maji

  1. C

    Wakati Rais Samia akimsifia Waziri wa Maji, huku mtaani hatuna maji siku ya 3 leo

    Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza. Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara. Kwa wiki mbili zilizopita huku mtaani ninapoishi maji yalikuwa yanatoka kwa presha kama ya mkojo, huwezi hata kupandisha...
  2. Paa hili licha ya kuhitaji mabati machache pia ni rahisi kujenga muundo wa kuvuna maji ya mvua

    Uvunaji wa maji ya mvua husaidia sana kuondoa shida ya maji. Kwa paa kama hili ni rahisi kukusanya maji na kuyahifadhi katika kisima ulicho kiandaa. Wakati wa ujenzi unapanga sehemu ya vyoo na mabafu yawe upande mmoja na septic tanks ziwe upande huo. Upande wa pili unandaa kusima cha maji...
  3. Hivi inakuwaje wale wanaomwaga maji?

    Mwaka 2019 nikiwa migori bwawa la mtera nilifanikiwa kupiga chabo jamaa fulani mwendesha truck na demu mmoja. Kwa mara ya kwanza nilishuhudia mwanamke akimwaga maji baada ya kuliwa mbususu, sikujua kama kaliwa vizuri au vibaya maana alivokuwa anamwaga maji alikuwa mpaka anatetemeka. Toka hapo...
  4. R

    TANGAUWASA fuateni ratiba ya mgao wa maji basi

    Hatuna shida na mgao wa maji. Basi fuateni ratiba ya mgao wa maji mliyoitangaza. Jana mpaka leo hatuna maji!
  5. T

    Kiwanja maji ya chai arusha 6.5mil

    Kiwanja kinauzwa kiko mita 200 kutoka kituo cha kona ya maroroni maji ya chai barabara kuu ya moshi arusha ukubwa ni mita 30 kwa 15 kinaumiliki halali kiwanja kimezungukwa na maeneo yaliyojengeka makazi mazuri maji na umeme vipo barabara pana na mandhari nzuri ya kilimanjaro na meru bei ni...
  6. Sengerema, Mwanza: Fisi ajeruhi wawili wakiteka maji

    Watu wawili wamejeruhiwa na fisi sehemu mbalimbali za miili yao katika Kijiji cha Nyamabano, Halmashauri ya Buchosa Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wakati wakiteka maji kwenye lambo. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo Oktoba 4, Ofisa Mtendaji kijiji hicho, Mathias Njoluli amesema...
  7. T

    Maji ya kisima kutoa mafuta

    Habari za mchana! Naomba kujuzwa na wenye uelewa zaidi! Kaka yangu ana eneo huko Pwani ambapo amechimba kisima pia kwaajili ya matumizi yake ya nyumbani hapo! Sasa kumekuwa na hali ya maji hayo yakichotwa then yakalala kwenye ndoo au chombo chochote yanatoa layer ya mafuta! Je ni hali ya...
  8. Makamanda wenzangu mlipoanza kusifia kuwa mama anaupiga mwingi nikajua mnalitia tembo maji.

    Kwa kweli kama kuchenjiwa na serikali tumechenjiwa. Maana haijawahi kutokea kwenye historia ya taifa letu Chadema na watanzania kupata harassment ya namna hii. Tukiandamana tunapewa kibano, tukifanya makongamano tunapewa kibano, tukifanya jogging tunapewa kibano. Kwa namna hii tuna wakati...
  9. Je, ni kwanini barabara ya maji chumvi (Jeshini - Tabata Kimanga) haipigwi lami pamoja ya kuwa na umuhimu kupindukia?

