maji

  1. JamiiForums Tanzania Biteko: EWURA zingatia maslahi ya Watanzania na maslahi ya nchi katika kazi za Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji

    EWURA ZINGATIENI MASLAHI YA NCHI KATIKA SHUGHULI ZA UDHIBITI WA MAFUTA NA MAJI -DKT. BITEKO ✔️ Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta ✔️ Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka...
  2. JamiiForums Tanzania Dah ama kweli damu ni nzito kuliko maji , hako ka bint kakuje tu ethiopia. Wana wa kiethiopia wakatie mbegu za ki ethiopia kaendeleze kizazi

    Au vipi wana maneno Maana kamenonaa kwa sasa kana stahili mb*o*0 za ki ethiopia ili kaendeleze kizazi ....maana za kizungu zitaleta half cast(muethipia muzungu) aseeeee! ALL IN ALL DAMU NI NZITO KULIKO MAJIIIIII🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Karibuni wagawaji wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uongo juu ya historia ya vita vya Majimaji?

    Kuna haja ya kurudi pale kwenye kaburi la Shujaa Nduna Songea Mbano na kumuomba wapi alipo ficha siri ya vijana wake kukaa miaka miwili wakiwa wanapigana kwa kutumia silaha za jadi wakipambana na wajeruman waliokua wanatumia silaha za moto. Au kuna uongo wa mtu mmoja akaona amzalilishe mzee...
  4. JamiiForums Tanzania Ngara: Bilioni 41 Kujenga Mradi Mkubwa wa Maji Utakaohudumia Wakazi Zaidi ya 170,678.

    "Wizara ya Maji inatarajia kutekeleza mradi mkubwa wa Maji Ngara Mjini kwa gharama ya Shilingi Bilioni 41. Usanifu wa mradi umekamilika na unatarajia kuhudumia wananchi 170,678 waishio katika Kata ya Ngara Mjini, Kanazi, Kidimba, Nyamiaga na Murukurazo" - Mhe. Maryprisca Mahundi, Naibu Waziri...
  5. JamiiForums Tanzania Mr Beast ajenga visima 100 vya maji barani Afrika

    Kwa project hii ataweza kunywesha maji watu takribani laki tano. Nchi alizozigusa ni Kenya, Zimbabwe, Uganda, Somalia na Cameroon Kwa msiemjua Mr beast, ni youtuber ambae kipato chake huki wekeza katika michezo ya kusaidia watu kifedha na projects za kusaidia jamii. Hongera kwake...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Fanya yafuatayo kulinda afya ya uke

    Usafi wa uke ni jambo muhimu sana kwa afya ya wanawake. Mambo usiyostahili na unayostahili kufanya ili kutunza afya ya uke Usiingize kidole ndani ya uke kwa lengo la kujisafisha hiyo huondoa asidi ya asili ya uke ambayo ni muhimu kwa sababu huzuia bakteria kukua. Aidha usitumie sabuni kuosha...
  7. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la sikio kuunguruma au kama kuna maji sikioni

    Anayejua dawa asili au tiba asili ya tatizo hili natanguliza shukrani zangu.
  9. JamiiForums Tanzania Nyakati za mvua Dar ndio watu wanaachia maji taka ya vyooni mwao!

    Hatariii sana hii kitu. Unakuta vinyesi vinaelea, dah hatari sana hii kitu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Safi Israel kwa kulipua matanki ya maji Gaza

    Mzuka wanajamvi. Hii habari ya Israel kulipua kituo kikuu uchwara cha maji Gaza nimeiopokea kwa furaha sana. Matenki uchwara ya kutosha yamelipuliwa. Haiwezekani magaidi yakaishi na kuendekeza anasa kwa kunywa maji safi na salama. Jana maambulance yalilipuliwa na mabomu. Magaidi yalikuwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa DSM mnachoringia ni hayo mazingira ya kukaa katikati ya maji ya machafu?

