Huwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai.
Chai lazima iwe na majani ya chai ( tea leaves-Camellia sinensis), hivyo vingine ni vikorombwezo tu na sio chai.