maji

  1. J

    JamiiForums Sheikh Alhad Salum: Misikiti isiyoweka vitakasa mikono, maji tiririka na sabuni kufungwa, atangaza kufunga ofisi ya Sheikh wa mkoa kwa siku 30

    Shehe mkuu wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salum amewataka mashehe wote mkoani Dsm kuzingatia maelekezo ya wizara ya afya ya kuweka vitakasa mikono na maji tiririka na sabuni na watakaopuuza misikiti yao itafungwa. Pia ukaaji wakati wa ibada uwe ni wa kuachiana nafasi kiasi cha kutopumuliana. Aidha...
  2. G

    JamiiForums Idara ya Maji Mwanza-MWAUWASA: Kukatwa kwa maji siku ya pili leo na hili tatizo la Corona!! Huu ni ukatili dhidi ya binadamu viongozi mko wapi?

    Jamani enyi Viongozi wa Mamlaka ya Maji Mwanza, Ina maana hamlioni hili? Au majumbani mwenu kuna uhakika wa maji muda wote? Siku ya pili sasa Mitaa ya Nyakato, National Buzuruga kote hakuna maji na haya ni maeneo ya stand kunakohitajika maji ya uhakika kwa watu kunawa mikono angalau kujikinga...
  3. JamiiForums Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundikano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa...
  4. J

    JamiiForums Sheikh wa mkoa wa Dar, Alhad Salum awachachamalia ITV kwa kutoweka vitakasa mikono na maji mlangoni

    Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam alhad Mussa Salum jana aliwahoji watangazaji wa kipindi cha Malumbano ya Hoja kwanini hawaweki vitakasa mikono na maji tiririka mlangoni? Sheikh alilalamika kuwa yeye alipita bila kunawa popote hadi kufika hapo meza kuu alipokaa. Mtangazaji Kivuyo alisema...
  5. JamiiForums, JamiiForums Kenya Kenya kufuta malipo ya umeme na maji kuwapa unafuu wananchi

    Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya umeme na maji kwa miezi sita.
  6. JamiiForums ULINGANISHO WA UBORA: Tanki la Maji la Plastiki vs, Tanki la bati au chuma. Lipi imara?

    Tanki la kuhifadhia Maji la Plastiki dhidi ya tanki la chuma Unapotafuta tanki la kuhifadhia maji ya mvua au hata ya bomba kwa ajili ya matumizi ya baadae huko sokoni utapata matanki ya kila sampuli ambayo yametengenezwa kutokana na malighafi tofauti. Sasa kwa leo tuangalie haya mawili. Kama...
  7. J

    JamiiForums Je, ni kweli kunywa maji kwa wingi kunazuia kupata maambukizi ya COVID19?

    Japokuwa ni muhimu kunywa maji kwa wingi wakati unaugua ugonjwa wowote unaosababishwa na Virusi, maji hayo hayazuii wewe kupata virusi hivyo. Madai kuwa maji hayo yatazuia virusi kutoka kwenye koo kwenda kwenye mapafu, si kweli #Coronavirus huambukizwa kwa kupitia maji maji yaliyopo kwenye...
  8. JamiiForums Kozi za Chuo cha Maji zina soko?

    Naomba kujua kozi za chuo cha maji zipoje sokoni,vipi uhitajika wake kwenye jamii upoje. Asante
  9. JamiiForums Elimu nzuri sana ya namna ya kunawa mikono, ila je watanzania wangapi wanamudu au kufikiwa na mfumo huo wa maji na sabuni haina hiyo?

    Maelekezo ni mengi na mazuri kabisa, na yamekuwepo hata kabla ya Corona mpya kusumbua watu. Namna inayoonyeshwa kwenye video ni nzuri sana, ila je ni watanzania wangapi wanaweza kumudu mfumo huo wa maji? Au ni wangapi wamefikiwa na mfumo huo wa maji? Je, watanzania wangapi wanamudu aina ya...
  10. JamiiForums Maadhimisho ya siku ya maji duniani, UN wasisitiza kunawa

    Siku hii, Machi 22 kila mwaka Umoja wa mataifa huangalia umuhimu wa maji safi, na kuwafahamisha watu zaidi ya bilioni 2.2 ambao hawana uwezekano wa kupata maji safi Kwa mwaka 2020 Umoja wa mataifa wanasema ‘Maji na sabauni dhidi ya #CoronaVirus” Usafi wa mikono ni muhimu kupunguza kuenea kwa...
  11. B

    JamiiForums Barabara Jangwani yajaa maji, yafungwa

    March 19, 2020 Dar es Salaam, Tanzania. Barabara Jangwani jijini Dar es Salaam Tanzania yajaa maji, yafungwa. Ingawa mvua haijanyesha leo lakini eneo hilo lililo katika ya vitongoji maarufu vya Magomeni na Kariakoo jijini Dar es Salaam hali imekuwa tete ktk bonde hilo la Jangwani. Source ...
  12. JamiiForums Mwanafunzi mmoja amefariki baada ya kuzama maji.

