majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Suala la Juma Mgunda, TFF wamezidisha maswali zaidi kuliko majibu au ufafanuzi walioutowa

    Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali. 1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni. Sasa swali la...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ndiyo wakati wa majibu uliyokuwa unajiuliza ukiwa mtoto

    Anaandika, Robert Heriel Maisha ni mchezo wa maswali na majibu. Kikawaida swali ndio linatangulia ndipo jibu lifuate. Lakini kwenye maisha majibu huweza kutangulia alafu maswali ndio yafuate. Hayo ni maisha. Yapo majibu yasiyo na maswali. Lakini hakuna swali lisilo na jibu. Vijana bado...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

    Nape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena. Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya kibenki anajibu kwa nyodo. Majibu yake yananuka shombo la ulevi wa madaraka. Nchi hii jamani! Acha tu.
  4. JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI: Hospitali za DSM hazitoi majibu sahihi vipimo vya UTI

    “Kila nikihisi homa na kwenda hospitali kupima nakutwa na UTI. Imekuwa ikinitokea mara kwa mara, napewa dawa nakunywa lakini bado inarudi tena,” ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam. Urinary Tract Infection au UTI ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi kwa njia...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Sababu ya majibu ya kura za Urais kutofautiana ni kwa kuwa matokeo yote siyo rasmi

    Sababu ya mwendelezo wa matokeo ya Urais kutofautiana katika vyombo vya habari sababu imeelezwa ni kwa kuwa wamepewa ruhusa ya kuhesabu kutokana na vyanzo vyao lakini matokeo rasmi ni yake ambao yatatangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) baada ya zoezi la kuhesabu kura kukamilika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Raphael Chegeni, ulijidai chawa na kutoa kejeli kwa Magufuli naona leo umeyapata majibu!

    Mkiambiwa chama kipo kwa mwenye nacho mnajidai kuwa chawa mkumbukwe! Kwanza mjue kabisa Samia na kundi lake hawana mipango na nyinyi watu wenye nasaba na Magufuli iwe kwa maeneo mtokayo nk! Chegeni alipopigwa chini kwenye ubunge alijua adui yake ni Magufuli bila kujua kuwa Chegeni CV yako ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Sekunde ya 10 kwa Mchungaji Gwajima

    Kuhusu lile treni letu mkuu..au ulimaanisha treni la kwenye betting....pia ma guru na magwiji wa mambo mbalimbali.. Mnieleweshe sekunde ya 10 weka pause(mkono wa kulia)kwenye hii video kiongozi wetu alimaanisha nini....kwamba nae ndio walewale...maana hiyo mano carnuto haijajileta yenyewe...
  8. JamiiForums Tanzania Ona Majibu ya fumbo la "Ufanye nini upo mtini kuna nyoka, majini kuna mamba na nchi kavu kuna simba"

    Mwamba amejitahidi kufikiria. Nilicho muelewa huyu mwamba ni kwamba " Always use ur problem as a solution to ur problem". Ukipatwa na tatizo zaidi ya moja kwa wakati mmoja chagua tatizo moja Kati yao na ulitumie ku solve matatizo mengine. Uzi umekamilika now unaweza toa maoni yako 1...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuna anayejua Pesa za Kodi, Tozo, Misaada na Mikopo zinakwenda wapi?

    Habari JF, Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi. Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha...
  10. JamiiForums Tanzania Maombi ya Zumaridi kutokuwa na imani na Hakimu yakosa majibu Mahakamani, Julai 18, 2022

    Maombi ya mshtakiwa Diana Bundala "Mfalme Zumaridi" ya kutokuwa na imani na Hakimu anayeendesha kesi namba 10 ya kujeruhi askari na kumzuia afisa ustawi kutekeleza majukumu yake yameshindwa kupata majibu baada ya Hakimu huyo kudai alipata changamoto ya kiafya. Mapema leo hii mfalme Zumaridi...
  11. JamiiForums Tanzania Je, unasumbuliwa na Kisukari na unapenda kujitibu mwenyewe kwa lishe? Majibu haya hapa...

    Salama wadau, nimekutana sehemu na hili andiko la ndugu yetu, nadhani linaweza kusaidia jamii, wale wenye Kisukari na ambao hawana kwa lengo la kujilinda -------------------- JE UNASUMBULIWA NA KISUKARI NA UNAPENDA KUJITIBU MWENYEWE KWA LISHE? Katika miaka ya karibu kumekuwa na ongezeko kubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Joto likipanda utasikia ni uchafuzi wa mazingira, baridi likizidi wanafunga midomo hawana majibu

    Habari! Kuna wakati Mimi napingana na sayansi ya mazingira. Mara nyingi hata kwenye mikutano ya kimataifa wanajadili global warming ambayo inasababishwa na shughuli za kibinadamu kama viwanda, kilimo, uvuvi n.k. Lakini kuna misimu mingine ya baridi kwa maeneo mbalimbali duniani inapita kawaida...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

    Moja kwa moja Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara Paul Koroso, aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”

    Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni. Dk Mollel pia ameagiza Koroso...
  15. JamiiForums Tanzania Je, unatambua athari za majibu yako?

    Kwa faida ya wengine... Ijumaa iliyopita, nilikuwa darasani nikiwafundisha wanafunzi wangu ndipo mwanafunzi mmoja wa kike akainua mkono kuuliza swali. Nilimruhusu na akauliza swali rahisi sana ambalo nilidhani anapaswa kujua jibu lake maana tayari nilikuwa nimezungumzia mada hiyo wiki...
  16. JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maswali Mengi Majibu Machache

    Leo nimefuatilia mahojiano aliyoyafanya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na nimbaki na maswali mengi kuliko majibu Othman Masoud Othman amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kung’olewa kwa kile kinachosemwa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema majibu ya Baraza la Wawakilishi yalimfanya aingie kwenye Siasa. Anayajua majibu ya mawaziri wake Bunge la JMT!

    Rais Samia amesema pamoja na kupewa ushauri na mama Anna Mkapa kuingia kwenye siasa, sababu iliyomfanya kuwania nafasi kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ambapo ndio safari yake ya kisiasa ilipoanzia ni kukerwa na majibu yaliyokuwa yanatolewa kwenye baraza hilo. Najiuliza anayajua majibu...
  18. JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Kwanini Habib Kyombo amevaa jezi ya DTB FC badala ya Singida Big Stars?

    Watu wa Soka, Juzi Jumanne 21/06/2022 saa 7:00 mchana tulimtambulisha rasmi mchezaji wetu mpya Habib Haji Kyombo ambaye tumemsajili kuja kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji. Kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii (@singidabsfc) tulichapisha baadhi ya picha zake akiwa anasaini...
  19. JamiiForums Tanzania Vipi ikatokea Spika Tulia akija na mbinu mpya? Wamekata Rufaa, nasubiria majibu ya rufaa huku muda ukisogea mara 2025 hiyoo

    Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje? wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see britanicca
  20. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Serikali inaua wananchi wangu wa Tarime vijijini. Tume zinaundwa na hakuna majibu

    Namsikiliza mbunge wa Tarime vijijini ana hoja nzito juu ya raia ambao ni wananchi wa jimbo la Tarime vijijini anatoa ushahidi wa majina na ya raia waliopigwa risasi na waliouwawa na waliojeruhiwa. Blah blah za George Simbachawene zikataka kumziba Waitara. Spika akaomba ushahidi juu ya tuhuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…