maisha yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Uchawi kitu kibaya sana, wachawi wakishikilia maisha yako hutoboi ng'o

    Kazi unafanya lakini hutoboi Kusoma umesoma lakini huajiriwi Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless. Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi. Wachawi watu wabaya sana.
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Katika vitu ambavyo hutakiwi kusahau katika maisha yako ni kutoa Zaka, uwe Mkristo, Mpagani au Muislam

    Kama wewe unajua kwamba Mungu yupo! Hakikisha unatoa ZAKA. Fanya utani na masihara kwenye mambo yote lakini toa ZAKA! Babu yangu miaka Kumi iliyopita aliugua tb ambayo ilifanya apofuke macho! Hivyo akahudhuria kliniki na kuchoma sindano 120, lakini Bado hali yake haikubadilika ,naikumbuka siku...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Unachowaza unachofikiria, sana na unachokiongea sana ndiyo utapata katika Maisha yako

    Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake. Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa. Nilipotarget...
  4. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

    Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya. Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu. Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke...
  5. Ndege Tai

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika safari za maisha yako hususani kwa sisi vijana

    Hakikisha haya mambo yanakua Siri kwako; 1. Masuala ya mahusiano yako Hii haikumaanisha kujua status kwamba umeoa au umeolewa,hii imelenga watu ambao wanapenda kuongelea masuala ya mausiano yao mfano mwanaume kutangaza madhaifu ya mke wako kwa watu 2. Hali yako ya kifedha 3. Matatizo ya familia...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

    Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha. Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
  7. Gill Rugo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Unamuwajibishaje mtu anayemiliki maisha yako?

    Itakua 2030, Greta Thurnberg ataenda kuandamana Riksdag kupinga mabadiliko ya tabia nchi. Itafika 2050, kamati ya Nobel itampatia tuzo ya mafanikio ya maisha kwa kubakiza dunia chini ya 3.5°. Ilikua hivyo pia kwa Martin Luther King. Alikufa kwa ajili ya haki za watu weusi lakini 2020 Derek...
  8. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Hivi umefanikiwa kusamehe kila jambo linalokutokea au lililokutokea kwenye maisha yako?

    Haya maisha haya, unakutana na mambo mengi sana ya kukuumiza moyo na kukufurahisha yes dunia imeumbwa hivyo. je wewe umeweza kusamehe kila jambo lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako? mimi nimeshindwa, kuna watu bwana nilikua nao very close, katika maisha yetu mimi ndie nilikua...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Huu ndio muda unaotumia kwa shughuli mbalimbali katika maisha yako yote

    Kulala: miaka 26 Kazi: miaka 12 Kuangalia TV: miaka 8.8 Ununuzi: miaka 8.5 Kula na kunywa: miaka 3.6 Kuvinjari mtandaoni: miaka 3.2 Mitandao ya kijamii: miaka 3 Mikutano: miaka 2 Utayarishaji: miaka 1.5 Kusafiri: miaka 1.5 Kufanya kazi za nyumbani: miaka 1.25 Mazoezi: miaka 1.2 Katika baa na...
  10. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Je ni katika hali gani ulikosa kitu unachokipena , halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi kweny maisha yako.

    Amani iwe na nanyi! Kama kichwa cha mada hapo ,je ilishawahi kukutokea kukosa au kupoteza kitu ulichokipenda iwe kazi ,masoma ,mpenzi, ajira halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi. Kama baadhi yetu tunavyoaamini "kama kitu sio riziki yao au halali kwako basi huwezi kukipata ". Niongezee...
  11. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuendana na nyakati mbali mbali, kwenye maisha yako

    NAKUSHAURI Watu wengi mnajinyima furaha, watu wengi pale mnapotakiwa kulia hamtaki kulia, pale mnapotakiwa kufurahia hamtaki kufurahia. Watu wengi mnakufa kwa maumivu makubwa ya moyo. Ngoja nikufundishe kitu. Siku ukifiwa na mtu unayempenda, lia sana, tena lia kuliko wote ikiwezekana...
  12. Master Oogway

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

    Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe. Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
  13. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi Fursa nchini Burundi zinazoweza kubadili maisha na kuongeza kipato chako

    UTANGULIZI Habari za muda huu wanajamvi,Kila mtu anahistoria yake katika safari ya utafutaji wa riziki,Wapo wenye historia za kusikitisha,kufurahisha na kuelimisha. Mwaka 2019 wakati dunia imekumbwa na mlipuko wa uviko 19,Na kupelekea kazi,Masomo na Shughuli mbalimbali kusimama.Nilipata...
  14. Saidama

    JamiiForums Tanzania Umewai kushuhudia/kuona kitu gani cha ajabu kwenye maisha yako ambacho hutosahau?

    Funguka
  15. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Unafikiri ni kwanini hutakiwi kuanika maisha yako binafsi mtandaoni?

    Habari Wakuu, Wengi tumekuwa tunapokea ama kutoa ushauri kwa watu kuacha kuanika maisha yao binafsi mtandaoni. Baadhi wanaelewa huku wengine ikionekana maneno yanaingia sikio moja na kutokea jingine. Baadhi wamepata madhara kwa kuanika maisha yao mtandaoni huku wengine wakifaidika na hilo...
  16. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Watoto wakikukataa mzazi achana nao upambana na maisha yako

    Sina muda wa salaamu, tuko kwenye mfungo. Kumekuwa na utaratibu wa kijinga ambao umejengeka miongoni mwa wa Tanzania baadhi wa kukumbatia mitoto isiyokuwa na adabu hata kidogo,sikatai yawezekana kabisa ni watoto wako na wanakuuma ile kishenzi,ila kutokana na tabia ambazo yamemezeshwa na mama...
  17. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Una washauri nini wanaofutilia maisha yako?

    Una washauri nini wanaofutilia maisha yako?
  18. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Habari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo. Wakati nipo chuo mwaka wa tatu...
  19. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Kama Maisha yako yangekuwa kitabu, chako ungekiitaje? Na ungemtumia sababu zipi kukiita hivyo?

    Jina la kitabu changu ningekiita. NDIVYO YALIVYO. Sababu. 1. Mpaka Saa hii nimegundua kubishana Sana na hali ya maisha ni kujipotezea muda. (Ndivyo YALIVYO) 2. Mapenzi bila pesa ni bure hata waje watabiri wa nyota ILa mwisho pesa ni muhimu. (Ndivyo YALIVYO) 3. Marafiki wengi wanamatatizo...
  20. Hold on

    JamiiForums Tanzania Unajutia nini katika maisha yako?

    Vipi? Katika maisha yetu ya kila siku tunapitia nyakati tofauti ambazo kwa wakati fulani tunazions sawa kufanya na kwa wakati fulani tunaona sio sawa Leo nimekaa nimekutana na rafiki yangu wa shule ya sekondary nikakumbuka matukio yangu kiukweli yalikuwa ya aibu natamani ata ningeweza...
Back
Top Bottom