maisha

  1. JamiiForums Tanzania Maisha mazuri hayaji Kwa bahati ni mipango na nidhamu

    Khaaah!! Yaani umekaa zako unadhani mafanikio ya watu ni bahati,siyo kweli. Ni kwamba bahati humkuta aliye tayari kwenye circle na angle sahihi. MAISHA siyo nadharia eti ujifunze mbinu za kutafuta pesa Kwa kusoma kitabu ulichonunua mtaani Kwa buku kumi.yaani mtu apoteze mamilioni ya Ada...
  2. JamiiForums Tanzania Mtindo wa maisha, na makosa madogo madogo tunayofanya

    Habari jamiiforum. Hii ni Kwa watu wazima 40+ Mambo meengi tunafanya ila kuna makosa yanajitokeza bila kujua,tunajiaibisha bila kujua. Mbaya zaidi tunaona ni kawaida. Na ni ngumu mtu kukwambia ukweli 1.Vitu tunavyopost kwenye social network. Kuna watu wanaweka status huko WhatsApp...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha bila watoto wala ndoa

    Naomba kujua kwa walioamua kuishi bila bila kuoa/kuolewa maisha yao yote na bila kuwa na watoto kabisa(sio kwasababu hana uwezo wa kuzaa). Ni mambo gani yaliwasaidia kuishi hiyo lifestyle? Umelala kwa muda gani na attention yako umehamishia wapi zaidi tofauti na ndoa/Watoto?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Huku gharama za maisha zikizidi kupanda, serikali haramu yaipa serengeti boys Tsh Milioni 500.

    Kuna vitu vinasikitisha sana. Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu. Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtwara: MTUWASA wanahujumu Maisha na Afya za watu wa Shangani

    Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili. Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa. Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Hali hii, nchi itafakari kuhusu Maisha ya Raia Wake

    Juzi nilienda hospital moja ya serikali. Baada ya mlolongo mrefu wa huduma za hapa na pale, hatimae nikaelekezwa ilipo duka la dawa la hospital nkaenda kununua hapo. Nikiwa hapo katika foleni ya kununua dawa Kuna wagonjwa waliokuwa mbele yangu na wengine pembeni yangu ambao walishindwa kumudu...
  7. JamiiForums Tanzania Juma na Ali Safari Mbili za Maisha

    Maisha ni kama hadithi Pindi tu unapozaliwa, ukurasa mpya wa hadithi hufunguliwa Unajikuta kwenye dunia ukiwa mgeni kabisa, na jambo la ajabu zaidi ni kwamba hujui ulipotoka Ukiachana na simulizi za Biblia na Qur’an, bado huna uhakika mkubwa kuhusu safari yako ya kuja hapa duniani wewe ni...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kufukuzwa kazi

    Kama kuna watu wameshawahi kupitia kipindi cha kufukuzwa kazi , hivi maisha mliyasongesha kwa Namna gani baada ya kufukuzwa? Life kitaa siyo poa mliwezaje kutoboa kwenye msimu huo hadi mlipopata kazi nyingine au kuendelea na mishemishe kitaa?
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya uuzaji dhahabu feki inavyochangia wanafunzi wengi kuacha masomo na kupoteza maisha katika umri mdogo hapa Bunda na hasa eneo la uswahilin

    Nakumbushia tu siyo kwa ubaya.Niliwahi kutoa maandiko zaidi ya manne nikionyesha jinsi biashara ya uuzaji dhahabu feki ilivyoathiri maendeleo ya wanafunzi mashuleni na kujikuta wamelowea kwenye biashara hiyo na kuacha masomo.Matokeo yake wengi wamepata vilema kwa vipigo,na baadhi kupoteza...
  10. JamiiForums Tanzania Katambi: Tuwatie moyo askari, tusiwatweze na kuwaumiza wamejitoa maisha yao

