maisha

  1. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Milango 7 ya Baraka kwenye Maisha ya Mwanadamu

    Kila Mwanadamu ili afanikiwe kwenye ulimwengu wa kimwili (Unaoonekana) anahitaji apate Baraka kutoka ulimwengu wa kiroho (Usioonekana) na Baraka hizo zinaweza kupitia Milango maalumu inayotambulika kama Milango ya Baraka, ipo takribani Saba kama ifuatavyo: 1) Mlango Mawazo/Fikra Kupitia lango...
  2. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuangamiza/kuharibu Maisha Yako kwa Hatua 15 Rahisi

    Kama unavyoweza kudhani, kuharibu maisha yako ni rahisi sana. Hii inaweza kufanyika kwa kufuata hatua 15 rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya. Hatua ya 1: Fanya Kilicho Rahisi Kila wakati Chagua kufanya vitu rahisi. Acha mambo magumu kwa baadaye. Kwa kuwa kila wakati ni "sasa," utaepuka...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuwatumia watu wa aina zote

    in this life everyone has something to offer. Katika haya maisha kila MTU anacho cha kutoa ambacho kinaweza kubadilisha maisha ya MTU mwingine. Mfano mateja , - hawa sasa hivi wanaokota chupa na kwenda kuuza Ikiwa utawatumia waweza kuwa na eneo la kununua chupa na ukapata hela . Walevi -...
  4. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Muda huu upo kazini kuna mtu amekaa anapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi!

    Huwezi kuamini muda huu upo kazini kuna mtu mzima kabisa na meno 32 limekaa linapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi. Afrika ukiwa ni lijinga lisiloheshimu kipato chako, unapata marafiki wengi sana lakini ukiamua kuwa na nidhamu kwa kila senti yako, wanasema ni...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Coober Pedy na Somo kwa Vijana wa Kitanzania: Fursa Katika Changamoto za Maisha

    Katika jangwa la kaskazini mwa Australia Kusini, kuna mji mdogo maarufu ulimwenguni kwa uzalishaji wa vito vya opal unaojulikana kama Coober Pedy. Zaidi ya asilimia 70 ya opal zinazoteumiwa duniani hutoka katika mji huu, ambao ulianzishwa mwaka 1915 baada ya wachimbaji kugundua vito hivyo vya...
  6. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuishi maisha mafupi

    Ufeki Ufeki Kufeki Vyafeki Nyumbani unakuta una li sabufa feki linakupiga kelele na kutokujua unaweka msauti mkubwa kukomoa majirani kumbe unajimaliza mwenyewe. TV feki linakumulikia mwanga mbofu unaua macho, unaua viungo vya mwili kimoja baada ya kingine, kwani maisha yako usiyafupishe. Una...
  7. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Toka Mchamba Wima hadi Iran, nahitaji kwenda kutafuta maisha

    Vijana wengi hapa Mchamba Wima wamekimbilia Marekani, Canada na UK kutafuta maisha. Mimi naona wamepotea. Mimi nataka kwenda Iran au Saudi Arabia naamini Waarabu na Waajemi watanipokea na kunipa mke nioe ili niweze kupewa ukaazi wa kudumu. Ikiwa wale walioenda marekani, canada na uk wameoa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  9. amoc thedon

    JamiiForums Tanzania Mkoa nitakaoweza kutoboa kimaisha kirahisi kati ya Dar na Mwanza nikiwa na mshahara wa laki 5 na point

    Ndugu zangu Mimi ni mtumishi wa umma, mshahara wangu ni kati ya laki 5 mpaka 6 kwa mwezi nikiondoa makato na Kodi Hivi Sasa naishi kwenye mkoa wa kawaida kutokana na location ya ajira , hivyo kutokana na ugumu wa maisha minaokumbana nao hapa ikiwa ni pamoja na kukosa kitu cha ziada cha kuongeza...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa huyu askari wakati wa uchaguzi jana kitampunguzia ari ya kipolisi maisha yake yote

