Video kuhusu taarifa sahihi, Maswali na Majibu kuhusu viza hii .
Epuka kutapeliwa; kumbuka hakuna ada yeyote inayotozwa kwa kutuma maombi yako.
https://dvprogram.state.gov/. #DiversityVisa
American Diversity Visa Season for the year 2023
Accurate information, Questions and Answers about...
1. Yanga SC wameamua kuwa kwa Msimu huu iwe Mvua au Jua na kwa Mikakati yoyote ya ndani na nje ya Uwanja wanashinda.
2. Kuumiza kwa Makusudi Wachezaji wa Simba SC ili Timu itetereke na ikose muelekeo katika Ligi.
3. Baada ya Yanga SC Kutolewa Alfajiri tu huko CAF CL huku wakiwa hawataki...
Kuna vijiminong'ono!
Kwamba Je, ilikua haki Rais Samia kukubali kusalimiwa na Mamge kimambi aliyewahi kuutukana utawala wa awamu ya TANO?
Jibu ni ndiyo!
Rais alikuwa sahihi kabisa kwasababu zifuatazo;
1. Rais alihudhuria mkutano na kuongea na watanzania waishio Marekani, hivyo kukataa...
Nmefanya Usaili Finca J4 ila mpaka Leo siku ya 5 naona Kimya au ndio ule msemo wa ukiona manyoya ujue kashaliwa😂😂😂
Ila nilifanya vizuri nina uhakika Labda kama kuna mtu yoyote anaefahamu recruitment process yao huwa inachukua muda gani?
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu
CCM na CHADEMA karibu kila chama kimekuwa kikijinasibu kina wafuasi wengi wanaowaelewa
Hoja yangu ni hii Taifa letu limeleta chanjo milioni 1 ambazo hadi sasa inasemekana zimetumika chanjo chini ya laki nne
Kwa muda sasa najua wafuasi wengi wa CCM hawana...
Habarini wadau, ilikuwa siku ya 07/08/2021 Nyomi kubwa ya watu zaidi ya elfu 15 ilikusanyika chuoni UDOM kufanya usaili wa TRA hatua ya written kwa kada Mbalimbali kuanzia ngazi ya Diploma Hadi Degree.
Lakini baada ya kufanya written siku ya 09/08/21 UTUMISHI wakatoa tangazo la kuahirisha...
Jamaa muda huu yupo live kwenye kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, anaulizwa maswali anajibu kwa majivuno na kebehi sana!
Mojawapo ya swali aliulizwa,
Mwandishi: watu na mashabiki wa ngumu wanataka pambano lako na Twaha Kiduku vipi linaweza kufanyika?
Mwakinyo: Mimi siwezi...
Habari wana jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kidato cha 5 na 6. Vitabu ni aina ya "Review" kwa maana vina maswali takriban 108 pamoja na majibu yake. Bei yake ni shs 10,000 kila kimoja. Niko Dar es salaam sehemu za Tegeta lakini kama uko mbali nitakutumia...
Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga.
Rejea kisa cha...
MAJIBU YA MNYIKA KWA RAIS, MWENDELEZO WA LOW IQ NDANI YA CHADEMA
Siku zote nimekuwa nikisema Chadema ni genge la wahuni na basi kama kuna wakati hilo limethibitika basi ni majibu ya Chadema leo kwa mahojiano ambayo Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameyafanya na BBC akiwa mtulivu na akijenga hoja...
Assalamu Aleykum
Nimemsikia Mhe. Rais, Mama Samia Suluhu akiwa anahojiwa na Mwandishi, Salimu Kikeke. Kwa kweli Maswali yamejibiwa vizuri Sana.
Nafahamu Siasa zilivyo, nafahamu mambo ya kiutawala Kwa kiasi kidogo, Kwa majibu ya Rais Samia ni wazi amejibu kwa kiwango cha juu mno.
Ingawaje...
Ukweli natamani kuwa mshauri wa Rais.
Rais wetu ni muungwana sana. Ana mtazamo chanya kuhusu taifa. Ila kupitia mahojiano ya leo watu wanaofikiri sana atakuwa kama washauri walitakiwa wabuni maswali na majibu yote baada ya mahojiano. Kama mama anaongea kwa kumaanisha ni lazima ajue.
1...
Wakuu,
Baada ya kukaa likizo bongo kwa wiki tatu nilifanya vipimo vya Corona na kulipia ada ya malipo ya Tsh. 230,000 siku ya Jumatano tarehe 4 ili nijiandae na safari yangu iliyokuwa jana siku ya Ijumaa tarehe 6.
Cha ajabu mpaka ilipofikia lisaa limoja kabla ya muda wangu wa safari bado...
Nini maana ya
1)Ground Substance?
2)Je Fibrous Protein na Fiber ni kitu kimoja?
3)Nini maana ya Extracellular Matrix
4)Basement Membrane
5)Inflammatory ni Nini
6)Bone marrow
MAJIBU YA MASWALI MBALIMBALI YALIYOTEKA MJADALA WA CHANJO YA CORONA KULETWA NCHINI
Toka Serikali kupitia kwa Kamati maalum aliyoiunda Rais Samia Suluhu Hassan itangaze uamuzi wa kuruhusu chanjo kuja na toka chanjo iingie nchini, kumezuka mjadala mkubwa sana kwa Watanzania, kila mtu akisema lake...
ZIARA YA MHE MWENDA YATOA MAJIBU YA KERO 5 NZITO IRAMBA
Akiwa siku yake ya pili ya ziara ya kuendelea kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika kata ya Kiomboi, Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda alipokea changamoto ya maji ambayo Mwakilishi wa Meneja wa RUWASA akatoa...