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema kuwa amani iliyopo nchini kwa kiasi kikubwa imechangiwa na kazi kubwa inayofanywa na majeshi ya ulinzi na usalama, huku akitoa wito kwa wananchi kutotoa kauli mbaya na kutowatweza askari na badala yake wawatie moyo kwani wamejitolea...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pasi ya maji hulinda nguo zako na kuzitoa smart kuliko pasi kavu, pasi za maji sio mbovu, zitumie kwa namna hii na hutafikiria tena kutumia pasi kavu

    Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Mfano wa mwanaume wa kuigwa katika maisha ya kila siku

    Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL. Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL. Picha Mpya ya Mwanaume Tundu Antiphas Mughwai Lissu💪
  13. JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana natamani mtu anipe muongozo wa maisha kwa kifupi ili nifanikiwe..ntamshukuru sana.

    Iwe kazi Biashara Ajira Mahusiano na ndoa Yani naomba ushauri wowote ili niweze kufanikiwa Ahsante
  14. JamiiForums Tanzania Je, kuogelea ni sport tu… au ni skill ya maisha inayoweza kuokoa maisha?

    🏊‍♂️🌊 JE, KUOGELEA NI SPORT TU… AU NI SKILL YA MAISHA INAYOWEZA KUOKOA MAISHA? 🤯🔥 Watu wengi hupenda kuogelea kwa ajili ya burudani, fitness, au relaxation. Lakini ukweli ni kwamba kuogelea ni moja ya skills muhimu zaidi ambazo binadamu anaweza kujifunza. Mbali na afya ya mwili, kuogelea...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha yanavyoweza kukufanya uishi mazingira usiyopenda

    Hamjambo wanabodi. Moja ya vitu vinampa mtu Amani na utulivu ni kufurahia mazingira ,iwe kazini,hotelini,mgahawani inshort kila unachofanya ni vizuri sana ukikifurahia. Lakini suala la ugumu maisha linaweza kukufanya ukawa mwenye msongo wa Mawazo muda wote kwasababu ya kubadilisha mazingira...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Wilaya ya Chemba (Afya) tuna mwaka hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu

    Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
  17. JamiiForums Tanzania The Elite Betrayal: Jinsi Viongozi Wanavyocheza Kamari na Maisha ya Mtanzania

    Kiintelojia, nchi inapitia mdororo mkubwa wa kiuchumi, lakini hawa viongozi wamebaki kuleta mzaha na sarakasi za kisiasa. These f*cking niggas are out here clowning while the trenches are burning. Hata kama mliingia madarakani kwa mchongo wa kujiteua wenyewe, basic decency ingewasukuma kudeal...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa mazito Tanzania, lakini wananchi hawatakiwi kufanywa wajinga

    Kila siku bei zinapanda. Mafuta yakipanda, nauli inapanda. Nauli ikipanda, chakula kinapanda. Chakula kikipanda, maisha yote yanakuwa magumu. Halafu ukiuliza sababu unaambiwa “kuna vita ya Iran na Israel.” Sawa, vita vinaweza kuathiri mafuta duniani, hilo kila mtu analijua. Lakini swali la...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi kwa furaha na mkeo/mumeo Siku zote za maisha yenu.

    JINSI YA KUISHI KWA FURAHA NA MKEO/MMEO SIKU ZOTE ZA MAISHA YENU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba/Mume. 1. Nitaendelea kutoa elimu. Sipo hapa kumbadilisha mtu anayeishi maisha anayoyahitaji. 2. Nipo hapa kwa ajili ya wenye uhitaji wa kuishi maisha ya furaha, kuishi kwa amani wao na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhaba wa Ventilator: Maisha Yapo Hatarini Hospitalini, hata katika hospitali kubwa ni changamoto

    Asante. Mimi binafsi sijui hii niite kero, kitendawili au hata dudumizi ndani ya sekta ya afya nchini. Ninaandika hili si kama hadithi ya kusikia, bali kama jambo nililolipitia mwenyewe. Naamini kama mtafanyia uchunguzi wa kina, linaweza kuwa makala inayoweza kusaidia kuokoa maisha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…