Tuko tayari kupoteza maisha yetu kwa ajili ya wazungu na Wayahudi

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,764
Sisi miafrika ndio mibaguzi kupita wote. Cha kuhuzunisha tunabaguana wenyewe kwa wenyewe na kuchukiana.

Mungu amlinde na kumjalia afya na maisha marefu president Trump. Kitendo cha yeye siku ile kushika silaha ya hatarii kuliko zote THE HOLY BIBLE yani whitehouse tena kwakr ni kitonga.
file-20200604-67351-uvm45e.jpg

Mungu pia kama kawaida yake azidi kuilinda na kuibariki Israel.

Pia asisahau kuwabariki Saudi Royal family na kumpa dogo MBS ujasiri uliotukuka.

Pia Mungu awabariki wakurdd.

Sisi wamatumbi wa nyarugusu tuko tayari kufa kuitetea Israel Wayahudi, Marekani na wazungu kwa jumla kwa Vyoyote vile tena kwa hiari na roho safi.
gettyimages-182157446-612x612.jpg

Liaanzisheni muone sasa tutakavyolundikana Israel makundi kwa makundi na kuform human shield kulizunguka taifa teule dhidi ya mafedhuli waliyoizunguka.

Huniambii kitu kuhusu Marekani na Israel!
OkayLarge267x296.jpg
 
....🙄🙄🙄... Na wao wako tayari kufa kwa ajili yako?
Hata wasipokuwa tayari kufa kwa ajili yetu Haijalishi its non of their business and we don't care and giveva damn about it.

Lakini ni jukumu letu manigger kufa kwajili yao hili tupate mibsrsraka kupitia kwao na siyo mibasraka kwetu tu bali na vizazi na vizazi kadhaa vijavyo
 
Kuna kitabu kina itwa bibilia,torati(sharia). Hivi vinatoka kwao (wazungu) wa magharibi.kuwa dharau wazungu kuzarau walio leta dini. Marekani inailinda israel,iraq, Saudi arabia mataifa teule ya Mungu. Haijalishi wanatubagua,. Nitakufa nikiwalinda wazungu UK,marekani na ulaya nikiwatetea, Mungu mbaliki Trumpo rais wa dunia, mlinde amushinde mgombea wa chama democratiki kinacho sapoti ushoga.God bless Trump
 
Bangiliii
 
Waafrika tu shituke Trumpo anaipenda afrika na ni mzalendo anaelipenda taifa lako. Kupenda taifa la sio ubaguzi. Ivi mgeni akija nyumbani kwako utampa uhuru ampaka alale na mwenza wako ati kisa unaogopa kumubagua?. Abu fikria waafrika na waasia tukienda wengi kienda kuishi marekani si tuta meza taifa lao.
 
Kuna kitabu kina itwa bibilia,torati(sharia). Hivi vinatoka kwao (wazungu) wa magharibi.kuwa dharau wazungu kuzarau walio leta dini. Marekani inailinda israel,iraq, Saudi arabia mataifa teule ya Mungu. Haijalishi wanatubagua,. Nitakufa nikiwalinda wazungu UK,marekani na ulaya nikiwatetea, Mungu mbaliki Trumpo rais wa dunia, mlinde amushinde mgombea wa chama democratiki kinacho sapoti ushoga.God bless Trump
Mkuu pamoja. Trump baada ya kuishika Bible siku ile ya white house mteremko trnana November
 
Back
Top Bottom