maisha

  1. Magical power

    Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌

    Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea... Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌
  2. X

    Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  3. Expensive life

    Licha ya kuwapambania wanasiasa, polisi maisha yao ni duni sana tatizo nini?

    Moja kati ya silaha kubwa sana ya wanasiasa kuwabakiza madaraka pale mambo yao yanapoenda kombo basi huwa ni jeshi la polisi. Polisi ukiondoa yale mavazi yao na wao ni wananchi wa kawaida tu, hali ya maisha ni sawa tu na sisi raia wa kawaida. Ugumu wa maisha tuliyonayo wananchi na wao pia...
  4. Tman900

    Wekeza katika maisha yako, usiwekeze katika mapenzi

    Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine. Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja. Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini Kuja mjini, walianza na Duka Moja, msingi ukakua na wakapata maduka Matatu, baada ya mda mshikaji...
  5. Pdidy

    Haya maisha mazuri sana

    Wale wakiofika pale page Znz beach Kuna hotels kadhaa Kuna moja tulienda tulipofika nkajilinda kwanza bia sh ngapi akasema 8000 mnakaa kwenye kagorofa flan Na chini pia kuna sehemu ya kukaa ukiangakia dinian na uumbaji wa Mungu kwa kila dunia waarabu waafrika kwa wazungu Wakati naingia...
  6. O

    Gharama za maisha: Kati ya Dar es Salaam na Dodoma wapi rahisi kutoboa

    Nimeleta huu uzi ili tupate kidogo maarifa na tunaweza kusaidiana kimawazo Mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa huko ila nimebahatika kusoma chuo Dar moja ya chuo maarufu mjini Dar n hata baada ya kutoka chuo nikaamua kubaki Dar sasa kuna ndugu yangu mmoja akanipa mchongo wa kuja Dodoma nimekuja...
  7. Wakusolve

    Maisha bila ya kuingia JF

    Uzi huu ni kwa wale ambao hatujawahi pigwa ban toka tujiunge na JF tukutane hapa.
  8. Magical power

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
  9. Z

    Nataka kuanza Maisha maeneo ya Sinza

    Wakuu habari By December nataka kuanza maisha Sinza au maeneo jirani na stand ya Mawasiliano ( sijui nayo hii kama ni Sinza). Nisiwachoshe sana, niende moja kwa moja kwenye point ya msingi. Ninahitaji kupata gheto maeneo ya Sinza zifuatazo 1. Sinza Kivulini 2. Lufungila hadi kwa mama ngoma 3...
  10. Brain Kingdom

    Maisha ya Tundu Lissu Kisiasa ni Kuunda Chama Chake cha Siasa. Napendekeza Jina: United Front for Democracy (UFD)

    Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, ipo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema. Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
  11. Bonge La Afya

    Mtaa Ndio Unaokupa Hatima ya maisha yako

    Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora yatakayoundwa na vyeti vyao. Hata hivyo, hatua ya kutoka darasani na kuingia mtaani huleta ukweli...
  12. Akilindogosana

    Prof Tibaijuka alia ujenzi kiholela umegharimu maisha ya watu kariakoo

    https://youtu.be/gm6k0gc9PW4?si=StdiqWV7Dj1gTll5 =================== Naomba uongozi wa Jamiiforums Active mmfanyie mahojiano ya kina Prof Tibaijuka Pia mngemfanyia Mahojioano Mhandisi mzoefu wa Ujenzi wa Maghorofa marefu. Pia mngemfanyia Mahojioano Mtaalam wa Mipango miji...
  13. dogman360

    Asilimia kubwa ya maisha yetu hapa bongo tunayaishi tukitegemea bahati tu(luck) itokee

    Maana mpaka saivi sijaona kiashiria cha uhakika kwamba .maisha yetu siyo ya kibahati bahati tu . Hamna kitu ambacho tuna uhakika nacho ( kuna vitu wanasemaga uhakika ila na vyenyewe ni bahati tu*
  14. Yoda

    Kuanguka ghorofa Kariakoo; Kuridhika au kutoguswa na upuuzi unaohatarisha maisha yako ni kushiriki kujimaliza mwenyewe.

    Kwenye huo mkasa wa kuanguka kwa ghorofa Kariakoo kuna mengi yanasemwa ila linalozungumzwa zaidi ni hili la ghorofa kuchimbwa katika msingi kujenga underground. Kama ni kweli watu walikuwa wanachimba hilo ghorofa kwenda chini ila kutengeneza huo upuuzi unaitwa underground/basement halafu...
  15. Yoda

    Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

    Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
  16. Komeo Lachuma

    Chalamila na Janabi acheni kutafuta Kick kwenye Maisha ya watu

    Hapa Kariakoo jengo limeanguka. Hakuna vitendea kazi Chalamila na Janabi wamefika kupiga stories. Muda mrefu linahitajika greda kuja saidia kuinua nguzo nzito. Vifaa vya kuekolea hamna. Anakuja Mkuu wa Mkoa na Dr. Janabi eti kuokoa? Wanaokoa nini kama si kutafuta kick na attention kwa watu...
  17. ESCORT 1

    Kwa takwimu hizi, Ramovic hana maisha marefu Yanga

    TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY. . 🏟 — 76 Mechi ✅ — 27 Ushindi 🤝 — 22 Sare ❎ — 27 Vipigo ⚽ — 82 Magoli ya kufunga 🥅 — 68 Magoli ya kufungwa 🚫 — 31 Clean Sheet OFFICIAL: Yanga SC 🇹🇿 imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa...
  18. ELI COHEN

    "Uswahili-Uswahili" ndio umeshakuwa msingi wa maisha ya Mtanzania na kibaya zaidi hata katika issue zinazohitaji professionalism

  19. L

    Mtaalamu wa Kenya asema biashara na China imeboresha maisha ya Waafrika

    Biashara inayokua kati ya nchi za Afrika na China katika miaka 15 iliyopita imetumika kama kichocheo cha ajira na kuinua kiwango cha maisha katika bara la Afrika. Katika mahojiano na Shirika la Habari la China Xinhua, Profesa Xn iraki wa Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya amesisitiza nafasi...
  20. B

    Kuna mahusiano gani kati ya kiwango cha elimu na kiwango cha mafanikio kwenye maisha? Mafanikio ni nini?

    Sasa nianze kwa kutanguliza Hongera kwa wote ambao hamkukwepa umande lakini poleni ambao mlikwepa umande kwasababu zenye mashiko kama Ada, magonjwa na kufiwa na Wategemezi hali iliyopelekea kuanza kutafuta hela mapema. Lakini ifike mahala wasiosoma mtuheshimu ambao hatukukwepa umande...
Back
Top Bottom