    Kumekuuwa na posts humu JF kutoka kwa wanaojiita wakazi wa DSM kuvamiwa na ndugu zao kutoka mikoani bila taarifa, wakidai wanawapigia simu tayari wakiwa stand ya Magufuli na mifuko yao ya kaja shangazi. Wengine wanalamikia kujaziwa jiji lao nzuri na watu wa mikoani. Kwanza km siyo Magufuli...
  12. JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja /Arusha/Boma /Kiteto

    Karibuni wateja tunauza viwanja na heka kwa bei nzuri. Maeneo nimeshayataja hapo juu. Nimazuri kwa ujenzi na shughuli zingine . Kwa kiteto kuna heka 10 zilizoshikana kila moja inauzwa laki 350,000/= na kuna heka karibu na mjini kiteto ,tunauza ml 1 , mjini kabisa tunauza ml 2 . Maji , Umeme...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hizi mvua zote kwanini bado TANESCO wanakata umeme?

    Au ni mimi tu siyo sielewi chanzo cha huu mgao unaondelea sasa mwezi Novemba umeanza? Sasa hivi wamekata tena umeme na utarudi baada ya giza. -
  14. D

    JamiiForums Tanzania Taharuki: Ang'oa mita ya maji nyumbani kwake na kuipeleka idara ya maji (Suwasa-Singida) kwa madai maji hayatoki wiki ya pili

    Mwanaume mmoja huko SINGIDA MJINI achafukwa kwa ukosefu wa maji mitaa ya MISUNA na kuamua kuingo'a mita ya maji na kuirudisha kwa wahusika..Angalizo; Enzi za jiwe haya hatukuyaona..ova
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Serikali: Kuvuja maji Uwanja wa Mkapa ni sababu ya ukarabati mkubwa uwanjani hapo

    Serikali kupitia wizara ya utamaduni, sanaa na michezo imetoa tamko rasmi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha kuvuja kwa maji katika moja ya sehemu ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.
  16. JamiiForums Tanzania KWELI Upo uwezekano mdogo wa Mwanamke kupata ujauzito akisafisha uke kwa taulo yenye Shahawa

    Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake. Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

    Natumaini mkopoa Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi Mahitaji Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na familia Yako Iriki au vanilla Sukari /chumvi ni vile upendavyo Yai moja au mawili Maji ya baridi Hatua...
  18. JamiiForums Tanzania Maji Dar ni Shida isiyomithilika wakati Mto Ruvu umejaa!

    Wana jukwaa Kama kichwa cha mada kinavyojitanabahisha hapo juu, wananchi Dar wanahangaika kupata maji mapaka wanathubutu kuchimba visima vya kienyeji katikati ya vijito vilivyojaa uchafu na vinyesi huku DAWASA hawajali chochote wakati mto Ruvu una maji ya kutosha kusambaza. Dar inategemewa...
  19. JamiiForums Tanzania Uwekaji Meter za Maji Nje ya Nyumba na Wizi wa bomba zake ikidaiwa ni wauza Vyuma Chakavu

    Wiki hii huko Arusha usiku wa manane watu wasiojulikana waling'oa mabomba yanayounganisha meter za maji na kuondoka nazo. Inasadikiwa siyo chini ya meter 25 katika eneo hilo. Wanainchi wanaamka asubuhi wanakuta maeneo yao yamefurika na maji. Idara ya maji ilipojulishwa ilijivuta kuja kudhibiti...
  20. JamiiForums Tanzania Wapalestina sasa kuuliwa kwa kunyimwa maji na msongamano wa makazi

    Kucheleweshwa kwa zoezi la vikosi vya Israel kuingia Gaza kuna watu wanaamini kuwa ni woga wa Israel kupata kipigo kutoka kwa vikosi vya wanamgambo wa Hamas na wenzao huko Gaza kama ilivyokuwa huko nyuma. Hapana safari hii ni zaidi ya uwoga. Nia safari hii ni kuwamaliza wapalestina kwa wingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…