majaribio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Biteko: Matumizi ya umeme Dar na Pwani ni zaidi ya nusu ya matumizi ya umeme Tanzania nzima

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Chalinze kujionea kinachoendelea kwenye mchakato huo. Baada ya kutembelea mradi Dkt. Biteko ameweka wazi kuwa mradi huo umefikia Asilimi 84 na unatarajiwa kukamilika...
  2. Haya Mvua ya El Nino imeshaanza Majaribio yake Mkoani Dar es Salaam hivyo tujiandae nayo

    Na kama Mtu ambaye nimejiandaa kuwa Mtetezi wa Serikali pale Mvua za El Nino zikianza ni Mimi GEBTAMYCINE. Tokea Mwezi wa Tano ( May ) au wa Sita ( June ) Serikali kupitia Media mbalimbali kila Siku imekuwa ikitoa Tahadhari kwa Wananchi ( hasa wa Mabondeni Kuhama ) ila nasikitika kusema kuwa...
  3. Mwanza: Mradi wa maji Butimba wafikia 94%, utaanza majaribio ya kutoa maji Septemba 15, 2023

    Mradi wa maji Butimba wafikia asilimia 94, kuongeza upatikanaji wa maji kutoka lita 90 hadi 138. Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya Sh69 Bilioni unaojengwa eneo la Butimba jijini Mwanza umefikia asilimia 94 na utaanza majaribio ya kutoa maji Septemba 15 mwaka huu. Waziri wa Maji, Jumaa...
  4. Gabriel Gerald Geay Anogesha mbio za Uwanjani za Majaribio (Trials, Track and Fields Events) Jijini Arusha

    Mwanariadha wa kimataifa, Gabriel Gerald Geay anogesha mashindano ya majaribio ya Uwanjani leo 8/7/2023 kwa kutoa zawadi ya pesa kwa baadhi ya wanariadha washindi na wenye muda mzuri kwa baadhi ya michezo hiyo. Mashindano hayo yamefanyika kwa mara ya pili mfululizo na kushirikisha wanariadha...
  5. Majaribio ya SGR Dar mpaka Morogoro yakwama, Vichwa havijakamilika kutengenezwa

    Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi. Soma pia: Uzi mkuu...
  6. China wafanya majaribio ya treni ya speed 1,000km/h

    A Chinese research team has successfully completed the country's first full-size superconducting test run for an ultra-high-speed magnetic levitation (maglev) train, which, once completed, will be capable of running at a whopping 1,000 kilometers per hour under ideal conditions. Developed by...
  7. Nigeria inakuwa nchi ya Pili duniani kuridhia majaribio ya Chanjo ya Malaria baada ya Ghana

    #Nigeria imekuwa Nchi ya pili duniani kuidhinisha majaribio ya Chanjo mpya ya #R21Malaria iliyotengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Majaribio ya kwanza yamefanyika #Ghana. Mkuu wa Idara ya Kitaifa ya Chakula na Dawa wa Nigeria, #MojisolaAdeyeye, amesema Chanjo hiyo...
  8. Setilaiti ya kwanza ya Kenya Taifa-1 yarushwa angani baada ya majaribio matatu

    Taifa-1, setilaiti ya kwanza ya Kenya ya kufuatilia dunia, imerushwa angani kwa roketi ya SpaceX Falcon 9 kutoka kituo cha Anga cha Vandenberg huko California, Marekani. Space-X ambayo makao yake makuu ni nchini Marekani, na hutengeneza na kurusha roketi za kisasa zaidi kwenye anga za juu zaidi...
  9. Korea Kaskazini imefanya majaribio ya makombora

    Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimesema urushaji huo wa makombora ambao uliothibitishwa na jeshi la Korea Kusini, ulikusudiwa kuthibitishwa kutegemewa kwa makombora hayo na uwezo wa kujibu kwa haraka kitengo kinachoongoza silaha hizo. Shirika la habari la Pyongyang limeripoti kwamba...
  10. Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

    Taarifa zaidi badae, Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio. --- UPDATES; Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa...
  11. Majaribio ya SGR kutoka DSM - Morogoro kufanyika February 2023

