maji

  1. JamiiForums Tanzania Vijiji Vyote 68 Vina Miradi ya Maji Safi na Salama

    MUSOMA VIJIJINI - VIJIJI VYETU VYOTE 68 VINA MIRADI YA MAJI SAFI NA SALAMA Miradi hiyo ya maji iko kwenye hatua mbalimbali kama ifuatavyo: *Vijiji 2 vinatumia maji ya visima virefu *Vijiji 32 tayari vinatumia maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria. Usambazaji unaendelea ndani ya vijiji hivyo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa zamani wa maji yakimwagika hayazoleki, nitaupata wapi?

    Moja ya mistari yake unaimbwa hivi, "maji yakimwagika hayazoleki, itabidi ukakae ufikiri, yaliyotokea ukiri"...kuna binadamu wa ajabu... Na huo wimbo Sio wimbo wa taarabu Mwenye kujua kuna la huo wimbo, ulikua popular Kwenye early 2000's
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wanasayansi wamebadilisha Gia angani kuhusu nini chanzo cha uwepo wa maji Duniani

    https://www.yahoo.com/news/no-asteroid-impacts-needed-newborn-210053397.html
  5. J

    JamiiForums Tanzania Aweso afanya mabadiliko Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Korogwe, asisitiza utatuzi wa changamoto ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo kwa Ziara ya kikazi akiwa na lengo la kutatua changamoto mbalimbali na kufuatilia hali ya Utekelezaji wa Miradi ya Maji na hali ya utoaji wa huduma ya Maji eneo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji

    Igweeeeeeeee! Tetesi ni kwamba Watanzania tujiandae kisaikolojia na kama vile wahenga walivyowahi sema "Ukiona mwenzako ananyolewa basi wewe zako tia maji". Ndugu za Watanzania, hapo nchi jirani pametokea jambo la kushangaza kidogo. Jambo ambalo kama ukiliangalia kwa jicho la tatu huwezi kusita...
  7. J

    JamiiForums Tanzania DAWASA yatangaza kuzimwa kwa mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Juu Jumamosi April 15

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa wastani wa saa 16 siku ya Jumamosi , Aprili 15, 2023. Muda: Kuanzia Saa 12 jioni hadi Saa 4...
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ukimeza kidonge kwa maji ya baridi sana, kidonge hakifanyi kazi

    Hivi ni kweli kuwa mtu anapomeza vidonge kwa maji ya baridi sana ya friji, vidonge hivyo haviwezi kufanya kazi?
  9. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bilioni 4.7 Wasainiwa Kuleta Maji Safi na Salama Kata ya Mugango na Tegeruka Jimbo la Musoma Vijijini

    MKATABA WA SHILINGI BILIONI 4.7 KUWAFIKISHIA WANANCHI MAJI SAFI NA SALAMA KATA YA MUGANGO NA TEGERUKA WASAINIWA WIZARA ya Maji imemtaka mkandarasi kampuni ya Kiure Engineering L.T.D. kukamilisha kazi ya mradi wa Maji Kata ya Mugango na Tegeruka kwa kuzingatia muda wa mkataba. Kauli hiyo ya...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wateja wapya wa huduma ya maji Manispaa ya Morogoro hawajapata huduma kwa kuwa MORUWASA hawana mita za ziada

    Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro wanaohitaji kuunganishwa na huduma ya maji safi na salama wamelalamikia kukosa huduma hiyo kwa takribani miezi sita kwa madai kuwa mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira MORUWASA inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mita. Mamlaka ziangalie kuhusu hili...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Wizara ya Afya kwa kukabiliana na uvumi wa maji ya ajabu Micheweni

    Miaka kadhaa imepita baada ya Tanzania kushuhudia vifo vilivyotokana na usanii wa "Babu wa Loliondo". Hivi karibuni kule micheweni Zanzibar palizuka uzushi mwingine wa uwepo wa maji yanayotoka ufukweni yakisemekana yanaweza kutibu magonjwa mbalimbali jambo ambalo limebainika sio la kweli...
  12. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yajaribu mfumo wa droni za kimkakati za chini ya maji

    Korea Kaskazini imesema wiki hii imefanya jaribio lingine la droni ya mashambulizi ya chini ya maji yenye uwezo wa nyuklia. Tahariri ya leo Jumamosi ya gazeti la chama tawala cha Wafanyakazi imesema taasisi ya taifa ya utafiti wa sayansi ya ulinzi ilifanya jaribio hilo kwa siku nne hadi jana...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada Maji ya vitunguu swaumu na mafua

    Wakuu habari zenu, nimepata katoto kwa uwezo wa Mungu ila namuona anapiga chafya sana. Nimeambiwa kuwa ndivyo inavyotakiwa apige chafya ila nahofia mwanangu aaije akapata mafua itamsumbua kunyonya, umri wake bado mdogo hata wiki hana, sasa kuna mtu alisema ili kumkinga mtoto dhidi ya mafua...
  14. JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwili wa mtu wakutwa ukielea kwenye maji, siku chache tangu Mwenyekiti wa CCM aliposema 'Mkoa wa Simiyu hali si shwari'

    Machi 25, 2023 akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Bi. Shemsa Mohamed ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu alidai kuwa kuna watu wanapotea pasipo kujulikana wanapoelekea ndani ya Mkoa huo. Pia akabainisha kuwa kuna matukio ya wizi yameongezeka hasa maeneo ya nyumbani wakati...
  15. JamiiForums Tanzania RUWASA Yaendelea Kufanya Vizuri Musoma Vijijini: Mradi wa Maji wa Chumwi-Mabumerafuru Unaenda Vizuri

    RUWASA YAENDELEA KUFANYA VIZURI MUSOMA VIJIJINI: MRADI WA MAJI WA CHUMWI-MABUIMERAFURU UNAENDA VIZURI Maji ya Ziwa Victoria yaendelea kusambazwa Musoma Vijijini. Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 zenye jumla ya Vijiji 68 limezungukwa na Ziwa Victoria. Utekelezaji wa Mradi wa maji ya...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa mikopo kwa wavuvi na wakuzaji viumbe maji; CAG hujatupatia ubadhilifu wa mradi huu

    Habarini ndugu? Kuna mwenye taarifa za ripoti ya CAG katika eneo hili la huu mradi? Hawa WAHUJUMU UCHUMI tangu bunge hili DHAIFU lilipopitisha bajeti ya mradi huu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 bado HAKUNA CHOCHOTE KILICHOFANYIKA HADI SASA. Wavuvi tumeendelea kupigwa "BLAH BLAH" tu tangu mwezi...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ugonjwa wa nguruwe wadogo kuwa na haja kubwa iliyoambatana na maji (kuhara)

    Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na mara nyingi wanakosa hata nguvu ya kutembea. Ninaulizia ili niweze kuujua ugonjwa huu na kuwapatia...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa sote kubeba jukumu la kutunza Rasilimali za Maji

    Mamilioni ya watu duniani kote hawana ufikiaji wa kutosha wa mojawapo ya vitu muhimu zaidi katika maisha - yaani maji safi. Ingawa serikali na taasisi za kimataifa zimesaidia wengi wanaoishi katika maeneo yenye tatizo la maji kupata huduma kwa kadiri inavyowezekana, bado tatizo hilo linatarajiwa...
  19. JamiiForums Tanzania DAWASA- kufanya hujuma kuibia wananchi "meter" za maji kisha kuja kutoza gharama za ufungaji wa mita hiyohiyo iloibiwa ni dhuluma

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea. Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Makamabda wa Chadema wakifakamia matikiti maji na kujipoza .

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…