majukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali kutolipa mishahara watumishi kwa kisingizio cha kutojaza majukumu yao kwenye mfumo wa ESS ni unyang'anyi usiotumia Silaha

    Serikali ya awamu ya Sita iliachana na mfumo wa kujaza OPRASS kwenye makaratasi (nakala ngumu) badala yake ikatambulisha PEPMIS kupitia mfumo Employee Self Service kwa kifupi ESS. Ikiwa na maana kwamba taarifa muhimu na za Msingi kuhusu Mtumishi zitakua kwenye mfumo huu. Ikiwemo Kujaza...
  2. JamiiForums Tanzania Majukumu ya Wizara ya Elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu ni yapi

    Habari wananzengo, Napenda kujuzwa juu ya majukumu ya Wizara ya Elimu kwenye elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu. Na, Je hakuna uwezekani majukumu yao kuingiliana?
  3. JamiiForums Tanzania Siku 3 kabla ya kucheza na Yanga, wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns watakuwa Algeria kwenye majukumu ya kitaifa

    Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi yoyote ya kimataifa hamtaki wagusweguswe hata kwa wiki mbili mkiogopa eti watachoka au kuumia...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA hoja ya Kikwete ni ya ovyo; ana majukumu ya kimataifa

    Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu, nitumie mbinu gani hichi kikombe cha majukumu kinikimbie?

    Kuna mchepuko wangu wa zamani (shepu matata) alinipigia simu mwezi uliopita, na kunijulisha nimpokee rafiki yake anakuja mkoa niliopo kwa ajili ya kushughulikia mambo yake. Ingawa alinisii, nisimsaliti kwa sababu huyo rafiki yake ni pisi kali; mi nikamwambia haina shida, mi sina madhara kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye majukumu, lazima tukimbiane tu

    Baada ya tarehe kumi na nne kupita, sasa ni majukumu tu; hapa lazima tukimbiane. Waswahili wanasema, ndege mjanja ukamatwa kwenye tundu bovu. Au mna maoni gani, wakuu?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja madarakani kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ungemuondoa nani?

    Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo? Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani? Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus)...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti: 50% ya Waandishi wa Habari Tanzania wameripoti kuwahi kutishiwa, kushambuliwa au kuteswa wakiwa kwenye majukumu yao

    Ripoti ya Utafiti wa Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari kuhusu Sekta ya Habari Tanzania imebaini masuala muhimu yafuatayo: 20% ya Waandishi wa Habari wanasema ajira yao ni ya kudumu huku 63% wanasema ni vigumu kupata maisha mazuri kupitia Uandishi wa Habari. Waandishi wa Habari wa Kike...
  9. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro kwenye Power Breakfast umekwepa ila ni majukumu yako, nina swali kwako

    Leo nimesikiliza kipindi cha Clouds Power Breakfast lakini kwa jinsi ulivojaribu kulinda heshima ni kweli sio jambo zuri kuwa wazi ni kuchonganisha raia na jeshi la polisi. Lakini swali la kujiuliza ni ili WATU WANATEKANAJE? Kumekuwa na malalamiko ya utekaji kwa kutumia jeshi la polisi au kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Zijue tofauti za rangi na majukumu yake kwa kofia ngumu zivaliwazo kwenye ujenzi

  11. JamiiForums Tanzania Wananchi kukimbilia kwa Makonda kueleza kero zao je Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa wameshindwa majukumu yao?

    Tumeona mama katoka Tabora anasema Tabora alikosa nafasi akaenda kahama akakosa nafasi, hakuchoka akaenda mpaka kigoma ndio akapata nafasi akaeleza kero zake kwa mh Paulo makonda swali fikirishi sana shida ipo wapi je wanainchi hawana imani na viongozi waliopo katika halmashauri zao ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Nini majukumu ya majeshi ya Zanzibar?

    Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum. Idara Maalum inajumuisha: (A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU (B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM (C). Chuo cha Mafunzo Nafikiri, Chuo cha mafunzo ni mbadala wa Jeshi la Magereza. Vikosi...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia aache kukwepa majukumu

    Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi. Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoa ni muungano uliofeli

    Nimeona machapisho mengi kuhusu ndoa zisizofanikiwa. Kuna sababu nyingi zinazochangia ndoa kufeli ambazo ni pamoja na kudanganywa, kukosa uaminifu kati yao, Ukata wa fedha. Lakini Wengine huamka tu asubuhi na kugundua kuwa wake zao/mme wake hana mvuto tena [walimlazimisha ]. Hizi ni baadhi tu ya...
  15. G

    JamiiForums Tanzania TCU inakwepa majukumu yake kuhusu Postgraduate Studies?

    Habari Members ! Kumekuwa na changamoto ya Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha programu zao za Uzamili(Masters) pasipo Uwazi uliopo baina ya Vyuo vikuu vya Tanzania/baadhi Taasisi husika za elimu na TCU umekaa kimya. 1. Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha masters...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Unayajua majukumu ya Viongozi wako wa Mtaa? Je, wanayatimiza?

    Salaam Wakuu, Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Watu wengi tunauchukulia poa Uchaguzi wa hivi kwa kutokuelewa hasa umuhimu na majukumu ya Serikali za Mitaa. Kabla ya kufika Uchaguzi Je unayajua majukumu ya viongozi wako wa Mtaa kama Wenyeviti, Madiwani na Watendaji? Je...
  17. JamiiForums Tanzania Mwananchi ampa Traffic Police Tsh. 500,000 kwa kutekeleza vyema majukumu yake kazini

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Arusha, Sajenti Anna Kidenge amepongezwa na kupewa fedha Shilingi 500,000 kwa kutoa huduma bora barabarani. Mwananchi aliyetoa zawadi hiyo amesema ameguswa na namna ambavyo Askari huyo amekuwa akimwona wakati akitekeleza majukumu yake ya usalama...
  18. JamiiForums Tanzania JE, UNAPENDA KUSOMEA UANDISHI WA HABARI LAKINI UKO "BUSY" NA MAJUKUMU?

    Tumeendelea kutoa masomo kwa njia ya Mtandao. Yaani Online Learning. Utaweza kujipatia mafunzo popote ulipo kupitia mfumo wetu wa kidigitali wa ufundishaji. Utaweza kuonana na walimu ana kwa ana kupitia "Video Conference". Na endapo utapata muda wa kututembelea basi utapata one-on-one Consultation.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa v/s Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ni yapi majukumu yao?

    Mwenye kufahamu utendaji kazi na majukumu yao kati ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Nyongeza ndogo, Je! Kura ya Turufu ni inamaana gani?
  20. JamiiForums Tanzania Huu ni uzalendo au bado Serikali yetu inashindwa kutimiza majukumu yake?

    Natumai ni wazima wana jamvi? Hii Taarifa ya mwaka Jana Dec 30, ndugu mmoja mfanyabiashara kisiwa cha gana wilaya ya Ukerewe, amejitolea nyumba yake iwe sehemu ya kituo cha Polisi baada ya kuwepo kwa matukio katika kisiwa hicho yaliyokithiri. Ikiwemo wizi wa injini za maboti ya uvuvi, ulevi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…