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) linatarajia kuanza majaribio ya kutoa huduma katika Reli ya Kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro mwezi Februari 2023 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alisema kazi ya ujenzi wa SGR, awamu ya kwanza kilometa 1,219 kati ya Dar es Salaam na Mwanza na...
  12. Nilianza kwa majaribio nikaishia kuwa teja, Story ya ukweli jinsi nilivyokuwa mtumwa wa kujichua kwa miaka 10

    Ilikuwa ni kipindi nipo darasa la sita nikiwa na miaka 12 kwenye kipindi cha sayansi mwalimu alikuja kufundisha topic ya mitindo ya maisha kama sikosei ilikuwa ni reproduction. Ni topic ambayo wengi iliwafanya wawe wasikivu kama mjuavyo hata watoro walikuwa hawaikosi, sasa katika maswali ya...
  13. L

    China yafanikiwa kurusha satelaiti mbili za majaribio

    Disemba 12, China ilirusha kwa mafanikio satelaiti mbili za majaribio, Shiyan-20A na Shiyan-20B, kwa kutumia roketi ya LongMarch 4C kutoka kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Jiuquan. Satelaiti hizo mbili zitatumika kufanya majaribio ya teknolojia mpya za kusimamia mazingira ya anga ya juu.
  14. Elon Musk asema majaribio ya kupandikiza 'Ubongo Bandia' kuanza ndani ya miezi 6

    Kamouni inayomilikiwa na Tajiri namba 1 duniani Elon Musk, Neuralink Corp. imesema ndani ya miezi 6 itaanza majaribio teknolojia yake ya kupandikiza 'Neva za Ubongo' kwa binadamu. Neuralink imesema tayari imewasilisha nyaraka za ukaguzi wa teknolojia hiyo kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa ya...
  15. Jinsi ya kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio: Kesi ya Agness B. Buhere versus UTT Microfinance Plc ya 2015

    Hukumu katika kesi ya Agness Buhere vs UTT Microfinance Plc ya mwaka 2015 ni mwongozo tosha wa kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio (probationary employees). Naambatanisha.
  16. Jeshi la Zimamoto lakanusha Ndege ya Precision Air kuangushwa kwa ajili ya mazoezi

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Kagera limethibitisha kuwa Ndege ya Shirika la Precision Air imepata ajali na kuanguka kwenye Ziwa Victoria wakati ikijaribu kutua na tukio hilo ni kweli. Zimamoto zimekanusha taarifa za uvumi kuwa ndege hiyo imeangushwa kwa majaribio ya mazoezi ya...
  17. Majaribio ya mbegu

    Habari wana JF, Nimekuwa nikijaribu sana kuweza kuotesha mazao mbalimbali katika bustani yangu Salasala hii yote ni kutaka kujifunza zaidi kwasababu ni kazi nayoipenda sana. Zoezi 1 Nilijaribu kuotesha mbegu mbalimbali za machungwa, chenza na limao kupitia machungwa tunayokula na pia...
  18. Uganda yaridhia kufanyiwa majaribio ya chanjo 8 za Ebola

    Hatua hiyo inafuatia ufanisi hafifu wa chanjo zilizotumika awali kushindwa kufanya kazi kama ilivyotarajiwa kutokana na kutofautiana na aina Kirusi kilichopo nchini humo. Uganda inakabiliwa na Kirusi cha Sudan wakati chanjo zilizoingizwa nchini humo zilikuwa za Kirusi cha Zaire. Mkurugenzi Mkuu...
  19. Twitter inafanya majaribio kuwa na sehemu ya video inayofanana na Tiktok

    Inaonekana ni ngumu sana kwa hii mitandao kuwa na idea za utofauti ambazo hazifanani na platform nyingine; sijui ni uzembe wa kubuni idea mpya au idea mpya zimeisha. Twitter imetangaza mabadiliko mawili ambayo yanafanana kabisa na TikTok na Instagram Reels. 1️⃣ Twitter inaweka sehemu ya “Video...
  20. Instagram inafanya majaribio ya kuweka sehemu mpya ya “Repost”

    Sehemu hii itakuwa inawezesha mtumiaji ku-repost post ambazo amezipenda. Mfano ukiona post ambayo unatamani kuonyesha followers wako, unaweza ku-report na itakaa katika profile yako upande mpya wa posts ambazo ume-repost. Hii inafanana kabisa na “Retweet” ya Twitter. Ku-share post ambayo sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…