majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nkuruvi

    JamiiForums Tanzania Nini Kiswahili sanifu cha Majina ua watu hawa?

    Wadau, nifahamisheni watu hawa waweza kuwaita kwa jina gani kwa uhusiano huu. 1. Mwanaume ambaye tumeoa familia moja. (Yaani ameoa mdogo wa mke wangu), mimi namuitaje? 2. Mdogo wa kike wa Mwanaume ambaye tumeoa familia moja. 3. Wanawake ambao wameolewa familia moja (Yaani wanawake wawili...
  2. Yohimbe bark

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kukuta baadhi ya majina na namba kwenye contact list yako huyajui kabisa?

    Vipi wakuu, mimi hapa napitia contact list yangu Kuna baadhi ya contacts sizijui kabisa na sikumbuki nilizipata vipi na wapi. Kuna mmoja nimekuta nimemsave "muuza madela" ila sielewi chochote.
  3. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Pengine watu wengi hukosa haki zao kwasababu ya changamoto za majina ya NIDA

    📖Mhadhara (68)✍️ Katika mizunguko yangu ya leo tarehe 27/11/2024, majira ya saa 14:20 nilifika kwenye duka la nguo la dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 40. Wakati nachagua nguo dada huyo akiwa na mwenzake walikuwa wanazungumza jambo. Kwenye mazungumzo yao dada mwenye duka anamshauri...
  4. Bams

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ludewa, Mkoani Njombe, Majina ya Wagombea Kupitia CHADEMA hayamo Kwenye Karatasi za Kupigia Kura.

    Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha. Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi kubwa kuenguliwa wagombea wa CHADEMA, ambapo kati ya wagombea 198 wa vitongoji, walienguliwa wote, kati...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: Msimamizi afafanua kukosekana kwa majina Mtoni kwa Azizi Ally

    Kuzaliwa kwa vituo vipya vya kupigia kura tofauti na vilivyotumika kuandikisha imetajwa kuwa sababu ya wananchi kutoona majina yao katika sehemu walizojisajili. Hilo limesemwa na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kata ya Mtoni, Nobert Kamugisha baada ya kuwapo kwa malalamiko ya baadhi ya watu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kinondoni: Majina ya wapiga kura yameandikwa kiholela

    Kama tunavofahamu Leo tunapiga kura, na zoezi limeshaanza tayari. Sasa nimepita hapa Kata ya kinondoni shule ya msingi, wananchi wanalalamika, Wengine wameondoka kabisa, kwasababu wamekuja kupiga kura hawaoni majina yao, Wanachosema ni kwamba majina yamerundikana na hayajapangwa Kwa herufi...
  7. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Kwanini maumbo na majina ya kijinsi yalikuwa hivi?

    Ndugu zangu, Tukiweka imani za dini pembeni na ukikaa ukichunguza sana huku unajiuliza maswali mengi utakuja kugundua kwamba kuna utata wa majina ya kijinsia , maumbo ya kijinsia na mavazi yake? . Swali. 1: Ni kwanini basi jinsia ya kike ikaumbwa kwa umbo lile na imekuaje kuaje mpaka ikawa...
  8. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadili majina ya mtoto shuleni ukoje??

    WKuu Nina kijana yuko form 3 anaingia form four. Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani. Je utaratibu wa kisheria ukoje
  9. ward41

    JamiiForums Tanzania Ni taifa la Israel tu raia wake 24 wako mbele kabisa katika utawala wa Mungu Mbinguni

    Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana. Wenye hekima Watanielewa. Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu utawala. Utawala huu Mungu ameandaa kwa ajili ya Wanadamu. Sasa basi, kwa sehemu, Mungu ametufunulia...
  10. Loimata

    JamiiForums Tanzania Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

    ,,,
  11. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkoani Singida kata ya Utemini, wagombea waliobandikwa ni wa CCM tu

    Baada ya majina ya wagombea kutolewa jana na kubandikwa hali ya sintofahamu imeendelea kujitokeza km ilivyo kwenye maeneo mengi nchini. Mkoani Singida kata ya Utemini ambayo inasimamia mitaa mitatu ya Sabasaba, Utemini na Stesheni wagombea waliobandikwa ni wa CCM tu. 1.Mtaa wa Sabasaba hakuna...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Majina marefu ya Kiafrika, naomba uongeze ulijualo

    Kati ya majina marefu ya kiasili niyajuayo ni haya: Uvuvwevwevwe Onyetenyevwe Ugwemubwem Ossas toka Nigeria. na Andriantsimitoviaminandriandehibe, Andriantsimitoviaminandriandrazaka, na Andrianampoinimerinatompokoindrindra toka Madagascar. Waweza kuongeza ujualo tafadhali ili tuanze safari ya...
  13. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ilaa kuharibiana majina kwingine, walimu muongeze umakini.

  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Majina ya watu ya Asili kama vile ya kikabila na ya kiswahili uenda yakatoweka

    Ukifanya utafiti utagundua siku hizi watu wengi hawawapi watoto wao majina ya Kiasili kama vile ya kikabila au ya kiswahili. Siku hizi majina mengi yanabaki kuwa ya kizungu kwa wakristo au ya kiarabu kwa waislamu. Zama za kale watu walipewa majina kulingana na vitu mbalimbali au matukio...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makada wa CCM wajitupa chini watoa shutuma kwa wanaokata majina katika kura za maoni Arusha

    Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na aliyeongoza kupata kura za maoni 189 jina lake limekatwa na aliyepata kura 36 jina kurejeshwa kama...
  16. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Majina ya wasanii wa bongo yasiyo na mvuto

    Baadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji. Kuna majina ya kisanii ukiyasikia yaani haya "sound", japo mwenye jina anaweza kuwa msanii mzuri. Kutengeneza jina zuri ni sawa na kutengeneza brand name ya kampuni au "logo". Nitatoa mifano: 1. Majina...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wiki moja baada ya agizo la RC Kilimanjaro: Wizi wa Vitabu vya Majina ya Wakazi, Polisi mmefikia wapi?

    Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
  18. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania Majina ya Walioitwa kazini - TMDA

    Wanajamvi, Hayawi hayawi sasa yamekua. Naona TAMISEMI na DAs wengine wameanza kuachia mikeka. Leo ni zamu ya Dar Es Salaam. Hongereni sana kwa mliopata. Wengine tuendelee kusubiri. NOTE: Ikitokea nafasi omba. Unaweza omba Songea ukaibukia TMDA
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kwenu waislam wenye majina ya kiarabu, Haya ndiyo majina yenu original yenye asili ya kiyahudi

    Majina haya ya kiarabu asili yake original ni ya wayahudi yenye lugha ya kihebrania, Kama una majina haya basi tambua kwamba asili ya jina lako ni kwa wayahudi Shlomoh - Suleyman (Sulemani) Mosheh - Musa Amram - Imran Chanokh - Idris Dawid - Dawud Yishmaʿel - Yahya (Yahaya) HaSatan - Shaytan...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: Karani abanwa baada ya kuongeza majina hewa 200 kwenye daftari la Wapiga Kura

    Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Teknolojia imezidi kufichua mbinu za zamani za kuhujumu uchaguzi kwa kuongeza wapiga kura hewa kutoka...
Back
Top Bottom