maji

  1. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Ni kweli maji yanayotembea yanatakasa?

    Hizi ni Habari za muda mrefu nimekuwa nikisikia kwamba maji yoyote yale yawe ya bahari au mto unaotembea hutakasa mwili Je wajuzi wa mambo kuna ukweli wowote katika hili?
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania umewahi kusahau kuwasha ama kuzima pasi, jiko, hita ya maji, rice cooker. n.k na ukaondoka... nini ulikikuta uliporudi ?

    1. kusahau kuwasha kuna siku niliweka mchele kwenye rice cooker nikawasha switch ila pale kwenye rice cooker sehemu ya cook sikubonyeza ,nikaenda kuanangalia muvi kwenye tv ,imefika saa 2 hivi nikasema ngoja nipakue nile nilale, naenda kufunua nakuta mifuta inaelea hakuna kilichopikika na nina...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rorya: Watu watano wafariki dunia baada ya mtumbwi kuzama

    Wapendwa Habari za uzima? Nimepokea taarifa kutoka Mkoani Mara wilaya ya Rorya kata ya kowaki mtaa wa Labuor kwamba watu watano(5) wamesombwa na maji. Kati ya hao wa 5, 3 ni wana wa kike( wanawake) na wawili(2)ni watoto. Walikua wanavuka kutoka upande mmoja wa mto mori kwenda kwa ibada siku...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Igunga: Karatasi zinapotumika mbadala wa maji chooni

    Ni bomu kubwa linalotengenezwa linasubiri kulipuka na siku likilipuka litaacha madhara makubwa. Hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kwa kinachoendelea katika shule ya msingi Mwanzugi iliyopo wilayani hapa mkoani Tabora. Shule hii iliyo umbali wa kilomita 10 kutoka makao makuu ya halmashauri ya...
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hofu ya maji yenye sumu tena yatanda mkoani Mara

    Jipatie nakala yako
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji WaterGuard ya maji

    Wakuu nina shida na waterguard zimeadimika sana. Nahitaji ile ya maji. Kila nikitafuta naona ya vidonge pekee. Mwenye nazo au kujua wanapoziuza aniandikie hapa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

    Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya upatikanaji Maji Dar es Salaam ni shida. DAWASA iwajibike

    Ndugu Waziri wa maji, Hali ya upatikanaji maji katika baadhi ya maeneo katika mkoa wa Dar imekuwa ni shida. Majuzi DAWASA walitoa taarifa kuwa maji yangekatika kwa siku moja kupisha matengenezo, lakini leo tunakwenda siku ya tano hakuna maji, hivi mnataka sisi tuishije? Wakati mwingine muwe...
  9. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji, kufulia, shampoo, sabuni za miche na chooni

    UTANGULIZI: SURA YA KWANZA UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO SABUNI ZA CHOONI SABUNI ZA KUFULIA SHAMPOO UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE MAFUTA YA MGANDO (Kupaka ) SEHEMU YA PILI UTENGENEZAJI WA : BATIKI AINA ZOTE UTENGENEZAJI VIKOI SHANGA, HERENI, BANGILI UTENGENEZAJI ZURIA...
  10. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Wakulima:Njia ya Asili kujua wapi uchimbe Kisima Cha maji....

    Kuna maeneo yana maji mengi sana kiasi kwamba ukichimba kidogo tu unakutana na maji hasa ukanda wetu huu wa pwani..Vyuma vimekaza jamani wakulima tusaidiane huko kwenye mashamba yetu tuanzishe hata vibustani vya mbogamboga. Kwani kabla ya kuja hizi mashine za milioni 20 watu walikuwa...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hii ni Mvua ya Babu tumuombeni aipunguze, ila kama ni ya Mungu basi Magodoro ya Kunyonya Maji kwa Mkapa Kesho yatayarishwe

    Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu. Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.
  12. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awasweka ndani wahandisi, mkandarasi Handeni

    Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
  13. Area 56

    JamiiForums Tanzania Maji ya kunywa ya Afya yanatishia soko la Maji ya Kilimanjaro huko Kaskazini mwa Tanzania

    Maji ya kunywa ya Kilimanjaro lita 1.5 inauzwa sh. 1,000 mpaka sh. 1,200 kutokana na upandaji wa bei ya bidhaa mbalimbali. Maji ya Afya sasa yameingia rasmi kaskazini mwa Tanzania ambapo lita 1.5 utaipata kwa sh. 600 mpaka 700 huku lita 1 ikipatika kwa sh. 500/= Ukiwa na sh. 500 kwa kampuni ya...
  14. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wangu anatatizo la kukojoa mfululizo mara tu baada ya kunywa maji hayakai tumboni anayakojoa yote papo hapo

    Wanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo, Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli chonganishi kwenye matibabu ya mifugo yetu. Natanguliza shukrani!
  15. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso na Wizara ya Maji wizi umekithiri

    Tutaendelea kusema hata kama hakuna hatua lakini wizara ya maji ni wezi na viongozi wa wizara ndo vinara wa wizi. Waziri Aweso na katibu mkuu wake ni wezi wa pesa za wizara kwa kushirikiana na watendaji walioko ktk ofisi za mabonde. Kuna pesa nyingi zinapelekwa ktk ofisi za mabonde na kurudishwa...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Samaki Mto Mara: Mgodi wa Dhahabu wa North Mara wakanusha kuhusika na uchafuzi wa maji

    Baada ya kuwepo kwa tetesi juu ya uwepo wa kemikali za sumu kwenye maji ya Mto Mara ambapo imesababisha samaki kufa na maji kuwa meusi, Mgodi wa Dhahabu wa North Mara umekanusha kuhusika katika uchafuzi wa maji ya mto huo. Hili hapa tamko kamili... **** Mgodi hauhusiki na uchafuzi wa maji ya...
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

    Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii. Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki. Hapa bila kupepesa macho...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali yaweka Shilingi bilioni 12 kwa utekelezaji wa miradi ya maji Mtwara

    Serikali kupitia Wizara ya maji imetenga jumla ya Sh 12,523,727,274.27 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambazo ni kwa ajili ya kujenga, kukarabati na kufanya, upanuzi wa miradi mbalimbali ya maji katika Mkoa wa Mtwara. Meneja wa Wakala wa Usambazaji Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa)...
  19. Johnson jojojo

    JamiiForums Tanzania Nina kidonda ambacho kilianza kama kipele kinacho washa sana, baadaye vikaongezeka nakuwa kidonda

    Nina kidonda ambacho kilianza kama kipele kinacho washa sana baade vikaongezeka nakuwa kidonda kinacho toa majimaji hakiumi ila kinawasha, nimeenda hospital last month walinipa dawa dozi ya vidonge 30 ila vimeisha tatizo bado, msaada wenu wana jamii kwa mwenyekuweza kunisaidia plz.
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tarime: Wasimulia kuwashwa, kuharisha, kutapika, kuhara damu, mifugo kufa kisa maji ya Mto Mara

    Baada ya tetesi na hatimaye matamko rasmi kutolewa mara kadhaa kuhusu madhila yanayotokana na maji ya Mto Mara, ripoti zaidi zimeendelea kutolewa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kinachoendelea katika mto huo. Awali ilidaiwa kuwa kuna kimikali zenye sumu katika Mto Mara ambazo nyingi...
Back
Top Bottom