majambazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Majambazi yateka Watu 100 Kaskazini Magharibi mwa Nigeria

    Majambazi wanaodaiwa kutumia Pikipiki huku wakiwa na silaha za moto wamewateka Watu 100 Upande wa Kaskazini Magharibi mwa #Nigeria katika Vijiji vya Jimbo la Zamfara. Wenyeji wa Vijiji husika wanadai utekaji huo umefanyika kwa Watu walioshindwa kulipa 'kodi' iliyodaiwa na Watekaji hao, ikiwa ni...
  2. matunduizi

    Kuzaa watoto wengi bila mpango mkakati wa kuwalea utahukumiwa

    Hakuna idadi ya watoto utakaozaa useme umezaa wengi. Kwa Mwingine watoto wengi kwao ni mmoja. Mwingine kama yule mzee mjaluo wa shirati, watoto wengi ni 38 na mwingine watoto wengi ni 0. Kipimo cha wingi sio idadi bali uwezo wa kuwahudumia na kuwapa malezi yaliyonyumbuka pote kwa usawa bila...
  3. ELI COHEN

    Kiongozi wa Hamas akutana na Kiongozi Mkuu wa Iran huko Beirut

    Wamekutana kuisaka tena damu ya kiyahudi na kikristu kwa mgongo wa kutafuta haki ya wa palestina.
  4. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Nakumbuka, ilikuwa katikati ya miaka ya 90 nikiwa nasoma katika moja ya shule za sekondari katika moja ya wilaya zilizopakana na nchi za Rwanda na Burundi. Ikumbukwe ni katika miaka hiyo yalikuwa yameanza mapigano ya kikabila yaliyokuwa yamezuka nchini Rwanda Kati ya Watutsi na Wahutu nchini...
  5. Brain Kingdom

    Kuna baadhi ya Nchi za Kiafrika zina Majambazi na Magenge ya Dola badala ya vyombo vya Dola

    Wasalaam nyote, Kwa ufupi ifahamike hivyo ya kwamba kuna Nchi nyingi tu za Kiafrika zina Majambazi na Magenge ya Dola badala ya vyombo vya Dola. Kwa msingi huo usitarajie miujiza ya hivyo vyombo kufanya kazi kwa ustawi wa jamii zao na nchi zao. Ni hayo tu. Shukrani 🙏🙏🙏 Wadiz
  6. Mi bishoo tu

    DOKEZO Butimbaru ya ghorofani makutano ya majambazi Bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa

    OCD bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa maeneo ya uswahilini Bunda,hapa ndipo waporaji wa maeneo mbalimbali ya mkoa wa mara wanapokutana na kuratibu mipango yao yote ya jinsi ya kufanya uovu wao wote. OCD tuma Timu ya wapelelezi kwenye hiyo nyumba na wasiwe maaskari wapenda rushwa...
  7. Webabu

    Marekani: Wafanyakazi San Francisco watakiwa kufanyia kazi majumbani kutokana na kiwango kikubwa cha uhalifu

    Wafanyakazi kwenye ofisi za idara ya afya jijini San Francisco wametakiwa kuendesha shughuli zao majumbani kutokana na maeneo karibu na ofisi yao kutokuwa salama.Idara hiyo imesema hali hiyo itaendelea bila ukomo mpaka litakapotolewa tangazo jengine. ======= Hundreds of employees at...
  8. Roving Journalist

    Simiyu: Majambazi wavamia maduka Bariadi, Walinzi wakimbia

    Watu kadhaa wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha mbalimbali wamevamia maduka yanayofanya biashara za miamala ya kifedha katikati ya Mji wa Bariadi usiku wa kuamkia Juni 8, 2023. Wahalifu hao wamevunja milango lakini wakashindwa kuvunja boksi za kuhifadhia fedha ambazo ndizo walikuwa...
  9. FIKRA NASAHA

    SoC03 Wafungwa kabla ya kutoka gerezani waandaliwe kisaikolojia

    Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Hutoa Msamaha wa Wafungwa, Kwa Idadi Inayopendekezwa na Magereza, Nchi Nzima Ikiwa Pia...
  10. MSAGA SUMU

