mahusiano

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Hata kama mtu humpendi, hii hapana. Kutokukubali lockdown ni kuharibu mahusiano ya EAC?

    Nilichojifunza hapo ni kwamba Mh Tundu Lissu au chadema mna ungomvi binafsi na Mh JPM. Hivi kukataa lockdown na huku nchi jirani zikiendeleza lockdown ni kaharibu mahusiano? Come ooon! Eti rafiki yake ni Burundi tu kwa sababu nchi ya Burundi huko nako walikataa lockdown! Labda sijakuelewa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

    Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu.. Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining...
  3. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake hawapo serious kabisa kwenye mahusiano

    Unamtongoza bi\dada anakukubalia siku hiyo hiyo lakini sasa kukupenda itakubidi ufanye kazi kubwa sana. Utasikia mimi nimeumizwa simwamini mwanaume, ngoja kwanza nikuchunguze halafu ndo nitakuonyesha mapenzi yangu. UNICHUNGUZEE? WE NI TAKUKURU? Kibaya zaidi mnakuwa mnapanga appoitiment anakuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Jambo ambalo umsamehe mpenzi wako kikawaida na asingesitahili msamaha

    Dah, iliniuma sana pale nilipopata mpenzi wa mbali tukadumisha mahusiano yenye kupendana sana dah! sielewi ilikuwaje lakini siku moja naambiwa, mpenzi nimepata mimba bahati mbaya naomba unisamehe nakupenda sana usiniache ni bahati mbaya tu, nilimsamehe ila mpaka sasa hivi hatujawahi kukutana...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Kimataifa: Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!

    Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel. Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka. Hata Ethiopia...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Mahusiano ya kimapenzi na ndoa hayana formula maalum?

    Jackson alimwoa Jackline ndoa ikavunjika, Jackson anadai Jackline hana heshima,mmbea,akirudi nyumbani ni kelele mwanzo mwisho, Jackline anadai Jackson hayuko romantic na anampiga mara kwa mara. Hassan alimwoa Rehema na ndoa ikavunjika, Hassan anadai Rehema hana heshima ,mmbea na ni mtu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

    Nilikutana na mtu humu tukachart kweli for al most 5 months picha nilizokuwa nimetumiwa sizo zenyewe. For more months to come finally video chart kumbe sio mwenye zile picha kazi na kila kitu alicho kisema sio so chakufanya nikumdelete tu. Mwingine kasema i am single and i was finish in every...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii inapenda kumhukumu mwanamke negatively kwenye Sekta ya Mahusiano? Utasikia yule mdada amefuata pesa tu kwa yule mwanaume

    Hii kitu sijai-notice Mara moja ,nime-notice mara nyingi sana, utakuta unapiga story na baba mkubwa, anakwambia yule mke wa mdogo wangu anachosubiria ni pensheni tu ya mdogo wangu wa kiume. Au mkaka in his early 30's akioa, utaskia mama MTU mzima akisema, huyo mdada ameolewa kwasababu anataka...
  9. JamiiForums Tanzania Kama hajapevuka tegemea mahusiano machungu

    Habarini washkaji zangu, leo nimeona tuwekane sawa kwa ambao bado hawahapebuka kiakili kwenye ku handle mahusiano na wake zao Sizungumzii kupevuka kimwii kama kuwa fiti kiafya, kutokuwa na ugonjwa, kuwa mrefu, n.k Mwanaume yapasa awe kapevuka kiakili lasivyo basi binyi ataonekana wa muhimu tu...
  10. JamiiForums Tanzania Kijana ulishawahi kuwa na mahusiano na msichana aliyekuzidi umri 5+?