    Mtu mmoja ambaye inasadikika kuwa Ni mwanafunzi wa QT jinsia ya kuume katika shule ambayo haikujulikana Mara moja,amezama maji katika ufukwe wa Ununio.Tukio Hilo limetokea majira ya SAA 10 jioni,inasemekana alikuwa akiongelea na wenzake wanne wasichana watatu na mmoja wa kuume ambao...
  13. JamiiForums Usimpatie maji, mtoto mchanga chini ya umri wa miezi 6

    Mtoto mchanga chini ya miezi sita hapaswi kupewa chochote kile tofauti na maziwa ya mama, mtoto mchanga chini ya miezi sita hatakiwi kupewa maji, kwasababu maziwa ya mama yana maji yakutosha ndio maana mtoto anakojoa, na ukitaka kufahamu kwamba maziwa ya mama yana maji ya kutosha yakamue kisha...
  14. JamiiForums INAUZWA Machine ya kukoroga sabuni za maji inauzwa

    Machine ya kukoroga sabuni za Maji inauzwa. Ina uwezo wa kukoroha Lita 200 kila dk,15 bei ni sh million 5 tu. Sema nami namba hizo: 0784692584: 0715888376 welcome.
  15. JamiiForums Bajeti: Wizara ya Maji yapewa 11%, mambo ya ndani yapelekewa 228%

  16. JamiiForums Ubunge Simanjiro waibua balaa CCM, Millya maji ya shingo

    Maandiko matakatifu yameeleza kwamba Laana ya usaliti ni kubwa mno , na kwamba inaweza kutafuna hadi kizazi cha 4 cha mhusika , hii maana yake ni kwamba Laana aliyoitenda Babu mnyororo wake unavikumba hadi vitukuu . Hii ndio hali iliyomkumba Mbunge wa Simanjiro James Millya . Ameandaliwa raia...
  17. M

    JamiiForums Hivi Polisi wanatakiwa kupewa hela ya umeme na maji kwenye mishahara yao?

    Nimekuwa nikikaa nao kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kuhusu kutokulipwa posho za maji na umeme, nilijaribu kumuuliza askari mmoja akasema kuna mtu mmoja wizarani anakwamisha jambo hilo. Sasa nauliza kumbe! Kuna utaratibu wa majeshi kulipwa posho za maji na umeme? Je, hawa polisi na...
  18. M

    JamiiForums Hivi Polisi na Magereza wanatakiwa kulipwa posho ya umeme na maji kwenye mishahara yao?

    Kila nikiwa kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kunyimwa haki yao ya posho za maji na umeme Sasa naomba kujua kuna utaratibu wa majeshi kulipwa hizo posho? Kama upo kwanini wanalalamika nini kinawakwamisha? Nilijaribu kumuuliza pot mmoja kuhusu hilo akasema kuna mtu mmoja wizarani kwao...
  19. JamiiForums "Maharage ya Mbeya maji mara moja" ni kauli ya kweli? Ni kwenye maharage tu au hadi kwa wanambeya? Kama kauli huumba, Jibu sahihi ni Oktoba 2020!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, ambalo jibu lake rasmi litapatikana baada ya October 28, 2020, ila kama una majibu, unaweza kuchangia kujibu na sio lazima tusubiri hadi hiyo October 2020. Angalizo: Naomba kuanza hili bandiko na angalizo la mawazo masafi, tusome bandiko hili tukiwa na...
  20. JamiiForums Ruvuma: Wawili wafariki baada ya kusombwa na maji

    Watu wawili wamefariki dunia katika kata ya Matumbi halmashauri ya wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma kwa kusombwa na maji ya mto huku baadhi ya barabara na madaraja yakiathirika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Diwani wa kata ya Matumbi Bw.Valentine Mtemauti amesema mito kwenye kata yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…