Je? TANZANIA inalindwa na majeshi mipakani kote?

Je? TANZANIA inalindwa na majeshi mipakani kote?

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
900
Reaction score
3,112
Jibu ni hapana ni Mungu tu ndo anatulinda mpaka wakati huu ila anaenda kutuchoka karibuni kama hatutarudi kwenye misingi yetu ya upendo.

Kuna nchi zina ulinzi wa kutosha mpaka kuta lakini bado maadui wanapenya na kuingia na kufanya uhalifu wa kigaidi.

Mungu bado anatupenda tusimkufuru na kujiona sisi ndo sisi.
 
Hili swali hata mimi nimejiuliza sana kama nchi yetu inalindwa mipaka yetu yote hasa mpaka na uganda, malawi, rwanda, msumbiji na kenya. Dr congo, burundi na zambia sijasikia vitisho
 
Sisi tunajimaliza wenyewe Yani tunasafirsha wa Ethiopia, Sudan, wakongo na wengine tunawaleta ndani kisa njaa na vyeo.
 
Mfano horohoro, na Kilimanjaro unaweza tembea kilomita nyingi bila kukutana na raia mmojammoja waliojichokea. Bahati maeneo hayo hata minara ya simu inasoma ya kenya... Serikali iongeze ulinzi kule
 
Back
Top Bottom