maisha

  1. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Siri ya watu wenye high frequency(aura) na maajabu yake katika maisha

    High frequency(aura) ni energy au uwezo ambao mtu anakuwa nao kutoka kwa Mungu( God) au presence of God within. Kwa nini watu hawa wana high frequency ni sababu ya pure heart(upendo) sehemu yoyote yenye upendo uwa ina high frequency au aura, Mungu ili uwepo ndani yako lazima moyo wako uwe na...
  2. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Siri ya kuactivate roho wa bwana(holy spirit) na kufanikiwa katika Maisha yako

    Roho wa bwana(holy spirit) nini ni roho ambayo anaisha ndani ya Mwanadamu(Man). Kila binadamu ana roho wa bwana ndani yake, katika kitabu cha Mwanzo katika bibilia kinasema Mungu aliumba Mtu kwa mfano wake maana yake kila binadamu anakuwa na roho wa bwana ndani yake. Je nifanye nini hili roho...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Huyo mwenza wako wa maisha anasemaje kuhusu vita vya US-Israel-Iran na siasa za kimataifa kwa ujumla?

    Asali wako wa moyo ana maoni gani kwa kinachoendelea? Anaweza chambua kisomi haya mambo ya kimataifa na uchumi kwa ujumla au mapenzi hayaangalii usomi?
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari wa Hifadhi ya Taifa, Nyerere tuna UGUMU WA MAISHA na tunadai posho

    Habari; Mimi ni askari wa hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ninayefanya kazi katika hifadhi ya Taifa Nyerere. Kwa kipindi kilefu askari wa hifadhi tumekuwa tukipitia ugumu wa maisha kutokana na kadhaa kama ifuatavyo I) kutokulipwa staiki zetu Kwa Wakati, lakin pia Malipo ya staiki mbali...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jana nimeangalia marudio ya hotuba ya Trump katika bunge la US. Nimegundua uongozi ni karama, uongozi ni zali kwa wengi ila kuongoza ni born-gift

    Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations. Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya. Mwamba amesimama muda wote...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mzungu yupo mbele ya muda, maisha aliyoishi tutayakuta mbeleni, suala la watoto na wajukuu zetu kuoa single mothers halikwepeki

    Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
  7. KENZY

    JamiiForums Tanzania Maisha ya binadamu na dhana ya Uongo!

    Dhana ya Uongo imekuwa ni maisha yetu ya kila siku japo si jambo linalojadiliwa kwa upana sana ila athari zake zipo kila sekunde!. Katika jamii nyingi uongo si jambo linalopendwa na vyombo vya sheria humtia hatiani mtu yoyote atakaebainika kusema uongo!, Hata hivyo ukiuzungumzia uongo basi upo...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania WAMAMA PUNGUZEN HIZI KAULI KWENYE NDOA ZENU WANAUME WENGI WAMEPINDA NA MAISHA SIKUHIZI USIONE ANACHEKA NYUMBAN

    WAMAMA PUNGUZENI KAULI HIZI KWA WAUME ZENU 🙏 Kila mzazi ana haki ya kumlea mtoto wake. Malezi si jukumu la mama peke yake wala baba peke yake… ni ushirikiano 🤝 Lakini kuna kauli ambazo zinaumiza, zinadhoofisha mamlaka ya baba, na zina changanya watoto😔 Epuka kauli hizi mbele ya watoto👇...
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Soma kwa Bidii, Maliza shule maisha yakuchanganye: Ukweli Ambao Wengi Hawakuusema Wazi

    Shule inakupa maelezo. Maisha yanakupa ufahamu. Ukichagua kimoja tu, utaishia kuchanganyikiwa. Kwa Nini Hili Ni Muhimu Wengi wetu tulifundishwa kufanya jambo moja tu: kuwa mtoto mwema kufuata sheria kupata alama nzuri kubaki salama kusubiri “baadaye” Halafu “baadaye” ilipofika, ilionekana...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maisha hayana formula: Nani ajuaye kesho yake?

    Pichani ni Dorothy Muoma aliyekuwa mwanasheria mashuhuri nchini Kenya ambaye aliwahi kuhudumu kama Hakimu katika Mahakama ya Kitale. Katika kilele cha taaluma yake, alijulikana kwa mamlaka yake makubwa, utajiri, na maisha ya kifahari. Hata hivyo, maisha yake yalibadilika ghafla baada ya...
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya AI Inayobadilisha Maisha na Kazi Mtandaoni: Mwongozo Kamili Kuhusu ChatGPT

    Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa unaosaidia mabadiliko haya ni ChatGPT. Kwa lugha rahisi kabisa, ChatGPT ni programu ya AI (Akili Bandia)...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa Oksijeni waokoa maisha ya Wananchi Lushoto

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ameshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuokoa maisha yake na wananchi wa Lushoto kwa kutoa fedha zilizowezesha kupatikana kwa mtambo wa kuzalisha hewa tiba ya oksijeni katika Hospitali...
  13. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini serikali haijaongeza scale za mshahara kama kima cha chini ni 500k . Kwanini shahada asianze na mshahara wa 1M angalau maisha yamepanda.

    Tupunguze mabajeti ya v8 huko na vitu vya hovyo. Degree mwalimu aanze na 700k mwaka 2016 hadi leo anaanza na 700k ????
  14. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?

    Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?
  15. hamis77

    JamiiForums Tanzania “NIFUATE” – Ndoto Iliyobadili Maisha ya Mwanamke Kutoka Iran

    Hivi karibuni, wanawake watatu waliokuwa Waislamu walishiriki ushuhuda wao wa kipekee kupitia jukwaa la “I Found the Truth”, wakieleza jinsi walivyodai kukutana na Jesus Christ katika ndoto na maono ya kiroho. Ushuhuda wao unaeleza jinsi wanavyoamini kuwa Yesu anajifunua kwa Waislamu wengi...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Natamani maisha ya upole

    Najua na natambua jinsi mambo haya yalivyo tayari. Nilishajiandaa kitambo Sihitaji changamoto zaidi.. Eeh mola wangu nisaidie🙏🏿 Nipe jioni laini, tamu kama chokoleti. Nipe usiku tulivu na usingizi mnono kama wa mtoto Nipe ndoto nzuri ili usiku wangu uonekane umevaliwa kama pamba ama sufi...
  17. Red black

    JamiiForums Tanzania Starehe ya dakika 5 isikufanye ujutie maisha yako yote

    Baada ya ejaculation ndio akili zitakurudia na kuanza kujutia. Vijana kabla ya kufanya ngono chekini afya zenu kama ziko sawa au tumieni protective device.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda speed sana, Leo hii Simba ni wa kuvimba na kujisifu kwa kuinyanyasa timu inayoshika mkia ligi kuu ?

    Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya. Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China warejesha tabasamu na matumaini kwa kijana wa Zanzibar kupitia upasuaji uliobadilisha maisha yake

    Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hatufanikiwi sababu ya serikali zetu au Kuna namna maisha ya kizungu yametuathiri?

    Maisha ya kwenye runinga ni gharama kubwa sana Kuna picha nzuri ya Teknolojia,majengo,Magari na hali safi ya mazingira Kuna picha ya uhuru wa vyama na Ibada. Unadhifu huu unalinganishwa maendeleo ya nchi zetu ambazo kiuhalisia ni changa,kiuhalisia zimejengwa katika mitazamo mingi,Imani na...
Back
Top Bottom