maisha

  1. JamiiForums Tanzania Filamu ya Maisha ya Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Mchapishaji huyo, baada ya kuuona mswada (manuscript) wa kitabu cha historia ya harakati za uhuru ambacho Mohamed Said alikuwa amekiandika, alimwambia: "...unajua kama wewe umekalia neno la tumia alisema gold m yaani umekalia mgodi wa dhahabu". Maelezo ya ziada kuhusu nukuu hii ni kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wako juu ya Maisha toa maoni yako kuhusu msemo huu

    Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake. Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA" Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
  4. JamiiForums Tanzania Ni vigumu kuenjoy maisha bila mwanamke, inawezekana lakini ni vigumu

    Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao. Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
  5. JamiiForums Tanzania Mazingira Bora, maisha safi

    Kuhusu Sisi MACDEGAMO Company Limited ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, upandaji na utunzaji wa bustani (garden & landscaping), pamoja na house molding. Tunalenga kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, kwa wakati na kwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako. Maana yake ni Kuwa usalama...
  7. JamiiForums Tanzania Zaharani - Maisha na mashairi

    ZAHARANI - MAISHA NA MASHAIRI. Verse..1. Hizi mbio sio za Baiskeri , Haiwezi kabiri Kasi/ Tahadhari usije Ukaferi , Mbuzi Amzindi Farasi/ Usiwambie Watu watakucheka/ 😄 🤣 "hahaha " Wengi wameishia Sakafuni/ Chunga usipige mweleka , Usafi wa Nafsi sio Sabuni/ Unapozungumzia Hip hop , Lazima...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Saikolojia ya Wanadamu kwenye maisha ya kila siku

    Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa thamani na watu unaoamini ni wa karibu kwako. Hapa kuna kanuni 5 za kisaikolojia kuhusu wanadamu ambazo...
  9. JamiiForums Tanzania Good morning chitchat

    Jibu kwa ufahamu ama uzoefu wako tuu.. Hakuna kutumia AI
  10. JamiiForums Tanzania Maisha Yamenifundisha Jambo Moja: Usisubiri Mtu Akuokoe

    Kuna kipindi nilikuwa naamini ipo siku mtu atakuja abadilishe maisha yangu. Nilisubiri nafasi, nilisubiri bahati, nilisubiri msaada. Lakini kadiri miaka ilivyopita, nikagundua kuwa muda ndio ulikuwa unapita, si matatizo. Maisha hayana huruma kwa anayesubiri sana. Yanamheshimu anayechukua...
  11. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Katoro ana akili ya kutafuta Pesa lakini hana akili ya maisha

    Tajiri wa Katoro amejaliwa akili ya kutafuta pesa lakini amekosa akili ya maisha https://www.instagram.com/reel/Dbk70AViBE9/?igsh=MWN4cjllM2VtaWt3Yw==
  12. JamiiForums Tanzania Maisha yamenifundisha

    Maisha yamenifundisha jambo moja. Mtoto asiyetembea husema mama yake ndiye mpishi bora. Vivyo hivyo kwenye maisha. Ukikaa sehemu moja kwa muda mrefu, ukafanya kazi ile ile kwa miaka mingi, ukazungukwa na watu wa kiwango kile kile, ni rahisi kuamini kwamba tayari unajua kila kitu. Lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha yapo complicated Sana unakuta mabinti wanakukataa ila wake za watu wanakushobokea

    Unakuta unatongoza hata manzi kumi ila zote zinakukazia ila wake za watu wanaanza kukutongoza wenyewe huku si kutafutana ubaya
  14. JamiiForums Tanzania Maisha bila kuroga muda mwingine hayaendi. Tupeane connections za mafundi

    Hakuna namna ni mwendo wa kuumizana kama unaona mdaiwa wako analeta ujinga Kumfundisha adabu tu.
  15. JamiiForums Tanzania MAISHA BAADA YA KESI NIMEFIRISIKA YAMEKUWA MAGUMU SANA

    HAbari ndugu zangu nahisi kuchanganyikiwa jumatano tarehe 29 nilihukumiwa faini na kifungo cha nje miez 4 kufanya usafi pugu kata, kwa sasa maisha yamekuwa magumu kesi imenifirisi mtoto karudishwa shule sina pakushika sina msaada kila siku saa 1 mpka saa 4 kufanya usafi familia iko hoi naombeni...
  16. JamiiForums Tanzania Acha kujidhulumu kumbuka tunaishi mara moja, Ishi kikamilifu

    Ninaumia sana kila ninapokumbuka kuwa "nikitolewa kila kitu nilichojifunza na kufundishwa ninayebakia ni Mimi" kauli hii inanifanya nijione kama nimejidhulumu sana katika maisha yangu. Ulishawahi na wewe kujiuliza swali kama hili? Kama ndivyo basi huenda na wewe ukahisi jambo fulani umekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi AI inaleta urahisi au ugumu wa maisha?

    Kuna movie 🎦 nimetoka kucheki inaitwa trancedence (2014)... Kwenye hiyo movie jamaa Wali tumia nano technology ku implant human consciousness kwenye sever za internet kwa kutumia quantum computers.. Issue walobugi ni kuwa ile consciousness ilikuwa ni ya mtu mmoja pekee na kingine haikuwa na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Habari za muda humu Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma...
  19. JamiiForums Tanzania Endelea tu kuwaambia ndugu na rafiki zako mipango yako ya maisha. Utakapozeeka maskini ndipo utawafunza watoto wako kutunza siri

    Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu. Niko Marekani wiki ya pili sasa Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters. Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata . Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
  20. JamiiForums Tanzania Binadamu: Walivyoniita mbinafsi, niliwakaribisha kwenye maisha yangu na kuwashirikisha matatizo yangu... ajabu ni kwamba wote walikimbia

    Kuna kipindi nilikuwa naamini kwamba ili watu wakukubali ni lazima uwe karibu nao, uwashirikishe kila jambo na uzingatie maoni yao. Nilikuwa nahofia kuitwa mbinafsi, mwenye maringo au mtu anayejiona. Kadri nilivyojaribu kuwafurahisha watu, ndivyo nilivyozidi kugundua kuwa huwezi kamwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…