majeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwamba Majeshi ya Nchi nyingine yaje kinyemela kwenye nchi nyingine? Tuache Propaganda za Kitoto haiwezekani

    Hiyo ni propaganda sio rahisi ivyo Majeshi ya Uganda yaje Tanzania kwasababu ya Uchaguzi kwa tishio gani mpaka wachukue jeshi la Uganda kwa Watanzania hawa hawa tusibebe kila propaganda.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vitisho vinavyotolewa na Majeshi na wanasiasa likiwemo himizo la kulinda amani ni ishara tosha Serikali na CCM wanayaogopa Maandamano!

    CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa. Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askari wa majeshi mbalimbami wafanya mazoezi ya kujiimarisha barabarani

    Askari wa Majeshi mbalimbali mkoani Morogoro wamefanya mazoezi ya pamoja ikiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Uhamiaji pamoja na Jeshi la Uhifadhi. Mazoezi hayo yamelenga kuimarisha umoja katika majeshi...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi shupavu ya Israel yaanza kujisogeza huko Gaza

    Majeshi ya Israel taarabu yameanza kujisogeza taaratibu ili kuweza kukalia 53% ya Gaza na kuwaachia 47% magaidi wa Hamas
  5. pulex

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa mkuu wa majeshi CDF

    Ukichelewa kuwawahi wanamtandao (wahuni) akina kikwete na wenzake, watakuwahi wewe. Kwasasa wanaweza kutokuwa na imani na ww baada ya taarifa isiyoeleweka kutoka JWTZ kuhusu captain Tesha, mgawanyiko wa Jeshini unaotokea ambao unakufanya ufikirie kuwaleta pamoja kwa kuwapa haki wananchi...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Majeshi ya Israel kuanza kupiga Jaramba kwenye viunga vya Gaza Magaidi wa Hamas wapata kiwewe!!!

    Hamas imesisitiza utayari wake wa kuingia katika makubaliano ya kina ya kuwaachilia mateka wote wa Israel walioko kizuizini. Kwa upande wake, kundi hilo la kigaidi linadai kusitishwa kwa vita huko Gaza, kuondolewa kikamilifu kwa majeshi ya Israel, kufunguliwa kwa vivuko vya mpaka kwa ajili ya...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel Lt Jeneral Eyal Zamir awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia Popote walipo!!

    Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia' Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja Jenerali Rafi Milo, Agosti 31, 2025. (IDF) Kufuatia mauaji ya Israel kwa maafisa wakuu wa Houthi na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tenda Majeshini: Angela Kizigha (Mbunge) anapata wapi audacity ya kutapeli/kuibia Jeshi la Polisi/Serikali zama hizi?

    Nilidhani zama hizi za Magufuli watu sote watakuwa wamenyooka na hasa ndani ya CCM Lakini wapi! Je tunaweza kujua who is behind this project (Angela Kizigha)? Na hao ma Godfathers wake wataendelea kumlinda mpaka lini? Sitaki kuamini kuwa Mheshimiwa Rais ata vumilia mafisadi kama huyu mama...
  9. Noel france

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya watanzania, Inatosha sasa! Yaliyosemwa na Dkt. Slaa na Polepole yanaumiza

    Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio. Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kubinywa huko Lebanon na Majeshi ya Israel

    Mkono mrefu wa Majeshi ya Israel unaendelea kuwabinya na kuwanyong’onyeza magaidi wa Hezbollah huko Lebanon baada ya kuanza kuwalenga popote walipo na kuwaangamiza. Lebanon kusin sasa hivi limekuwa kaburi wazi kwa magaidi hao wa Hezbollah.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan atunukiwa Nishani ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM)

    https://www.youtube.com/watch?v=3lNNwCmNJQ0
  12. H

    JamiiForums Tanzania Polepole ni CCM na CCM ni Polepole hakuna jipya

    Ukiwa na akili na uelewa wala huulizi nini anafanya polepole kwani iko wazi anachofanya ni kuwahamisha wananchi kutoka kwenye umakini na kuwachanganya wasahau yanayowasibu. Polepole hana jipya labda kama lakini kwa mdomo mtu kama Lissu,Silaa,Rungwe,nk t
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani humuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani tu!

    Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani/mwenyekiti wa kamandi za jeshi la Marekani tu. Mawaziri na watumishi katika...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Khan younis yaendelea kupigwa kwa nguvu zote na majeshi ya Israel

    Majeshi ya Israel yaendelea kuisawazisha Khan younis katika vita vyake na magaidi w Hamas!!!
  15. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0 General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao. Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Uelewano kati ya majeshi mawili ya Iran ukoje?

    Nasikia Iran ina majeshi makubwa mawili. Jeshi la kawaida na jeshi tiifu kwa Ayatollah. Uelewano kati ya majeshi haya ukoje? Maana ni kawaida majeshi kuwa na mabifu. Jeshi gani lina nguvu zaidi? Na kwa nini Israeli inaua viongozi wa jeshi moja tu?
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Israel imemuaa Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran, Jenerali Ali Shademani, ambaye alichaguliwa siku 4 zilizopita

    Israel imemuaa Jenerali Ali Shademani yaani Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuuawa na Israel. Jenerali Ali ametumikia nafasi hiyo kwa siku 4 na masaa 3 tu. Taarifa imethibitishwa na kiongozi mkuu wa Iran.
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Miradi ya JKT na JWT/Shirika la mizinga, ni miradi ya kusikitisha sana, ni kipimo cha level ya uwezo wetu sisi Watanzania

    JWTZ na ndugu yake JKT, waliapaswa kuwa ndio centre ya kuibua viwanda vya kizalendo Tanzania hii, Walipaswa kuwa ndio sehemu ya watu kwenda kujifunza uchumi wa kizalendo, Watu kwenda kujifunza kuto penda bidhaa za nje na wathamini bidhaa za ndani ya nchi kamam sehemu ya Uzalendo. Centre ya...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Aliyeteuliwa kama mbadala wa mkuu wa majeshi ya Iran naye aliuwa, itangazeni hiyo nafasi upya

    Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira.... Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake ==================== The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Kisiasa -Israel-Iran wanapigana vita wakiwa ofisini

    1. Majeshi ya wenzetu wameyaboresha (Jeshi dogo, teknolojia kubwa). 2. Tofauti na Majeshi ya kisiasa yaliyojaa Ubabe wa kipuuzi, Timu za Mpira, canteen na fremu za maduka na kumbi za harusi. Kupata kazi humo lazima uandikiwe vimemo ili ukapasue tofali kwa kichwa. 3. Bali wenzetu wasomi...
Back
Top Bottom