comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,544
- 17,560
Kuamini kwenye MAJINI ni dalili za uchawi
WanazinguaUnabishana na watu wa mnyaazi ?!!
Yaliyobaki ugalatiani ndo mabaya?Majini mazuri ni mapepo yaliyo silimu yakawa maislamu.
Hiyo ni kwa mujibu wa UKRISTO eeeh??Usichanganye majini na malaika waovu, hao ni viumbe aina mbili tofauti. Malaika waovu ni kundi la malaika waliyoasi hivyo ni sahihi kusema hakuna wazuri au wema ndani yake ila majini si katika malaika kabisa.
Ukristo haujaeleza viumbe majini bali umeeleza malaika waovu. Wewe ukimuona mkristo anawaelezea majini we muulize source ya hayo maelezo.Hiyo ni kwa mujibu wa UKRISTO eeeh??
Kwani kuwa muislamu tu ndio unakuwa mtu mzuri? Mbona kuna waislamu na wana matendo machafu? Majini wapo hadi wakristo na wasiokuwa na dini kabisa.Majini mazuri ni mapepo yaliyo silimu yakawa maislamu.
Hakuna jini Mkristo, hayo yote ni maislamu na Qur an inasema yalisilimu acha kukana ndugu zenu katika imani.Kwani kuwa muislamu tu ndio unakuwa mtu mzuri? Mbona kuna waislamu na wana matendo machafu? Majini wapo hadi wakristo na wasiokuwa na dini kabisa.
Hakuna jini Mkristo kama lipo lete ushahidi wa aya nikupe ushahidi wa majini na shetani kusilimu.Yaliyobaki ugalatiani ndo mabaya?
Mkuu, Hii elimu ya kuhusu majini unaitoa sana hapa jamvini lakini hawataki kukuelewa.Ukristo haujaeleza viumbe majini bali umeeleza malaika waovu. Wewe ukimuona mkristo anawaelezea majini we muulize source ya hayo maelezo.