majaribio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kasomi

    WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

    WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts. Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu; unaweza kuchagua iwe inaonekana kwa watu wote; au unaweza kuchagua isionekane kwa mtu yoyote. Mabadiliko...
  2. Analogia Malenga

    Chanjo ya Malaria yaanza kufanyiwa majaribio baada ya miaka 15

    Wakati mapema wiki hii dunia ikiandika historia ya kupata chanjo ya ugonjwa wa Malaria kwa watoto, Tanzania imeanza utafiti wa chanjo ya majaribio R21 itakayohusisha watoto 600. Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya chanjo ya awali RTS,S iliyofanyiwa utafiti na Taasisi ya Ifakara Health...
  3. Travis 1

    WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Au tatizo hili ninalo mimi tu? ---Update---
  4. S

    Balozi wa North Korea (NK) aiambia UN hakuna wa kuinyima NK haki ya kutest makombora, wakati huo huo (wa speech) NK yafanya jaribio jipya la kombora

    South Korea imesema kuwa North Korea (NK) imetesti kombora ambalo bado halijafahamika wakati ambao balozi wa NK wa Umoja wa Mataifa (UN) bwana Kim Song akizungumzia/akitetea haki ya nchi yake ya kutesti makombora/silaha ktk kikao cha pamoja cha UN kilichofanyika jana jumatatu mjini New York...
  5. Analogia Malenga

    Pfizer kufanya majaribio ya dawa ya Virusi vya Corona

    Kampuni kubwa ya kutengeneza dawa ya hapa Marekani ya Pfizer imesema kwamba imeanza majaribio ya dawa inayolenga kulinda watu wanaoishi na mtu aliyeambukizwa Covid. Dawa hiyo inalenga kuwazuia wale ambao hawana dalili zozote za maambukizi dhidi ya kupata virusi hivyo. Dawa hiyo ambayo ni ya...
  6. T

    Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

    Kampuni inayotengeneza chanjo ya Covid ya Moderna inatarajia kuanza majaribio ya chanjo ya UKIMWI Jumatano ijayo. Mordena wana matumaini makubwa kwamba kutokana na teknolojia mpya ya mRNA ambayo imesaidia kupambana na virusi wa Covid, wanaamini kua chanjo ya Ukimwi kwa kutumia teknolojia hiyo...
  7. Hero

    Hivi sindano au sylinge kama hii zimetengenezwa kwa matumizi gani ktk kipindi hiki cha kudungana vijanjo vya majaribio?

  8. Swahili AI

    COVID-19: Chanjo ya vidonge ya Israel kuanza majaribio

    Oramed kampuni ya utengenezaji dawa, imetengeneza Chanjo ya Uviko19 kwenye muundo wa Kidonge. Kwa sasa Inasubiri kibali cha Wizara ya Afya ya Israel wiki mbili zijazo. ==== Israeli COVID vaccine in pill form to start clinical trial in Tel Aviv By Nathan Jeffay A prospective oral...
  9. Analogia Malenga

    Kabendera: Kulikuwa na majaribio mawili ya kuniua kabla ya kunikamata

    Erick Kabendera, Muandishi ambaye aliakamatwa kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kujihusisha na genge la uhalifu ambapo aliachiwa Februari 24, 2020 baada ya kukaa mahabusu kwa miezi saba Akizungumza na BBC Swahili, Erick amesema aliponyeka majaribio mawili ya kuuawa ambapo moja lilifanyika...
  10. MK254

    Bandari ya Lamu kuanza majaribio mwezi ujao, ifahamike hii bandari itakuwa baba lao kwa bandari zote ukanda huu

    Kwa mwendo huo huo..................... Officials will start testing operations of the new Lamu port at the end of next month ahead of the June 15 commissioning. The first batch of equipment including low load trailers, extension cargo handlers and trailers to be used at the...
  11. beth

    Ivory Coast: Serikali yawasimamisha wakaguzi wa majaribio ya udereva Nchini nzima

    Serikali ya Ivory Coast imewasimamisha Wakaguzi wote wa majaribio ya kuendesha magari Nchi nzima ikisema inasafisha sekta hiyo Miongoni mwa sababu za uamuzi huo zimetajwa kuwa ni udanganyifu, ufisadi na ongezeko la ajali za barabarani. Kuanzia wiki ijayo, zoezi la majaribio ya udereva...
  12. Kasomi

    Majaribio ya awali kiwanda cha kusafisha dhahabu Mwanza yaonesha matokeo mazuri

    Kutoa ajira 100 za mwanzo Asteria Muhozya na Tito Mselem, Dodoma Imeelezwa kuwa, Majaribio ya Awali ya Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metal Refinery ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupiti a Shirika la Madini la Taifa (STAMICO.), yameonesha Matokeo Mazuri. Hayo yameelezwa...
  13. Miss Zomboko

    Geita: Kaka amuua mdogo wake baada ya kufanya vibaya kwenye mtihani wa majaribio

    Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Shibutwa wilayani Mbogwe mkoani Geita, Ziada Masumbuko (15) ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na kaka yake kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kufanya vibaya katika mtihani wa majaribio. Kamanda wa polisi mkoani Geita, Hendry...
Back
Top Bottom