maisha

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

    Wadau nime experience hiki kitu baadhi ya wanawake tena kwa idadi kubwa hasa wanaotokea kwenye familia za kawaida wakijipata hujenga dharau na kuona watu wengine hawana thamani. At least wadada wanaotokea kwenye familia za kishua kidogo huwa na heshima kuliko hawa waliojipata na walitokea...
  2. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kufikiri kama Wanachuo wa UDSM wangefanya mzaha mkubwa kiasi, hii inaonesha dunia kuwa masihara ni sehemu ya maisha yao

    Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina hadhi Wamejitokeza Wanachuo wa UDSM wakaunda toy nakuita Robot Kujaribu sio kosa bali ni mwanzo wa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyojali matatizo ya wananchi wake, isitegemee kulipwa Uzalendo. Hiyo ni principle asili ya maisha

    Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini. OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
  4. JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hujawahi kusikia kuhusu wenza wao wa maisha

    Orodha ya watu maarufu ambao ni kama hawana wenza. Yaani ni kama wanaaishi wenyewe tu hakuna mume/mke. Naanza na Madam Rita. Endelea…
  5. JamiiForums Tanzania Maisha yangu, Maisha yako

    We have being a lot in our lives, any of us can tell a very interesting story but May's it's crazy, just hold on what you think of having people who helped you a lot and suddenly they wish you to fall! Funny right, yes it is then why they helped you to the point, a point that will light Avery...
  6. JamiiForums Tanzania Ukivuka miaka 30 umeshaishi nusu ya maisha yako, maisha unayopambania sio yako tena bali familia yako

    Kwa wale ambao walifanikiwa kuzaliwa katika familia nzuri wakakuta kila kitu kipo, kama walikuwa na akili nzuri ya maisha basi kabla ya miaka 30 wanakuwa wameshamaliza kujitafuta na kuweka msingi mzuri, hata kama sio kwa kiasi kikubwa lakini sehemu inayobaki ni ya kujazia tu. Kwa mfano: Kama...
  7. JamiiForums Tanzania Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha

    Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha Napenda vijana waishi na sio wafe Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono Nikiwaunga mkono nitakuwa nimewatuma shimoni jambo ambalo litaniingiza kwenye kesi ya mauwaji...
  8. JamiiForums Tanzania Ama kweli maisha kuwahiana

    Umekaa zako tu hivi unawaza nikimtoa kafara mzazi vip, maisha yawe mepesi unasema hapana. Kumbe mzazi nae anawaza sina nguvu za kutafuta ndoto sijafikia.. ngoja niamakiza tu watoto unamaliziwa dadeki Mke kumbe hakundi anakumaliza anaolewa na mwingine daaaa ni noma. Sema Tanzania tunaenda...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Polepole alikuwa Balozi, mimi kama mkuu wa mkoa sijui alijiuzulu akiwa nchi gani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Chalamila amesema hayo leo Ijumaa, Desemba 5, 2025 wakati akijibu...
  10. JamiiForums Tanzania Tuliifurahia squid game, ila kwenye maisha halisi sio rahisi

    Nilisikia hii series ikitamba sana na ikapata umaarufu mkubwa watu walipokuwa wanauawa kwenye game na kujishindia pesa nyingi. Tangu game ya kwanza mauaji yaliyokuwa yanafanyika hayakuwa justified lakini ile movie ilipata umaarufu mkubwa. Waliopenda game ile ni watu wengi ikiwemo watu wa haki za...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Wanazungumzia vituo kuchomwa moto, hawazungumzia kuhusu watu kupoteza maisha

    "Wamekuwa wakizungumza kanakwamba maisha ya mtu ni kitu cha kawaida. Serikali dhalimu inazungumza kuhusu vitu, inazungumza kuhusu vituo vya mafuta haizungumzi kuhusu maisha ya watu. Embu tufikirie hamna watu, hizo barabara na vituo vya mafuta vina maana gani?." Mhe. John Heche.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi na maisha ya Watanzania hatarini kwasababu ya Samia, Rostam na Kikwete

    Hawa wadau watatu ndiyo wametufikisha hapa na huko mbele wakibaki wataharibu uchumi wa TZ vibaya sana lazima Mama atolewe na kuwe na serikali ya mpito
  13. JamiiForums Tanzania Super black akifurahia maisha

    Picha inamuonesha mstaafu huyo akienjoy maisha sura ikiwa na nuru na bashasha huku moyoni akisema msemo wa Herode "nimenawa mikono".
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi wa Kiislam rasmi wawatishia Maisha Maaskofu TEC, wasema wanasubiri maelekezo ili wawashughulikie

    Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja. Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kustaafu

    Waziri Mkuu mstaafu akiwa katika pozi la picha. Kumbe naye sio mnyonge kwenye mapozi ya picha.
  16. JamiiForums Tanzania Mnaopanga kuandamana tena

    Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
  17. JamiiForums Tanzania Kuikomboa Tanzania inahitaji msaada wa nchi nyingine kiuvamizi kama Uganda, la sivyo tutaishi maisha ya kumwaga damu

    Kipindi walichopitia Uganda utawala Idd amin ilikuwa ni ngumu kumtoa mtu ambaye mwenye matendo kama utawala wa ccm ambao ukiendelea tokea kila awamu za wanaoshika madaraka. Kama watawala wanabebwa na vyombo vya ulinzi wabaki madarakani na kumshikilia kwa vyeo vyao ni ngumu kutumia maneno...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wengi waliopoteza maisha au kupata majeraha kwenye maandamano hawakuwa na tahadhari au walishindwa kuiona hatari mbele yao kwa kuchukulia poa

    Warning: kwa yule yeyote ataekwazika kwa uzi huu naomba tusamehane sijaandika kwa ajili ya kukashifu au kusema baya kwa yeyote na wote mliofiwa na ndugu zenu mungu awape faraja kwenye hichi kipindi kigumu ,wale majeruhi wanaojiuguza wapone haraka na wote walipoteza maisha mungu( sisi wote wa...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tumeshuhudia mauaji makubwa Oct 29. Ni kwanini tunataka maandamano tena wakati tunajua watu watapoteza maisha?

    Sote ni mashahidi maandamano ya Oct 29 yamesababisha vifo vya raia wengi na police. Sote tuna majonzi. Kwann Bado activist wanataka tuandamane December 9 ilhali wanajua kwa vyovyote vile serikali haiwezi kupinduliwa kirahisi. Yaani mnataka kupindua serikali lakini kufa hamtaki. Kama mnataka...
  20. JamiiForums Tanzania Mungu Muumbaji ndio msaada wa hakika tupopatwa na shida za maisha

    Fikiria Mungu kama mtengenezaji (manufacturer) wa kifaa cha kipekee sana, kifaa ambacho hakina duplicate, hakina serial number nyingine, na hakina manual inayoweza kuelezea kila undani. Hicho kifaa ni mwanadamu. Kila mtengenezaji wa kifaa anajua muundo wa ndani, waya gani unaenda wapi, program...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…