maisha

  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi katika maisha yako umewahi kuzika ndg yako asiye na kichwa ?

    Ni hii ya dogo aliyeuawa kikatili na kukutwa mtoni akiwa hana kichwa. Isikie tu maana si kawaida. Mimi hadi hapa nimewahi sikia ni kijijini kwetu Kaya kama 6 kutoka kwetu bibi alikatwa katwa mapanga kwa imani zetu Kanda ya ziwa na kisha kichwa chake wakaenda nacho hao wakataji. Hatukwenda...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania TANZIA Baharia Mtanzania apoteza maisha wakati meli inavuka mfereji wa Hormuz

    Waajemi msiwasogelee jamani.. Chanzo cha picha,Getty Images Baharia wa Kitanzania amepoteza maisha wakati akihudumu katika meli ya kuvuta iitwayo VOLANS, Shirika la uwakala wa Meli Tanzania, TASAC limeeleza. Kifo cha baharia huyo kwa jina Mchama Maregesi Mongu, kilitokea tarehe 3 mwezi Mei...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa 'Hivi vina pesa utakuwa tajiri', jihadhari unaweza kuishi maisha yote ukisubiri mafanikio yasiyokuja

    Hizi ni sehemu wengi wanapoteza muda na pesa wakidhani ni fursa.... lakini ukweli wake huu hapa: 1. Forex Watu wanaona screenshots za profit na motivation, wanaingia kwa pupa. Kwa Tanzania, wanaopata pesa consistent kwenye forex wengi wao sio traders — ni wauzaji wa kozi, signals, au...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kamwe usikubali kuhatarisha maisha ya mtoto kwa kumpandisha bodaboda, wengi hawajielewi

    Leo nimejikuta napata ghadhabu sana na nikasema lazima niteme nyongo. Yani asubuhi asubuhi na hili baridi unakuta kitoto kidogo cha chekechea kimepandishwa boda eti kinaenda shule. Yani wewe unaenda kugombania daladala halafu dogo under 5 unarisk maisha yake. Mbaya zaidi boda kavaa mkoti mkubwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kuvuka Barabara ya Morogoro Nyakati za Asubuhi na Jioni. Madereva hawaheshimu alama za Pundamilia

    Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanya nini kwenye maisha ili usiwe bored?

    Unaishi Tanzania, aidha mijini au vijijini. Huenda ni mwanachuo, unaenda chuo Jumatatu hadi Ijumaa, au umeajiriwa unaenda kazini Jumatatu hadi Ijumaa au umejiajiri, unafanya kazi muda unaotaka wewe Ikifika weekend, sikukuu au likizo huwa unafanya nini usiwe bored? Activities gani ukizifanya...
  7. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania MORNITORING SPIRITS/ROHO ZA GIZA ZINAZOFUATILIA MAISHA YAKO

    Kila mwandamu ana kitu chake Mungu amemuumba nacho cha pekee kinachomfanya awe wa pekee tofauti na mwingine ambacho kitampa nafasi fursa hapa za kufanikiwa hapa duniani(kuleta ugali mezani) ambacho kitampa pia heshima na kuthaminiwa . DALILI ZINAZO ONYESHA UMEKWISHA IBIWA KITU CHAKO CHA NDANI...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kusudi kuu la maisha ni balance (uwiano) na survival. Raha inakuwa fupi kwa maana unajaribu kusavaivu na tabu inakuwa ndefu ili ku-extend uwiano

    Hata ufanye nini asili itakugusa tu, uzembe wa wengine utagusa hata uwe makini kiasi gani, raha itakupata tu kwa wakati fulani na shida itakupata ili wengine wapate raha. LIFE
  9. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Maisha lazima uishi, maisha yenyewe mafupi

    Salaam jamiiforum Kuishi ni lazima, Kuishi ni kuvifurahia vitu,kama Kula vizuri, Kulala pazuri na kuvaa vizuri. Bahati mbaya vitu tunavyotamani havipatikani kirahisi lakini ,naamini kila mmoja anatamani kupata kilicho bora. Bro,hata uwe bize na majukumu vipi usisahau kuishi,enjoy maisha Kula...
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ni kama movie na wanawake kwangu ni kama ruby

    Sijui ni zimwi. Sijui ni uraibu. Nalala na kuwaza wadada wenye makebo makubwa, napenda kuchakata jagina zao, napenda kuchezea genta zao, kutokea kwenye mapaja, nafurahia kuona tila tila zao. Nimeshafanya style zote, wanawakae wa aina zote, lakini bado sitosheki, Imekuwa kama adventure...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati vijana waliishi kuendana na rythm ya maisha hata kwa ugumu kuna namna waliitafuta humour ila sasa hivi vijana wamekuwa sadists kupindukia

