makao makuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ROOM 47

    JamiiForums Tanzania Mitaa ya Gongo la Mboto kituo cha Mzambarauni mpaka kituo kipya ndio makao makuu ya kunguru hapa wilaya ya Ilala

    Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni. Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu. Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
  3. Mtapenda

    JamiiForums Tanzania Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

    Nimefika dodoma toka juzi Hawachangamki Hwaongei Wala hawacheki Dodoma sio mji wa kibiashara Dodoma sio mji uliochangamka Dodoma kuna wagogo ambao hawajui shughuli yao maalumu ni ipi Dodoma hamna kitu Nimefika dodoma hamna sehemu ya starehe ambayo watu wanakosa seat za kukaa ata ukifika sa 6...
  4. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia azindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Msalato jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya...
  5. homeless1

    JamiiForums Tanzania CAFCC: Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki

    Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki Skill Pace Finish 100%
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya CHADEMA yafurika, umati wafunga mtaa baada ya Mbowe kuachiwa huru

    Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake, Kinondoni mtaa wa Ufipa, bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia wanachama na wananchi. Sasa baada ya kulijua hilo wananchi kwa maelfu wamevamia Makao Makuu hayo kwa...
  7. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

    Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania EWURA Makao Makuu Dodoma wajifunza utapeli wa ajira hewa

    EWURA MAKAO MAKUU DODOMA WANATANGAZA. KAZI NA HAWAITO WATU KWENYE INTERVIEW MATOKEO YAKE WANAAJIRI KINYEMELA. Mfano ajira hii tangu itangazwe hadi leo Hakuna kinachoendelea ila unaweza Kukuta Nafasi hii ilishajazwa huku watanzania Salisbury kuitwa kwenye Interview. January Makamba upo...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

    Ufunuo 13:2 BHN Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu DANIELI 7 Wanyama wanne wakubwa 1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya EU duniani yatoa dozi 115,200 kwa Tanzania bila Masharti

    Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU, Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure, Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sheherekeeni Uhuru wenu Uwanja wa Uhuru na 'Makomandoo' wenu na Sisi CHADEMA tunasheherekea Makao Makuu Kwetu

    Na Sisi CHADEMA hatoishia tu Kusheherekea Siku hiyo ya Uhuru bali hata Kauli Mbiu yetu itakuwa ni Katiba Mpya kwa Tanzania tuitakayo. Halafu na nyie Watu fulani ambao huwa mnatumwa na mnapenda kuja Kutuvamia na hata Kutupiga taarifa iwafikieni kuwa wana CHADEMA wote Siku hiyo tumekubaliana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ijenge ofisi za makao makuu kwa kila chama cha upinzani kilichoasisiwa 1992

    Kwa sababu wakati mfumo wa vyama vingi vya siasa ukianza rasmi 1992 CCM ilibahatika kurithi mali zote ilizozimiliki wakati wa mfumo wa chama kimoja ambazo kimsingi zilikuwa ni mali za watanzania wote. Ikumbukwe kuwa vyama vya upinzani 1992 viliundwa na wanaccm wenye mawazo mbadala na hiyo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

    Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini. Lakini makusanyo kwa mwezi ni kati ya trilioni 1.2 - 1.3 kwa mwezi. Hivyo fedha hazitoshi kuendelea na miradi yote...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Taarifa yao iliyosambazwa hii hapa ============================================= "Ili [CHADEMA] tuweze kushiriki kikao chochote cha Msajili [wa Vyama vya Siasa] lazima zuio la vyama kufanya mikutano ya hadhara liondolewe, ili tukienda kwenye vikao, twende kama vyama huru, tusiende kama...
  16. SAKA25

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kwenye usaili jeshi la polisi makao makuu 2021

    DOWNLOAD PDF FILE CHINI
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Matamanio ya IGP Sirro anayosema amejifunza Rwanda kuhusu Polisi kuingia Misikitini na Makanisani na kuandaa mitaala ni kinyume na Katiba

    Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina . Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo 14/9/2021 kitafanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwenye ofisi...
  18. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Speaker akerwa na mwendo wa kurudisha makao makuu dar kwa viongozi kurejea dar kila mara

    Mwendo wa kurudisha shughuli za makao makuu dar umeonekana mara baada ya kuaga dunia magufuli na mama samia kua rais. Swala la kuhamia dodoma limekua gumu kwa miaka zaidi ya arobaini hadi alipoingia magufuli. Kitendo cha rais samia kuonekana kwa kupenda au kushauriwa kufanya shughuli za...
  19. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kwa Umma Toka Jeshi la Polisi Makao Makuu

  20. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya Nchi Dodoma Kulikoni?

    Wakuu Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka, viongozi waandamizi na shughuli kadhaa zimesita hapo jijini Dodoma huku serikali ikitekeleza majukumu yake ya kazi nyingi kutokea huko jijini Dar Es Salaam wananchi hawaelewi mnawapeleka wapi na kwanini? Kiongozi yeyote asiye fanya kazi kwa kuzingatia...
Back
Top Bottom