maji

  1. Je, mgao wa maji ni wilaya ya Kinondoni na Ubungo?

    Sikutegemea kuna mwana JF anaweza kulalamika kuwa kuna mgao wa maji Dar es Salaam. Sijawahi sikia wakazi wa Temeke, Mbagala au Kigamboni wakiongelea hadithi za mgao wa maji Kigamboni ni wilaya mpya watu wanaishi wao na visima vyao vya maji Mbagala na Temeke wao wanaishi na Maji yao ya kununua...
  2. Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

    Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao 1. William Lukuvi Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu...
  3. Safari ya Egypt kwa Mkandarasi mkuu, mgao wa ajabu wa umeme na maji

    Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia. Je, ni kweli ndicho wanacholenga kufanya??
  4. Watanzania mnalo! Jua na joto kali, mgao wa maji na sasa mgao wa umeme

    Poleni sana, halafu kwa namna huwa mnabanana kwenye madaladala, mbona mnalo. Tanzanians should brace for more pains as power rationing looms after Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) revealed that water levels in many of their dams have reduced. According to a statement issued...
  5. K

    Umeme wa Maji Tanzania ni 36.64% tu ya umeme wote

    Watanzania ni wagumu sana kufuatilia data hata zile ambazo ziko wazi. Kuna Watanzania wengi wanaamini umeme wetu mwingi ni wa maji! hii sio kweli . Ukienda kwenye mtandao wa Tanesco umeme wa maji ni 36.64% tu. Hivyo hata maji yakipungua kwa 50% nzima umeme kwa ujumla wake unatakiwa kupungua...
  6. N

    Tunapofunga kwa ajili ya maombi ya mvua ilete maji tunamshangaza sana Mungu

    Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa ziwa Burigi, ziwa Nyasa ziwa Tanganyika na kubwa lao ziwa Victoria. Hizi ni baraka tayari ambazo...
  7. Ni mji gani mkubwa hapa Tanzania una bwawa kubwa kwaajili ya maji yake?

    Kwenye miji mikubwa maji ya uhakika huwa ni kuwa na bwawa (reservoir). Sasa kwa hapa Tanzania, ukiachana labda na Moro, ni mji gani mkubwa wenye reservoir kubwa ya maji? Je, Dodoma wana bwawa kwaajili ya matumizi yao ya maji?
  8. Rais Samia aagiza vyanzo vikuu vyote vya maji kuwekewa ulinzi. Asema, "Hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania"

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya...
  9. Rais Samia ameshindwa kutolea tamko matatizo ya Umeme na Maji yanalolikumba Taifa?

    Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania. Lakini kwa changamoto ya umeme na maji inaloikumba Taifa kwa sasa si kitu kilichojificha na ni ukweli kwamba Samia...
  10. Ukweli usemwe; Mgao wa Umeme na Maji: Pengo la Upinzani bungeni laonekana

    Nchi iko gizani, hakuna maji na mbaya zaidi hata mikoa ambayo inazalisha umeme jenereta na wenyewe kuna mgao! Mafuta tuliambiwa last week kuwa reserve iliyopo ni ya kutufikisha siku 14 tu. Raha sana. Leo huenda zimebaki siku nane tuingie kwenye mgao wa mafuta. Nionavyo, Wabunge wa Upinzani...
  11. N

    Kwanini Dar kuna shida ya maji wakati bahari ipo hapo hapo?

    Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe. Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji? Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela...
  12. Tunakoelekea ndoa nyingi kuvunjika sababu hakuna maji na umeme

    Habari wandugu Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fen haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo asirudi nyumbani mapema apitie bar kwanza ....
  13. B

    Tathmini: Shida ya maji hadi ziwa Victoria?

    Ni wazi kuwa kama nchi tunapita wakati mgumu sana uliohitaji busara zaidi kuliko maguvu. Kuna shida ya maji Dar tuliyoaminishwa kuwa ni kupungua kwa maji mto Ruvu japo unaendelea kumwaga yake baharini. Hivi kiwiano, maji kiasi gani yanavunwa Ruvu kulinganisha na yanayoishia baharini? Kwamba...
  14. Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Kumeanza Mgao wa Umeme na Maji

    Jamaa yangu anasema ameambiwa aagize China Majenereta 500 kwa kuanzia. Na mtaji kapewa kuongezea. Wameandikishana na mchakato umeshafanyika mtu mkubwa mmoja kamwambia hawezi agiza kwa jina lake so atamtumia yeye. Umeme mgao haukuwepo kwa muda mrefu sana. Ilikuwa umeme hauwezi katika kila siku...
  15. F

    Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari Ubungo anisaidie

    Habari wadau Naona tumerudi enz zile. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije Mwenye namba ya magari ya kuuza maji maeneo ya Ubungo naomba anisaidie
  16. K

    Natafuta tenda ya maji safi

    Habari zenu, Mimi ni kijana nimeingia katika biashara ya maji safi, nina malori yangu ya maji safi ya kutosha, changamoto ni kupata kazi au tenda Mjini Dar. Hivyo basi nachukua fursa hii kutangaza fursa kwa vijana ambaye atanitafutia tenda nitamlipa per trip moja. Gharama zetu za huduma ni...
  17. M

    Maandamano makubwa ya kudai maji Dar es Salaam

    Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini. Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima. Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu...
  18. Hivi nchi hii kuna watu wanapata maji safi na salama?

    Maji safi na salama ni yale yanayotoka bombani na unaweza ukayanywa na usipate shida yoyote. Haya ni maji ambayo yamechujwa, yamesafishwa na yamekuwa treated. Unayanywa hayana chumvi wala harufu. Huhitaji kuyachemsha wala kuweka water guard. Katika pitapita zangu nchi hii sijawahi ona sehemu...
  19. Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

    Mamlaka ya maji safi na maji taka Dar es Salaam imetangaza mgao wa maji jiji la Dar es Salaam kanda ya Kinondoni ili kupunguza kero kwenye maeneo yanayotajwa kuwa na msukumo mdogo. Katika ratiba hiyo wakaazi wa Masaki, Mikocheni na Obey wameula, watapata maji saa 24 siku saba za wiki. Baadhi...
  20. Msemo Fyatu: Kwenye wingi wa maji safi, Mpumbavu Hufa kwa Kiu....Una Ukweli?

    Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu wako...yaani umeshindwa kubuni namna yoyote (hata kulamba kama mbwa) kuyafikisha maji kwenye kanwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…