    Majambazi ya Burundi ni habari nyingine

    Kwanza hawa jamaa huwa hayavunji milango kuiba tv, hawafanyi huo utopolo. Show zao huwa yanaiba maduka Hadi 30 kwa wakati mmoja, yanafunga mitaa kadhaa. Ukishindwa kuwapa wanachotaka yatakumaliza na ukiwa yatakumaliza. Yakifanya mauaji yatahakikisha hata msibani kwako watu washindwe kukuaga...
  11. Binadamu Mtakatifu

    Kwanini kina Issa tunaonekana majambazi

    Hahahah mademu wengi ukiwauliza wana experience gani na kina Issa utasikia tabia za kibandidu tu Jamani sisi ni watakatifu sana 😂😂😂 Yesu awaokoe wote
  12. BARD AI

    Askari Polisi waua majambazi wanne Dodoma

    Majambazi wanne wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hadi 35, wameuawa na polisi wakiwa katika harakati za kufanya tukio la unyang’anyi kwa kutumia silaha eneo la Kisasa jijini hapa. Majambazi hao walivamia nyumba ya Edina Joseph (41) jana saa tatu usiku kwa kuruka uzio wa nyumba yake wakiwa...
  13. Mlalamikaji daily

    Wizara ya Fedha, BoT na TAKUKURU imulikeni Letshego /Faidika Tanzania ni majambazi

    Hii ni taasisi ya Fedha inayojihusisha na mikopo kwa wafanyakazi na wafanyabiashara Juni 2021 mfanyakazi (sitamtaja) alikopa ths 3,500,000 kwa makato ya Tsh 126,400 kwa mwezi, Sasa picha limeanza mwaka huu mfanyakaz akataka kuwalipa deni lao (kumbuka ameshakatwa kama miezi 20) Toka Juni 2021...
  14. Gily Gru

    Naota navamiwa na majambazi au wachawi

    Wasalaam Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura...
  15. BARD AI

    Njombe: Majambazi wateka Magari na kupora fedha, simu

    Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamia magari zaidi ya saba (7) ikiwemo magari ya mizigo pamoja na basi la abiria katika eneo la Nyaliva katikati ya kijiji cha Nyombo na Kidegembye barabara ya Njombe - Lupembe Halmashauri ya Wilaya ya Njombe wakidaiwa kupora fedha na simu za Abiria...
  16. J

    Awamu ya 5 ilikuwa ni genge la majambazi lililojiita wazalendo

    Majambazi ndio hutukia bunduki kupora na kuua watu, kuteka watu na kudai fidia Awamu ya 5 ina sifa zote za ujambazi Walikuwa wakivamia maduka ya kubadilishia fedha na bunduki na kuchukua fedha Waliweka watu Rumande na kuwaambia watoe mabilioni ndio itawaachia huru Walipiga watu waliokuwa...
  17. JanguKamaJangu

    Kagera: Polisi waua watu wawili kwa risasi, ni wanaodhaniwa kuwa majambazi

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewaua kwa kuwapiga risasi watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, na kufanikiwa kupata bunduki moja aina ya AK47 ikiwa na magazine moja yenye risasi 25 na mabomu mawili ya kutupwa kwa mkono. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoani Kagera...
  18. Idugunde

    Nyanghwale: Majambazi yavamia nyumba na kubaka wanawake

    Watu wawili wanaodaiwa kuwa wezi wameuawa na wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Bukungu, Kata ya Kharumwa wilayani Nyang’hwale mkoani Geita baada ya watu hao kuvamia nyumba za watu usiku kisha kupora na kubaka baaadhi ya wanawake. Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Jamhuri Wiliam amethibitisha...
  19. Idugunde

    Paul Makonda shujaa wa taifa aliyesahaulika. Alipambana dhidi ya mateja, majambazi na matapeli wa kila namna

    Dar es Salam ilikaa kwa shwari Maana matapeli wa viwanja na pesa walikamatika Majambazi walikimbia na kuaicha Dar. Mafisadi wa ardhi walikimbia kama mbwa.
  20. Idugunde

    Polisi yatangaza kuwakamata wanaodaiwa kufanya Ujambazi maeneo ya Goba, wajeruhiwa kwa risasi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, tarehe 08/1/2023 saa 6 :30 mchana eneo la Mabibo External Kinondoni lilifanikiwa kuwakamata majambazi sugu wanne wakiwemo Athuman Yusuph Mbalilo SOTI (50) Mkazi wa Kimara Temboni, Mpoki Raphael @ Mwangwisya (41) mkazi wa Mbezi Luis na wengine wawili...
Back
Top Bottom