mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 222
Kuna wale wenzetu ambao huwa wanaomba ushauri juu ya biashara za kufanya😕,na kupewa ushauri mbalimbali lakini kiuhalisia ukiona umewin kupata pesa basi ni kuwa una uwezo wa kuchanganua jinsi utaitumia hiyo pesa.
Kama ni biashara angalia una idea gani kwanza, ukiomba ushauri kuna watu watakuvuruga na ushauri hadi unachukua ile pesa ukapooze machungu na 🍺.
Kama ni biashara angalia una idea gani kwanza, ukiomba ushauri kuna watu watakuvuruga na ushauri hadi unachukua ile pesa ukapooze machungu na 🍺.