Kama CRDB wana Makato Kwa mwezi huwa ni kiasi gani?

elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Ndugu Habarini za Asubuhi,

Samahani naomba kuuliza: Je, CRDB Bank huwa na makato? Kwa sababu nilifungulia Akaunti ya CRDB miezi ya nyuma halafu nikaweka kiasi flani cha Pesa kama laki moja Hivi Nikakuta Zimetolewa Baadhi. Imeniuma sana na kudhani kuna mtu kazipunguza.

Na je, ni Bank zote huwa zina Makato? Kama ni zote naomba mnipe Msaada ni ipi yenye Makato ya unafuu kwa sababu haya Maisha ni magumu sana.

Na pia kama CRDB wana Makato kwa mwezi huwa ni kiasi gani? Ili nijue.

Asanteni sana kwa Msaada.
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,269
2,000
Inategemea na aina ya Account yako.

Accounts nyingi zina makato (Account maintainance fee)
 

gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
7,591
2,000
Fungua acc Equity Bank hawana makato kabisa...

Hao CRDB kama acc imekaa zaidi ya mwaka bora uachane nayo tu!
 

elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Fungua acc Equity Bank hawana makato kabisa...

Hao CRDB kama acc imekaa zaidi ya mwaka bora uachane nayo tu!
Duuh ina zaidi ua mwaka na miezi tisa.Ni kama miaka kiwili tuu.Kwani ikikaa Muda Mrefu Kuna Tatizo??.
 

elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Kama ulivyoambiwa inategemea na aina ya ac,
Mfano ac za biashara, kuna bank wanakata 15000, 20000, 12000 kila mwezi.

Za saving pia inategemea, ila hazizidi 4000 kwa bank nyingi
Saw Asante sana.Ya Kwangu Itakuwa Saving pia Nataka Niitumie Kwenye Kazi.
 

gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
7,591
2,000
Duuh ina zaidi ua mwaka na miezi tisa.Ni kama miaka kiwili tuu.Kwani ikikaa Muda Mrefu Kuna Tatizo??.
Utakuta ina deni.. sikumbuki wanachaji sh ngap kwa mwezi ila jiandae kulipa hela yao kwanza!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom