao nyngne kuna separation ya Normal M-pesa acc na Mastercard acc pesa zinakaa tofaut of which I think inaongeza usalama.
Nawasilisha

cc: @Black Tie Mwl.RCT Rogie @Shopfasta King Shaat Ze showstopper wegman Mateja M.G Yango Ndebile Konsciouz Complex Brainze11 lembu Pritty wa joseph Chief-Mkwawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom