maisha

  1. matunduizi

    Pesa uliyopata kwa jasho lako kwa mara ya kwanza uliipata ukiwa katika steji ipi ya maisha?

    Leo nimemkumbuka anko wangu aliyefariki kabla sijqanza hata vidudu lqkini nilikiwa najitambua. Uncle akiwa darasa la tano, alikuwa amejijengea chumba chake cha kulala hapo nyumbani. Alikuwa na marafiki hadi wazungu alipokuwa form 1. Alikuwa anafuga kuku, bata na na anapiga pesa huku shuleni...
  2. K

    Niende nchi gani nje ya Afrika kutafuta maisha na kutoboa kirahisi?

    Igweeee Waswahili husema bongo bahati mbaya,, hatimaye zamu yangu kwenda ng'ambo imekaribia Ni hivi nimekuwa na ndogo hii kwa muda mrefu baada ya kuimaliza elimu ya chuo bongo na kusota bila ajira na hivyo akili yangu yote ikawaza kuhama hii nchi kwenda kutafuta maisha nchi yoyote tofauti na...
  3. Judah Tribe

    Maisha yenye Pesa katika Jimbo la Limpopo (Polokwane) Pietersburg

    Karibu SANA Jimboni limpopo katika municipal ya polokwane (pietersburg) ni mji mzuri sana watu wengi wanafanya matendo ya kumpendeza Yesu yani matendo matakatifu kama lilivyo Jina lake polokwane (sanctuary) utakatifu Wengi watajiuliza limpopo ni nini? Limpopo ni jimbo lililo magharibi mwa south...
  4. R

    Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

    Kuna wanaume waliioa wanawake wanaofanya kazi/walioajiriwa kwa lengo la kurahisisha maisha. Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
  5. ERTUGRUL BEY

    Saikoloji ya Maisha ambayo unatakiwa Uielewe

    Ni siku nyingine tena tupitie mambo ambayo hutufanya tujifunze namna ya kuishi na kuwa bora zaidi Fahamu kwamba kama watu hawa kupendi basi jua unafanya mambo yako kwa usahihi,si unajua kuna ile mambo ya shule unasoma sana na kujituma utaambiwa "huyu nae anasomea kijiji" au unafanya kazi zako...
  6. Q

    Ama kwa hakika maisha hayana maana kabisa

    Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster. Mwamba akalala mazima. Ooh...
  7. Calis10

    Kati ya Mbeya na Mwanza, wapi patanifaa kwenda kuanza maisha?

    Wakuu Habari ya uzima, Twende moja kwa moja kwenye mada, Kati ya hayo majiji mawili ni jiji lipi linaweza kunifaa kijana Mimi ninae taka kuanza maisha? Nataka kujikita kwenye shughuli za ufundi kwani ninaujuzi wa utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote na pia nina vifaa vyote...
  8. Megalodon

    Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

    Unaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media. they believe everything from the social media without critical analysis, cha ajabu hata vyombo vya habari now days vimekuwa useless, wapo busy na nani...
  9. Magical power

    Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba.

    Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba Eee Mungu wetu, tutendee wema wako katika hatua zetu za maisha. Usitunyime tuombapo kwako, uzisikilize kwa wema sala na haja zetu. Baraka na neema zako ziwe pamoja nasi Bwana...
  10. Lupweko

    Tusiwekeze sana maisha yetu kwenye ushabiki wa soka, tuzikumbuke familia zetu

    Wachezaji, makocha, mameneja, maafisa habari na waajiriwa wengine pamoja na maafisa ubashiri wao wana kila sababu ya kuwekeza huko maana wanaingiza moja kwa moja kipato chao kupitia soka. Mashabiki siku zote huwa ndio watoaji; wanatoa fedha kwa ajili ya kiingilio, wanatoa muda wao, wanatoa...
  11. Pendaelli

    Huwenda ikawa mwanadamu hapaswi kuwa na furaha ya maisha moja kwa moja

    Kupitia andiko hili kwenye Biblia, mfano alioutoa Yesu dhidi ya tajiri mkulima aliye fikia kilele cha mafanikio ilimchukiza Mungu na kuamua kumuua. Nimetafakari namna tunavyo ishi sisi wanadamu na utafutaji wetu usiofikia kikomo, leo mtu anaweza kuwa na hatua fulani kwenye maisha yake ambayo...
  12. Brain Kingdom

    Bora Kuwa Single Maisha Yangu Yote kuliko kuwa na Mwanamke Ambaye Yuko na Mimi Kinafiki na Hanipendi

    Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke. Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto. Wanawake wengi...
  13. Rorscharch

    "Yanga ICU: Tafakari Jinsi Burudani Inavyotufumba Macho kwa Changamoto Halisi za Maisha"

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
  14. Magical power

    Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea.

    Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye anatafuta. Wewe unalalamika halafu unajilinganisha na wale rafiki zako ambao kila siku wanakula...
  15. Magical power

    Tujikumbushe tulipopitia, haya unakumbuka nini?

    TUKUMBUKANE TULIOPITIA MAISHA HAYA UNAKUMBUKA NINI?
  16. G

    Nataka nimsaidie kisiri rafiki mlinzi shilingi milioni 1.2 kwa mategemeo ataacha ulinzi anaolalamka unamtesa ili afanye biashara. Je, nitarajie hilo?

    nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12 Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1...
  17. Mr Beach Boy

    Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

    Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika) Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi. Akasema kama una...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Wadogo zangu: Kamwe usijitese kwaajili ya Mwanamke. Wôte mchangie Ñguvu kuyaendesha Maisha Yenu. Hataki piga chini.

    WADOGO ZANGU: KAMWE USIJITESE KWAAJILI YA MWANAMKE. WÔTE MCHANGIE ÑGUVU KUYAENDESHA MAISHA YENU. HATAKI PIGA CHINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usiwe Mpumbavu. Usiwe mbumbumbu! Usiwe Lofa! Tumia Akili yako Vizuri mdogo wàngu Kamwe usijitese Kisa Mwanamke. Usiwe Yale majinga àmbayo ni...
  19. H

    Usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbrle mwenyewe

    Ukweli ni kwamba mwanamke unae-date naye kuna uwezekano mkubwa kajiweka tu kwako kwa sababu anahitaji pesa. Ni masikini, hana kazi(kama anayo kipato chake akitoshelezi lifestyle anayoitamani) na kwa sasa wewe ndie jibu la tatizo lake Atakapojipata ndio utajua ujui. Atakulaumu, atahoji hayo...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    Hello! Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam. Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi. Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
Back
Top Bottom