Kwenye maisha ya mwanaume kuna wakati unafika hauna girlfriend, hauna mchepuko, una marafiki wachache sana au hauna marafiki kabisa. Maisha yako ni wewe tu mapambano yako ya kujitafuta. Hicho kipindi kinaitwa Ghost phase. Ni nyakati ambazo zimewatengeneza wavulana kuwa wanaume.
Kama bado huu...
Wakuu mambo vipi wadau kwema niaje aseee, mko poa wote, Sasa wakuu nilikuwa na changamoto imenikumba muda wote naomba mnisaidie kiasi chochote tu kinisave mdogo wenu wakuuu🙏jioni hii 0674615883 mbarikiwe sana
Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo zilizopata umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, hadi kuvuka mipaka ya Tanzania akiishi maisha ya...
KATIKA MAISHA KUNA NJIA MBILI ZA KUJIFUNZA , NJIA NGUMU NA NJIA NYEPESI.
Maisha yana mambo mengi sana, binadamu kila kukicha wanakutana na changamoto mbali mbali .
ila pamoja na yote , kitu ambacho unabidi kukizingatia unabidi kuwa aware na mambo yanayowatokea wenzako , kuanzia mafanikio yao ...
UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu kwanini usianze maandalizi mapema! Tushachoka kuskia taarifa za watu kujiua bila kua na sababu hivo...
Nashukuru JF kwa kuwa moja ya sehemu za kuongeza furaha, kunipa raha na kupunguza maumivu kwa mwaka huu.
2025 ulikuwa mwaka mgumu kwa wengi wetu; asanteni kwa tabasamu, mafunzo, elimu, vituko, mawazo, ukosoaji na aina zote za michango.
Kwa niliowakosea au kuwakwaza - mnisamehe, haikua dhamira...
Kwanza nimpongeze alieandika huu uzi:
https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-umri-ukifika-vitu-vingi-vinakosa-maana-isipokua-pesa-familia-na-afya-njema.2324044/
ukwel ni kwamba katika ujana, unaweza kudhan una vitu vya msingi sana vya kupigania kama mali, fedha, wanawake lakini kwa sisi...
1. Kamwe usimdharau mtu kwa sababu ya umaskini au hali yake ya maisha
Kila mtu anapitia mapambano yake. Leo unaweza kuwa umebarikiwa, una nafasi nzuri na unaishi kwenye mafanikio, lakini kumbuka fedha zina mabawa. Maisha yanaweza kubadilika ghafla. Tajiri wa leo anaweza kuwa maskini wa kesho...
Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi
Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei...
Siku zote namshukuru mungu Kwa vile nilivyo Wala sitamani kuwa yeyote zaidi ya Mimi mwenyewe. Hata kuwa Elon Musk sitamani. Imagine kama UNGETAMANI kuwa kama polepole wa kipindi Cha ma V8 je Leo ungekuwa wapi?
Any way no one knows tomorrow.
Enzi za awamu ya tano mambo yalikuwa mchakamchaka kila siku unapata sababu ya kuishi ila siku hizi kumepoa sana hakuna wa kuchangamsha maisha, hakuna ziara za kushtukiza wala kutumbua majipu ni kama tunajilazimisha kuishi tu siku ziende.Mpaka topic za kuanzisha thread mtu unakosa.
Nikiingia...
wassup ma-niggas mlioko kwenye hili jukwaa! Inabidi sasa tuongee lugha moja maana hii straight-up fuckery inazidi kimo. Tunakaa kimya mnadhani sisi ni dead bodies? Mnatuona kama sisi ni lame-ass puppets mnaoweza kutuvuta kamba mnavyotaka? Hell no, man! Tumeshastuka na huu usenge wenu! Mnatupiga...
China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, biashara na ushumi, utamaduni, sayansi na teknolojia, kilimo, na sekta nyingine nyingi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa sana kwa nchi za Afrika, kwani zimeweza kupata maendeleo katika sekta husika...
Habari Tanzania !
Leo hii maisha bora kwa kila Mtanzania imekuwa ndoto na wakati mwingine inaonekana kama ni jambo lisilowezekana na hii ni chanzo cha aina ya watu na uwezo wao wa kufikiria.
1. Ujenzi wa Nyumba na Makazi ya kupanga yamekuwa aghali sana.
Njia: Punguzeni tozo na kodi kubwa...
Kwa mauwaji yale. Tanzania haiwszi kuwa kama zamani.
Ushauri wangu kwa wale Lumumba Buku 7, acheni kupoteza muda wenu.
Huwezi kuua watu namna ile halafu ukadhani maisha yataendelea tu kama kawaida. Haiwezekani.
KABURI LA MSOMI.
Karibuni sana wapenzi wa simulizi, leo naitambulisha kwenu simulizi hii iitwayo KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya maisha kwa ujumla, vimbwenga, mapenzi wivu, usaliti, chuki na mauaji. Mwandishi anakukaribisheni kutoa maoni ushauri na...
"Ooh ilikuwa iwe hivi"
"Ilipaswa ie hivi"
"Ni mipango ya Mungu wafe kwenye ajali familia nzima"
"sikuzaliwa na nyota kali ndio maana sifiki malengo"
🚮🚮🚮🚮🚮
Wadau nime experience hiki kitu baadhi ya wanawake tena kwa idadi kubwa hasa wanaotokea kwenye familia za kawaida wakijipata hujenga dharau na kuona watu wengine hawana thamani.
At least wadada wanaotokea kwenye familia za kishua kidogo huwa na heshima kuliko hawa waliojipata na walitokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.