MAJARIBIO YA ROCKET YA MWEZINI YATAANZA MUDA MCHACHE
Muda mchache kuanzia sasa Majaribio ya urushwaji wa rocket itakayotumika katika safari mbalimbali za mwezini na anga za mbali kwa ujumla utafanywa ambapo tutashuhudia rocket ya Space Launch System ikielekea katika safari yake ya masiku kadhaa...
Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati itakayotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China.
Watu wa Soka,
Leo nimeleta habari njema kwa vijana wenye vipaji.
Singida Big Stars tumeanza kutengeneza timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20. Kama una vigezo njoo utuoneshe uwezo wako au mlete kijana wako, tukiridhika na kiwango tunasajili.
Majaribio yatafanyika Jumamosi 30/07/2022...
Shule moja ya sekondari ya Suzhou nchini China ikiwa ni shule ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa mpira wa miguu, imeiga vilabu vya kulipwa vya mchezo wa soka kujenga chumba cha kubadilishia nguo, chumba cha mazoezi na maonyesho ya utamaduni wa mpira wa miguu ili kuweka mazingira...
Taarifa ambazo zimepatikana ni kwamba Ukraine anakaribia kumaliza kuhuisha silaha za nyuklia zilizokuwa decommissioned.
Ikumbukwe kwamba mwaka 1994 Ukraine aliondoa silaha za nyuklia zilizokuwa zinamilikiwa na USSR. Kulikuwa na zaidi ya nukes 1700.
Sasa wamehuisha baadhi kwa msaada wa mataifa...
Wafaransa washenzi sana, walipoitawala Mali waliamua kufanya majaribio yao ya nyuklia kwenye ardhi ya Algeria miaka ya 1960s ili athari zitakazotokana na nyuklia ziwaathiri waafrika tu.
Yaani majaribio wafanye kwa faida ya Ufaransa, lakini madhila ya miaka na miaka hadi kesho yaendelee...
Kawaida Jukwaa hilo la mitandao ya kijamii huwa na kikomo cha machapisho hadi herufi 280 na kusema hatua hiyo ni kuboresha huduma kwa wateja wao.
Majaribio hayo yanatarajiwa kuchukua muda wa miezi miwili na kuhusisha kikundi kidogo cha waandishi nchini Canada, Ghana, Uingereza na Marekani...
Kwa mujibu wa Utafiti uliochapishwa katika Jarida la "The New England Journal of Medicine", Wagonjwa 12 waliotumia Dawa ya Majaribio ya Dostarlimab kwa kipindi cha miezi 6 walionekana kupata nafuu. Jaribio hilo dogo limefanyika Nchini Marekani
Kwa mujibu wa Dkt. Luis Diaz, hii ni mara ya kwanza...
Kkumekuwa na majaribio saba (7) ya kumuua Putin
Seven Assassination Attempts
On Vladimir Putin To Date
Pravda
Translated by Guerman Grachev
1-24-7
Officials and statesmen have been targeted by terrorists and the like from time immemorial. President Charles de Gaulle of France set a kind of...
Vyombo vya Habari vya serikali nchini Korea Kaskazini vimetoa picha zinazosema kuwa zilichukuliwa kutokana na majaribio ya kombora lake kubwa zaidi kutoka mwaka 2017.
Picha hizo zinaonesha sehemu za rasi ya Korea na maeneo yaliyo karibu yakionekana kutoka angani.
Korea Kaskazini ilisema kuwa...
haya mambo ya uchifu yalishafutwa tangu 1962 lakini yanaanza kurudi tararibu.
Ni miezi kama minne hivi iliyopita raisi wetu alikutana na machifu lakini jana tena kakutana nao, nini kinafaidisha taifa kwa haya mambo??
ajabu ni kwamba haya mambo yanafanyikia tu huku kwetu bara lakini huko upande...
Naibu waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul, amesema matunda ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kukubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya Mataifa Barani Afrika kwa Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (CANAF) yameanza kuonekana...
Anaandika Msemaji Mstaarabu Ahmed Ally katika kurasa ya Instagram
Ni kweli tuna wachezaji watatu tunawafanyia majaribio
Mashabiki wa Simba wamepata hofu kwanini timu yao na ukubwa wao wanafanya majaribio??
Kwanza kabla ya yote niwaambie tuu Wachezaji ambao sisi tunawafanyia majaribio wakienda...
Binafsi nilishangaa kujua mfumo wa zanzibar ni kumaliza shule ya msingi darasa la sita kisha mtu anaenda form 1. Sijui wanakimbilia wapi? Au kwa vile shule zao kuna kina mama na kina baba wanalea japo wao ni watoto?
Mfumo huo pia umekua na matokeo duni ya kidato cha nne. Kila mwaka shule za...
Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya Crypto ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin ya Pax Dollars (USDP) ambayo ni crypto yenye thamani sawa na Dola 1.
WhatsApp imeanza majaribio ya kuunganisha Wallet ya Novi na WhatsApp hivyo utaweza kutuma na kupokea pesa...
Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili.
Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia.
Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
Summary
Danadana zimeendelea kutawala juu ya kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Dar – Morogoro, baada ya kuahirishwa mara kadhaa kwa majaribio yaliyopangwa kufanyika mwaka huu.
Danadana zimeendelea kutawala juu ya kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.