    Tabia ya vijana kuwa katika mahusiano na wanawake walio wazidi umri inazidi kushamiri. Zipo sababu nyingi zinazopelekea mtu kuwa katika mahusiaano kama hayo lkn moja kubwa ni iyo love. Embu naombeni mnipe experience mlizo kutana mazo mlipokuwa ktk mahusiano ya namna hiyo. Vijana embu fungukeni
  11. JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu anayekuzidi umri sana ni hatari

    Kuwa katika mahusiano na mwanaume mtu mzima na tajiri ni hatari sana, kwa sababu hiyo ina maana unaweza kuwa na madaraka kidogo juu ya mahusiano. Kwa kukosekana kwa usawa wa madaraka, unaweza ukakosa kuwa na udhibiti wa kufanya maamuzi yako mwenyewe. Mahusiano, katika hali yake ya ubora, ni kuwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni vigumu kwa watu wenye ulemavu kuwa katika mahusiano?

    Habarii wana JamiiForums, hope mpo poa. Nadhani wote tupo nyumbani mida hii maana weekend imeanza mapema kutokana na sikukuu za nane nane kushukia hapa hebu nisiwachoshe twende moja kwa moja kwenye mada Hivi kwanini inakuwa shida watu wenye ulemavu kuingia kwenye mahusiano, iwe mvulana iwe...
  13. JamiiForums Tanzania Kipi kinafurahisha toka kwa Mpenzi wako tangu mmeanza mahusiano?

    Mtu anapoanzisha mahusiano ya kimahaba na mtu wake ni wazi huwa kuna vitu vina mvutia lakini anapozidi kuwa naye karibu zaidi basi anapata wasaha wakuvifahamu vingi zaidi toka kwa soul mate wake. Karibuni tu-share vitu ambavyo vinakuvutia toka kwa mtu wako wa karibu tangu mmeanzisha mahusiano...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

    Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini mahusiano mengi ya kimapenzi sasa hivi yanadumu wiki mbili tu, au siku nne tu?

    Nimeona kwa washkaji zangu wengi walionizunguka, utakuta amepata namba ya mdada leo, lakini baada ya siku chache au baada ya wiki mbili washaachana. Wengine wakiachana hata wakikutana barabarani, salamu hawapeani. Tatizo ni nini?
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi mda mrefu kwenye mahusiano

    HOW TO SURVIVE IN A LONG-DISTANCE RELATIONSHIP/MARRIAGE The word survive is used because everyone's desire is to live within reach of their partner. But sometimes life gives you a good partner yet circumstance separates you physically. How do you cope? 1. TRUST EACH OTHER Trust is the reason...
  18. JamiiForums Tanzania Uchawi wa Mahusiano ni pesa

    Nimeamini uchawi wa mahusiano ni pesa. Yaani ukiwa nazo, utabembelezwa kama mtoto mchanga; ila ukiishiwa usishangae mpenzi wako kukuita majina ya ajabu ajabu kama vile, wee mbuzi, mbwa, paka n.k Tutafute vyanzo vya pesa wakuu, tule mema ya dunia
  19. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa ni aina ya wanaume wachache wenye misimamo migumu kwenye mahusiano

    Kwa Kheri mzee wetu Mkapa, Mungu akurehemu huko uendako. Nimevaa viatu vya mzee Mkapa kwenye mahusiano yake yenye moyo wa kipekee, havinitoshi kabisa na sio mimi tu karibia wanaume wengi wa karne hii hawawezi kuwa na ujasiri wa moyo kama aliokuwa nao huyu mzee wetu ni wa kipekee kabisa. Hebu...
  20. JamiiForums Tanzania Ni uchawi ama hisia! Mahusiano kati ya baba na binti yametamalaki Jijiji Dar es Salaam

    Kuna watu wanajiulizaga huko mitaani hivi hivi vibinti huwa vinabikiriwa na nani? Kademu tunakaona kuanzia kapo darasa la kwanza, kanamaliza Darasa la Saba kana miaka kumi na mbili au kumi na tatu dogo (15yrs) anakatokea kanamkubalia kanampa tunda, wanasanukiwa, kesi inafika Kwa wazazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…