maji

  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la uhaba wa maji Dar

    Kuna uhaba mkubwa sana wa Maji maeneo ya Kwa Msuguri, Dar. Ni zaidi ya wiki tatu Sasa maji hayatoki na bili zinaletwa. Watu tunanunua maji Kwa gharama kubwa. Au ni mbinu ya DAWASA ili watu wafanye biashara ya maji? Uhaba wa Maji huku ni zaidi ya Mwanza AWESO.
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Aweso chunguza 'Bodi za Maji za Mabonde', hasa ile ya Ziwa Victoria. Wachache wanajineemesha kwa kigezo "Wapo karibu na Waziri"

    Hellow JamiiForums team, nimeona hiyo post ya Mamlaka ya Maji Igunga, nami nina jambo la kumshauri Waziri Aweso, asiishie hapo tu, pia kuna hizi Bodi za Maji za Mabonde, na zenyewe zichunguzwe sana tena sana. Mipango kazi haitekekezwi na kama kutekelezwa ni kidogo sana, fedha zinatafunwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, mabomba ya maji safi yanayopita mitaroni hayahatarishi afya ya wananchi, hasa ikitokea yamepasuka mtaroni? Wataalamu watuelimishe

    Katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye miji mikubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na mingineyo, ni jambo la kawaida kuona mabomba ya kusambaza maji safi yakipita ndani au pembeni mwa mitaro ya kupitisha maji machafu. Hali hii imekuwa ikinifanya niwe na maswali mengi ambayo naamini...
  4. JamiiForums Tanzania KERO DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa

    DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa sisi wakazi wa maeneo haya? Maji ya bomba ni machafu yanayotoka katika maeneo yetu yanazidi...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Kevin Mwasha: Wananchi wanaotumia maji kutoka katika vyanzo visivyo salama wayachemshe au watumie vidonge vya kusafisha maji

    Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya inazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wa Kata hiyo. Wananchi wanabainisha kuwa maji...
  6. JamiiForums Tanzania Adha ya maji Mkwajuni Mkoani Songwe: Mahitaji ni lita Milioni 4.36 kwa siku, uzalishaji ni Lita laki 8 - Milioni 1 kwa Siku

    Utangulizi: Safari ya Alfajiri na Ndoto ya Maji Safi Kila alfajiri mkoani Songwe, mamia ya wanawake katika Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe huanza safari ndefu na yenye hatari kubwa. Hii si safari ya burudani wala hiari, bali ni mapambano ya lazima ya kusaka nishati ya uhai maji safi na salama...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Golani Maji Ni Mwa Mwa Mwaaa

    Wakazi wa Mtaa wa Golani, Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wameishukuru Serikali kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) baada ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa kituo cha kusukuma maji (Booster Pump), ambao umeondoa changamoto ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Buswelu Nyamadoke, Mtaa wa Ibinza Msikiti wa chini hatuna mtandao wa mabomba ya maji

    Sisi wakazi wa Buswelu Nyamadoke, eneo la Ibinza Msikiti wa Chini, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza, tunaomba Serikali na mamlaka husika kutusaidia kutufikishia mtandao wa mabomba ya maji ili nasi tuweze kuunganishiwa huduma ya maji safi na salama. Kwa sasa, eneo letu halina mtandao wa mabomba...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Huduma ya visima vya Maji

    Habai JFM, Ile huduma adhimu ya uchimbaji wa visima bado inaendelea, faida ya kufanya kazi nasi ni hizi; ✔️ Survey bure ✔️ Kufunga pump ya maji bure ✔️ Finishing plumbing fitting bure ✔️ Kufwatilia vibali bure Kazi ya uwakika popote ulipo bara na visiwani at easy, fast & affordable. Call,sms...
  10. JamiiForums Tanzania Tanesco Idara ya Maji vipi mnamuhujumu Rais ?

    Kuna kelele za maji na Umeme kila kona tatizo ni nini?
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Pasiansi jijini Mwanza hatuna maji wiki mbili sasa na hakuna taarifa yoyote imetolewa

    Wananchi wa eneo la Pasiansi jijini Mwanza wamekumbwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa takribani wiki mbili sasa, hali inayosababisha usumbufu mkubwa katika shughuli zao za kila siku. Kinachozua malalamiko zaidi ni kwamba mamlaka husika hazikutoa taarifa yoyote kwa wananchi kabla ya huduma hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

    Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!. Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na kufika kileleni ni jambo tofauti na ku squirt!.. japokuwa haya mambo mawili yanaweza kutokea kwa wakati...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ombi la kuomba msaada wa huduma ya maji mtaani terrynite street, Segerea Magereza

    OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA. Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji. Tatizo: Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi Kimara Temboni (Mtakuja) tuna changamoto ya upatikanaji wa Maji. Yapata wiki ya tatu sasa hatuna maji

    Wakazi wa Eneo la Kimara Temboni mtakuja Tunapata shida ya Maji yapata sasa ni week ya tatu Maji hatuna .Ratiba ilikuwa kila jumamosi tena wanatoa Maji kuanzia saa kumi usiku na ikifika saa kumi na mbili maji yanakatika . Watu wanateseka sana. Tunaomba mamlaka husika itufikirie sisi wakazi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Responded MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetangaza kuwepo kwa upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na hitilafu ya umeme katika vituo vya uzalishaji na usambazaji wa maji. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa Juni 9, 2026, hali...
  16. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Mtaa wa Bi. Mtambo, Kimara-Stopover tuna changamoto kubwa ya maji

    Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kimara Stopover, Mtaa wa Bi Mtambo (upande wa kushoto ukitokea Kimara). Kwa muda mrefu sasa wananchi wa eneo hili tumekuwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Morogoro: Wakazi wa Misongeni A tunakosa huduma ya maji mwaka wa pili sasa kutokana na bomba kupasuka

    JamiiForums, tunaomba utusaidie kupaza sauti zetu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji inayowakabili wakazi wa Misongeni A (Misongeni Juu, eneo la Msikitini). Tumekuwa tukikosa huduma ya maji kwa muda mrefu sasa baada ya bomba la maji kupasuka takribani miaka miwili iliyopita. Licha...
  18. JamiiForums Tanzania Kundo Mathew: Mkurugenzi wa DAWASA fanyia kazi suala la Maji Segerea, Tusizowee changamoto za Wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ametoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA kuhakikisha changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jimbo la Segerea inapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa kudumu. Akijibu swali la Mbunge wa Segerea (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, bungeni Juni 3, 2026, Mhandisi...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jumba la kifahari, inadaiwa la Lugumi, ukipewa kuishi bure, unaweza shindwa, kumudu bili ya umeme na maji

    Sina hakika ni skendo tu nasikia ni ya LUGUMI. Kwa ukubwa inaonekana vigogo hewa wa humu jf tunaweza SHINDWA KUMUDU billi ya maji na luku, maisha haya
  20. JamiiForums Tanzania DAWASA yatoa elimu ya uhifadhi wa maji katika wiki ya mazingira

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayoendelea katika Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, yakiwa na kauli mbiu isemayo: “Dira 2050: Tuwajibike Kukijanisha Tanzania.”...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…