    Kuna namna afya ya akili imekuwa corrupted. Na ukiona afya akili imekuwa corrupted kwa mkupuo mara nyinngi ni kutokana na quality mbovu ya maisha na matarajio yasio na tija. Vijana wamechoka kula ugali mkubwa na samaki wa picha. Kama uongo kuna mtu ataandika tu comment ya matusi out of...
  12. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Ukweli juu ya fikra duni za maisha, kunyanyaswa kwa watu na kujipa moyo ''wapambanaji'' ni uzwazwa

    Habari wanaJF . Niende moja kwa moja kwenye mada kuu . katika kile kinachoendelea hasa huko south , ukweli ni kwamba lazima mkubali nyie ni wakimbizi , kuujua ukweli ni kupona: kwa nn ulazimishe kuishi kwa watu na wenyewe hawakutaki? Kumekuwa na kasumba kwamba eti ni ''wapambanaji '' ukweli ni...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maisha yako ni kama Fremu… Finishing unafanya mwenyewe

    Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na "nyumba" na kuwa na "makazi". Maisha ya mwanadamu yanapoanza, tunapewa fremu (frame). Hii fremu ni msingi—pengine ni kule ulikozaliwa, jina ulilopewa, au elimu ya awali uliyopata. Lakini uzuri wa hiyo nyumba, nakshi zake, na thamani yake ya ndani inategemea...
  14. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwani South Africa kuna maisha mazuri?

    Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana? Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira? Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
  15. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Ukiwa chanya Katika maisha yako Mungu anaondoa watu hasi kwenye maisha yako

    UKIWA CHANYA MUNGU ANAKUONDOLEA WATU HASI KWENYE MAISHA YAKO Anza kubadilisha maisha yako, kuwa mtu chanya, Mtu chanya ni mtu ambaye anaishi maisha yenye kuona mambo kwa uzuri. Mtu chanya ni mtu anayependa mafanikio ya wengine, ni mtu ambaye atoi maneno ya kukatisha tamaa wengine, ashiriki...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

    Huku labda uwe unakula mihogo tu. Chips kavu 2,500/= hapa nimeagiza Chips yai sijui itakuja bei gani? Hafu sehemu local tu wala sio ushuani. Hii sumu 1,200/= Hapo Shoppers 850/= Huku ila mafuta bei ile ile kama mjini.
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Elfu 5 ni hela kubwa sana kwa maisha ya Mtanzania. Kwanini Bank zinaidharau, na kima cha chini kutoa ATM kiwe Elfu 10?

    Kuna kazi viwandani malipo ni Elfu 5 kwa siku. Na hiyo Elfu 5 mtu anaweza fanya shopping kubwa na kula ata siku 2. Sasa mtu unaenda ATM una balance ya 48,000/= unatakiwa utoe Elfu 40 na kuicha Elfu 8 waibutue butue ndani ya week. Sio fair kabisa
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mnaopanga kuandamana tena nawaombeni mtumie akili, mnaenda kudili vipi na risasi zitazowapotezea maisha na ulemavu wa maisha?

    Mnaendelea kuchora mabango ya kuandamana, mnaposti kwenye mitandao ya kijamii, mnapanga kukusanyika na kuingia barabarani kwa matumaini ya kusikika. Lakini jiulizeni kwa kina je, mmejiandaa kukabiliana na hali halisi inayoweza kujitokeza? Mnapofika barabarani, mambo hubadilika. Mnafyatuliwa...
  19. an alpha male

    JamiiForums Tanzania Our lives were meant to be this way.

    Hivi ushawahi kujiuliza kuhusu huu mfumo wa kwamba....Kwanza tunahitaji pesa ili kwenda chuo...kisha tunahitaji chuo ili kupata kazi.....kisha tuna hitaji kazi kwaajili ya kupata pesa. Pesa → Chuo → Kazi → Pesa halafu unarudia tena. Kama panya kwenye gurudumu. Unaenda mbio, lakini hubadiliki...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchumi wa "Mr" umeyumba, nalea familia mwenyewe, maisha ni magumu sana, natamani kujiua

    Nina matatizo makubwa sana, umri wangu ni miaka 30, nimeolewa lakini sijabahatika kupata mtoto, kwani nikiwa Kidato cha 4 nilifanyiwa oparesheni ya uvimbe, niliporeje home mama akaniambia huku akilia kuwa daktari kasema siwezi kupata ujauzito kwa njia ya kawaida kwani ule mrija wa kupitisha...
Back
Top Bottom