Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 536
- 825
Miaka 6 iliyopita nilikuja DSM kutafuta maisha kutoka mkoa fulani nikiwa na elimu ya form 4 tu, basi nikawa napiga mishemishe huku najisomesha nakaa kwa washikaji tu. Hatimae naliaga jiji la Dsm nikiwa mtumishi wa government. Usijikatie tamaa Mungu yupo