    Tumeshuhudia vichochoro vingi huko Sinza na Kinondoni vikipigwa lami mwanzo mwisho, tena havina umuhimu wowote, maana vingi ni dead ends zinazoishia kwenye mageti ya watu. Sasa najiuliza, iweje barabara muhimu kama ile ya maji chumvi kuelekea Kimanga inayotumiwa na malaki ya raia wa T/Kimanga...
  10. Manyara: Maji yarejeshwa katika shule ya msingi Endiamtu baada ya kuripotiwa kukosekana kwa miaka mitano

    Maji yanapatikana hivi sasa shule ya msingi Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanafunzi wanaishukuru Serikali Kwa kuwapatia maji ila vyombo vya habari Kwa kuripoti tukio hilo. WANAFUNZI wa msingi Endiamtu, Kata ya Endiamtu, Mji mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara...
  11. Mradi wa Maji ziwa Chala wilayani Rombo umekwama au umefikia wapi?

    Mwenye kuelewa huu mradi ulipofikia naomba kujuzwa, Mwaka Jana 2021, Serikali kwa kupitia Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi aliwaahidi warombo tatizo la maji litakuwa historia kwani , juzi nilipita maeneo mbalimbali mfano Kiraeni na Useri nimekuta watu wanatembea umbali mrefu...
  12. Asante Mh. Jaji Siyami kwa kuwaumbua CHADEMA; wanampa Mbowe tu maji na kuwanyima walinzi wake huku wakiwa wamejazana mahakamani

    Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine. Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? Wapeni Maji wanywe, Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote. Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
  13. Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

    MIEZI SITA BILA JPM: WATANZANIA WALIISOMA NA KUIELEWA DHAMIRA YA RAIS MAGUFULI ILIYOTIRIRIKA KAMA MAJI. Leo 10:15hrs 19/09/2021 Rais John Magufuli, alikuwa Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli kwa Nchi yake,hakuijua China,Marekani wala Ulaya toka achaguliwe, yeye ni Morogoro, Arusha, Iringa...
  14. Dar Es Salaam tumieni maji ya baharini, maji ni mengi sana yale

    Leo nimesikia kwenye habari ya kuwa Mikoa ya Dar Es Salaam na Pwani watarajie upungufu wa maji kutokana na kina cha maji ya Mto Ruvu kupungua. Mwanamuziki Bob Marley kwenye wimbo wake wa 'Rat race' kuna mstari anasema "in the abudance of water the fool is thirsty"...na maandiko yanasema "Watu...
  15. A

    Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Wazazi ni watu pekee wanaopitia ugumu wa maisha ya watoto wao wawapo vyuoni wakitafuta elimu Matarajio ya Kila mzazi ni mafanikio Kwa mtoto wake juu ya kile kilichompeleka chuoni kama egemeo la utafutaji wake hapo Baadae Bahati mbaya iliyoje ni mtoto huyu ambaye anajulikana kama mwanachuo...
  16. Tusikusanye tu tozo, tufikirie pia jinsi ya kuwaboreshea maisha hasa makazi na maji safi na salama.

  17. P

    Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

    Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa. Prof...
  18. Aliyeweka tuta kituo cha Maji njia ya Kimara-Ubungo na zile zebra nyingi kibaha high way alifikiria nini?

    Sometimes huwa nafikiria sana wabongo huwa tunawaza nini. Mfano 1. Tumeweka Ubungo flyover ili tuweze kupunguza msongamano wa magari kwenye taa za Ubungo...proposal imeandikwa vizuri kabisa Ela zikatafutwa na ikajengwa. Flyover imeanza kutumika ameibuka sijui Kanjanja gani ameenda weka matuta...
  19. Kuna ukweli wowote kuwa idara ya maji inabambika bili?

    Hivi eti kuna ukweli wowote kuwa mashirika ya maji yanabambika bili au maneno yetu kama kawaida kila kitu kulalamika mimi nataka nianze kufatilia bili yangu ya maji nione maana Léo nimeona jirani yangu kajaza watu anagombana na msoma mita ndio kuuliza anasema wanabambika Sana bili maji kwake...
  20. Ninatafuta wachoraji wa picha kama hizi za rangi ya maji

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…