makao makuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nazjaz

    Makao Makuu ya JamiiForums yako wapi?

    Yaani JamiiForums ofisi zenu kwanini mnazificha na hamuziweki bayana? Utasikia mara kwa Warioba Mikocheni, Mara Kawe Tripple Seven, Mara Msasani Mokoroshoni. Mbona hivyo? Mnajificha nini?
  2. Idugunde

    Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  3. MK254

    Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena

    Hawa Wagner ndio kete aliyokua amebaki nayo Mrusi, maana ameishiwa wanajeshi ambao wamefyekwa balaa. Sasa makao makuu ya Wagner yamefanywa majivu....mbele kwa mbele twende wanetu Ukraine, likomboeni taifa lenu. Vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea, nimeona habari nyingine leo Crimea...
  4. YEHODAYA

    ACT Wazalendo kuzindua makao makuu mapya

    Ijumaa, Oktoba 28, 2022 Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kitazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo ya uzinduzi itafanyika Oktoba 30, 2022 huku Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe ndiye atakayekuwa mgeni rasmi. Kulingana na taarifa...
  5. M

    Zitto na vijana wako acheni kuwananga CHADEMA kisa tu kufungua ofisi ya makao makuu

  6. Mohamed Said

    Jengo la Maalim Seif Makao Makuu ya ACT Wazalendo

    Siku moja jioni moja miaka sita iliyopita nilipata bahati ya kumfikia Maalim nyumbani kwake Sharif Shamba nje na mbali na matarumbeta na shamrashamra za mikutano na mengineyo. Ilikuwa starehe kubwa kwangu kunywa kahawa na Maalim na kuchekanae mfano tuko barzani tunapumzika. Lakini tabu...
  7. Mohamed Said

    Jengo Jipya la Makao Makuu ya ACT Wazalendo Ngome ya Maendeleo na Amani

    JENGO JIPYA MAKAO MAKUU YA ACT WAZALENDO NGOME YA MAENDELEO NA AMANI Naangalia picha ya jengo la Makao Makuu ya ACT Wazalendo lililoko Magomeni Mikumi. Jengo hili limepewa jina la Maalim Seif Sharif Hamad. Hakika ni jengo la kisasa linalovutia sana. Nina kawaida kila nionapo jambo basi mimi...
  8. Curtis De Mi Amor

    Tabora special thread

    Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana. Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
  9. MK254

    Picha: Makao makuu ya Urusi yalipuliwa kwenye operesheni ya kuirejesha Kherson

    Urusi baada ya kuteka mji wa Kherson, walipata jeuri hadi ya kusimika makao makuu na kujichimbia, sasa kibao kimegeuzwa, operesheni fagia fagia na kufyatua, Ukraine wanakomboa ardhi ya mababu zao..... makombora ya HIMARS yanachana anga. AUkrainian strike in occupied Kherson on Tuesday morning...
  10. Roving Journalist

    Rais Samia afungua kikao kazi cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi, Shule ya Polisi TZ (TPS) Moshi, Agosti 30, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa / Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, leo tarehe 30 Agosti, 2022. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania - IGP...
  11. MK254

    Ukraine walipua makao makuu ya jeshi la wanamaji la Urusi pale Crimea - Black Sea Fleet headquarters

    Ni mwendo wa kulipua lipua hapa na pale.... A drone strike has hit Russia’s Black Sea Fleet headquarters in the Crimea, Kremlin officials have confirmed. Social media footage showed a plume of smoke arising from a location in Sevastopol on Friday evening, which is where the fleet is based...
  12. peno hasegawa

    Uteuzi Polisi Trafiki ufanywe na kitengo maalum kati ya TISS , TAKUKURU na Polisi Makao Makuu badala ya RPC wa mikoani

    Sasa ni wakati wa kupindua meza trafic police wachaguliwe na kitengo maalum badala ya kuteuliwa na maRPC wa mikoa kwenda kuwakusanyia fedha barabarani. Iwapo MaRPC Watson dolerà jukumu hilo Jeshi la polisi litaluwa Jeshi la kisasa lisilo na rushwa barabarani. RPC akimteua trafic lazima...
  13. B

    Uganda yapinga Benki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Makao Makuu Tanzania

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Uganda ambaye pia ni waziri wa EAC Bi. Rebecca Kadaga apinga wazo hilo kwani Tanzania tayari ni makao makuu ya taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Uganda ina Taasisi 3 za Jumuiya ya Afrika Mashariki zenye makao yake makuu Uganda. Jumuiya ya Afrika...
  14. The Sunk Cost Fallacy

    Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?

    Moja kwa moja kwenye mada, Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu. Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au? Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na...
  15. Taifa Digital Forum

    IGP Wambura Awasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma

    Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP. CAMILLUS WAMBURA amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi baada ya kuapishwa Ikulu, Chamwino Dodoma.
  16. Roving Journalist

    Waziri Dkt. Stergomena atembelea Mradi Ujenzi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa eneo la Kikombo, wilaya ya Chamwino Dodoma, tarehe 12 Julai, 2022. Hii ni ziara ya pili kwa Waziri kutembelea mradi wa ujenzi. Lengo la ziara hiyo, ni kukagua...
  17. ROOM 47

    Mitaa ya Gongo la Mboto kituo cha Mzambarauni mpaka kituo kipya ndio makao makuu ya kunguru hapa wilaya ya Ilala

    Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
  18. Q

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni. Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu. Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
  19. Mtapenda

    Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

    Nimefika dodoma toka juzi Hawachangamki Hwaongei Wala hawacheki Dodoma sio mji wa kibiashara Dodoma sio mji uliochangamka Dodoma kuna wagogo ambao hawajui shughuli yao maalumu ni ipi Dodoma hamna kitu Nimefika dodoma hamna sehemu ya starehe ambayo watu wanakosa seat za kukaa ata ukifika sa 6...
  20. Baraka Mina

    Dodoma: Rais Samia azindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Msalato jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya...
Back
Top Bottom