maji

  1. Mnaolalamika mwezi mzima maji hayatoki msizue taharuki mitandaoni, tuendelee kulinda amani, amani ni bora kuliko maji

    Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji Utawasikia wapumbavu "Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake. Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea" Sasa...
  2. DAWASA yaanza fufua visima kupunguza nakisi ya maji Dar es salaam

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza kufufua na kuhuisha visima virefu vya maji ili kupunguza nakisi ya maji ndani ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa jirani. Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameyasema hayo siku Ijumaa Desemba 12, 2025 katika...
  3. Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

    Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili. Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli. Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
  4. O

    KERO Wiki mbili hakuna maji maeneo ya Kunduchi na maeneo ya karibu

    Dah ishakuwa mtihani kwakweli, maji ya chumvi yanatupausha, hakuna namna Week ya pili sasa tuna taabika, Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah
  5. PostGE2025 Nchi na kilio cha maji

    Leo tunakumbushana jambo moja tu, hatuwezi kubadili tabia nchi bila kubadili tabia zetu. Ni jukumu letu kulinda mazingira, kutunza vyanzo vya maji, na kuheshimu ardhi inayotupa riziki. Tukifanya hivyo, tunalinda maisha yetu na vizazi vinavyokuja. Tuchukue hatua kwa umoja na hekima. Dunia ni...
  6. Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

    Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao. Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji. Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
  7. M

    KERO Guys, hii ni vita ya uchumi, maadui zetu wamesababisha uhaba wa maji Dar. Who are you? They think they are still our masters?

    Guys, guys, guys this is economic sabotage, maadui zetu wanatuonea wivu sababu ya maumbile yetu na rasilimali tulizonazo. Tanzania ina bahari, maziwa, mito, mabwawa ila maadui zetu wanasababisha mpaka sasa miaka 64 ya uhuru maji si ya uhakika. Guys, natamani mfunguke mjue hii ni economic...
  8. Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

    TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
  9. Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

    Hii nchi itakuwa na channel ya maajabu huko mbinguni.
  10. KERO Angalia vyanzo vyote hivi vya maji, na wananchi wa Morogoro wanateseka na maji. Hii nchi ina akili?

    Vyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro: 1. Mito mikuu: · Mto Wami - unaopita Morogoro mjini · Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu · Mto Mkondoa · Mto Ngerengere 2. Milima na Mito Midogo: · Milima ya Uluguru - huchota mvua nyingi na kuleta mito mingi. · Mito ya Uluguru (kama...
  11. KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  12. T

    KERO Mwauwasa imewaangusha wakazi wa Mwanza tatizo la maji limegeuka fedheha ya kudumu

    Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
  13. White house ya nchi ya Mtanila mpaka sasa imetumia 30b. Hadi maji ya kunywa anaagiza US

    Juzi hapa amestopisha mzabuni wa maji asilete tena toka US. Sasa kwa boko la jana atatumia ya arabuni au china? Ni suala la muda. Ndugu zangu wana Mtanila, mnabanangwa kisawasawa na huyu mtawala wenu
  14. P

    KERO Wizi wa mamlaka za maji

    Kumekuwa na hujuma za makusudi za kupandisha bili za maji za watu. Kwa kudhibitisha, asilimia kubwa ya watu bill zao za mwezi wa November zipo juu bila sababu za msingi , je ni serikali inatafuta pesa kwa nguvu ama? We malalamiko tujuane.
  15. Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki"

    Nimetoka kumfariji mzee mmoja nikajikuta nimeingia JF na uzi wa faraja Ila nitakufundisha faraja lakini sitakufundisha kuhesabu machungu kwasababu utaumia zaidi Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki" Nilipompoteza...
  16. Nilivyokunywa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi ya mwanamke

    Habari ya leo wakuu...? Sijawahi fikiri na kuwaza kama ntakuja kuangukia kwenye penzi lililopelekea kupewa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi kwakupitia mdomo wa mwanamke. Nilikua naishi mwenyewe kwa mda mrefu bila mahusiano yoyote yale yani nilikua nanunua wanawake ili kukidhi haja...
  17. Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

    Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka Marekani. Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??) Eti...
  18. Samia maji shingoni. Msiicheze ngoma yake ya kutugawa kidini

    Naona watu mnatoka kwenye lengo kirahisi sana. Samia ameshatepeta. Ametumia wasanii, makada na football kuwapumbaza watanzania lakini hakufanikiwa. Alitumia risasi kuwatisha watanzania lakini hakufanikiwa. Kitendo cha watanzania kuandamana 29-10-2025 ni mwanzo wa Tanzania mpya bila ya CCM...
  19. PostGE2025 Manara: Nikishaapishwa tu, DAWASA mjiandae kuja na majibu hizi chemba za maji machafu tunafanayaje

    Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya Kariakoo ikiwemo changamoto ya uhifadhiji wa maji taka yanachafua hali ya hewa ndani ya kata hiyo Huku...
  20. R

    PostGE2025 Jumaa Aweso asalia kuwa waziri wa idara ya Maji, Naibu waziri Kundo Andrew Mathew

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 17, 2025 ametaja Majina ya Baraza la Mawaziri ambapo katika Idara ya maji JWaziri ni Jumaa aAweso na Naibu waziri ni Kundo Andrew Mathew
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…