Katika usiku wa Mei 9 na 10, kwa kulipiza kisasi dhidi ya mvua ya drones na makombora ya Pakistan yaliyoelekezwa India, New Delhi ilizindua mashambulizi ya kulipiza kisasi, ikilenga mifumo kadhaa ya anga nchini Pakistan, ikiwa ni pamoja na msingi maarufu wa ndege wa Nur Ali Khan, ulioko karibu...
IDF yatoa onyo la 'haraka' la watu kuhamishwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa wa Yemen
Katika hali isiyo ya kawaida, IDF imetoa onyo la "haraka" la kuhamishwa watu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa wa Yemen.
Katika chapisho kwenye X, msemaji wa IDF wa lugha ya Kiarabu...
Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio...
Wakati Iran inateseka na mvua za rasha-rasha kuzima mioto ya Banar ABBAs na Tehran Houth nao usiku kucha hawalali kutokana na kipondo wanachopata kutoka kwa majeshi ya anga ya Maekani sehemu mbalimbali mhimu za kijeshi zimę shambulio a vibaya sana hata tu kuuzima moto kwao imekuwa ni shida...
Korea Kaskazini imethibitisha rasmi kwa mara ya kwanza kwamba imetuma zana za kijeshi na wanajeshi kuisaidia Urusi katika vita vyake dhidi ya Ukraine. Hatua hiyo inaandaliwa kama sehemu ya "ukombozi" wa Kursk, ikinukuu Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Ushirikiano wa Kikakati wa Korea Kaskazini na...
IDF imetangaza kwa watu nchini Lebanon kuhama majengo fulani huko Beirut ambayo yatashambuliwa na Drone kutoka angani ambazo zinazunguka juu ya Beirut.
Binafsi Siwezi kuvumilia tunapomwonya adui yetu kabla ya kumshambulia. Wajinga gani wanafanya maamuzi haya katika jeshi. Je, hawajifunzi...
Magaidi wa Houth huko Yemen wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani baada ya vituo vyao vya kuhifadhia mafuta kuangamizwa na majeshi ya Marekani usiku wa kuamkia leo. Kipigo cha leo kitasababisha upatikanaji wa mafuta nchin humo kuwa mgumu sana kwa wananchi na utawala...
Hamas huko Gaza wanaendelea kupata kichapo cha mbwa-koko baada ya Jeshi la anga la Israel kuyashambulia maficho yao. Inasemekana magaidi wote waliokuwa wamejichimbie eneo hilo hat uko nao wameangamizwa!!!
Majeshi ya Israel yaendelea kuyaharibu mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hamas huko Gaza. Hapo chini inaonekana handaki lenie zaidi ya kilomita moja likiangamizwa kwa ustami mkubwa na majeshi ya Israel
Kelele zimekuwa nyingi mtandaoni kuhusu majeshi yetu kuonesha yanakiuka katiba na kuivunja Kwa kuzuia mikutano,kuteka na hata kutesa wananchi ambao majeshi yetu yana jukumu la kuwalinda.
Lakini niseme tu kuwa tunayaonea Sana majeshi yetu Kwa kila yanachokifanya kwasababu kila kinachofanyika ni...
Majeshi ya Israel yamefanikiwa kumuua gaidi Mohamed Mansour aliyekuwa akit uhu iwa kuamru kushambuliwa kwa makazi ya wayahudi huko Kaskazini mwa Israel juzi aliingia kwenye 18 za majeshi ya Israel na gari yake kupigwa kombola gari liliwaka akiwemo yeye na mpambe wake juhudi za kutoa kwenye hilo...
Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema
“ Imekuwa kila usiku watu wana kosa Amani maana hatujui leo Marekani itashambulia wapi, maisha kama haya ni lazima...
Majeshi shupavu ya israel yameushikilia kikamilifu baada ya wakazi wake kuamriwa kuondoka maeneo hayo na Majeshi ya Israel.
Majeshi hayo ya duka ATA mji huo bila upinzani wowote. Wengi walitarajia wale askari wa Hamas waliokuwa wanavaa Combat wakati wa mabadirishano ya mateka wangejitokeza ili...
Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi.
Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji...
Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Hamas Suhail al-Handi: amesema
"Tuko tayari kuwaachilia mateka wote kwa sharti kwamba vita viishe, vivuko vifunguliwe, na Ukanda huo ujengwe upya.
Tunakataa masharti ya Netanyahu na Trump kuhusu kupokonywa silaha zetu na kufukuzwa kwa watu wakuu wa Hamas kutoka...
Majeshi ya Israel yametoa amri ya watu wote kuondoka huko RAFAH kabla ya majeshi hayo kuanza fagiafagi ya magaidi huko na kwa bahati nzuri watu wa h7ko wakawa wa elewa wakaanza kufungasha virago vyao kabla mambo hayajaharibika. Hayo yamejiri baada ya majeshi ya Israel kuanza mashambulizi baada...
Mapokezi ya Msemaji wa waasi wa M23 wanaoungwa Mkono na Rwanda Willy Ngoma alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC.
Video hii inaonyesha akipiga stori na wanajeshi wa SADC Kutoka Tanzania , akiomba pia mualiko wa sikukuu ya Eid El Fitr kula pilau jijini Dar es Salaam. Pia majeshi ya SADC...
WAKENYA wanaendelea kutoa hisia zao kufuatia kauli tata za Mkuu wa Majeshi (CDF) Jenerali Charles Kahariri na Mkurugenzi wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS), Noordin Haji, kuwaonya raia dhidi ya tamko maarufu la ‘Ruto must Go’ (Ruto lazima aende).
Wanasiasa, viongozi wa mashirika ya kijamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.