    Ni katika kituo cha kupigia kura Mivumoni madale Majira ya asubuhi vituo vinafunguliwa! Polisi wanawathili kwa ajili kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao (kura zao) Masanduku ya kura yakaandaliwa na kupangwa kwa ajili ya upigaji kura! Wasimamizi wa uchaguzi (walimu ) wakiwa...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maisha ni vile wewe umeamua kuishi. Ukisema kuanzia sasa sitavaa nguo ya mtumba mpaka kifo chako itakuwa hivyo

    Jamaa mmoja aliapa kuwa hatakula chakula cha mama nitilie. Alikuwa mfanyakazi mwenye mshahara wa kawaida sana. Lakini aliweza kula hotelini kipindi chote alipokuwa kazini mpaka alipostaafu kwa hiyari 2017. Ukijiapiza kuwa kuanzia leo sitatoa sadaka chini ya sh .elfu 10 ndio utaishi hivyo na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi umekwisha maisha yaendelee

    Uchaguzi umeisha leo, walioshinda na walioshindwa wote watanzania, cha msingi wananchi wanataka huduma na sio bora huduma, mnaopanga kufanya vurugu mnajitafutia kifo na jela tu
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tumuombee dua Prof. Janabi aishi maisha marefu, kinyume chake mafundisho yake yatapuuzwa, Taifa litaangamia kwa vitambi

    Mimi binafsi Sijawahi kuelewa mafundisho ya Prof Janabi,ni kama hataki tufe au hataki tufurahie maisha. Yaani mtu eti Marufuku kula milo mitatu mara usile nyama nyekundu,juice,chaoati nk Sasa ili mafundisho yake yakubalike tumuombee kwa Mungu atoboe miaka 90+ kinyume chake mimi na vichwa ngumu...
  14. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa maisha

    Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa Maisha. Imefikia hatua mpaka wanaume anapotaka kumsaidia mtu anambiwa unamapaje mtu hela hiyo mimi nadaiwa kikoba Mtu anayecheza michezo sawa na mtu anabet kila pesa huiwazia kamari tu akaizalishe😀🙌🏿...
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Fomula Zinazouendesha Ulimwengu: Uchambuzi wa Msingi wa Fomula 17 Zilizobadilisha Maisha Yetu

    Katika maisha yetu ya kila siku, fomula zimekuwa sehemu ya msingi wa maarifa, ingawa mara nyingi hatuzitambui. Kutoka kwenye miundo ya majengo tunayoishi hadi teknolojia tunayoshikilia mkononi, fomula zimefungua milango ya uvumbuzi wa sayansi, teknolojia, na hata maisha yetu ya kawaida. Lakini...
  16. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌

    Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea... Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌
  17. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwapambania wanasiasa, polisi maisha yao ni duni sana tatizo nini?

    Moja kati ya silaha kubwa sana ya wanasiasa kuwabakiza madaraka pale mambo yao yanapoenda kombo basi huwa ni jeshi la polisi. Polisi ukiondoa yale mavazi yao na wao ni wananchi wa kawaida tu, hali ya maisha ni sawa tu na sisi raia wa kawaida. Ugumu wa maisha tuliyonayo wananchi na wao pia...
  19. Tman900

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wekeza katika maisha yako, usiwekeze katika mapenzi

    Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine. Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja. Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini Kuja mjini, walianza na Duka Moja, msingi ukakua na wakapata maduka Matatu, baada ya mda mshikaji...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Haya maisha mazuri sana

    Wale wakiofika pale page Znz beach Kuna hotels kadhaa Kuna moja tulienda tulipofika nkajilinda kwanza bia sh ngapi akasema 8000 mnakaa kwenye kagorofa flan Na chini pia kuna sehemu ya kukaa ukiangakia dinian na uumbaji wa Mungu kwa kila dunia waarabu waafrika kwa wazungu Wakati naingia...
Back
Top Bottom